Ukitaka kuishi vizuri Dar es Salaam ishi Kigamboni

Ukitaka kuishi vizuri Dar es Salaam ishi Kigamboni

Karibu sana hio address usiiuze....na zama hizi Dege eco village inamaliziwa tunasogea maeneo hayo kudaka fursa tunaacha wengine wachangamshe vidole kwenye keyboard.

Thank you Bataringaya,

Will be there for sea food babakyu...😋😋.

Sitaiuza, asante sana. Umefanyika baraka.

🥂🥂.

Ila vinywaji vya kuteremshia chomachoma ni sanvita.
Na marinates ya babakyu ni mabungo na pilipili 😋😋.
Vyote nakuja navyo kwenye kapu langu.
 
Vibaka vibaka, wezi na kaka zao majambazi wengi wameshapigwa vyuma [emoji379] na askari.. Ni watoto waliotoka mbagala, Kinondoni na maeneo memgine, ndio walianza kuleta usela mavi.

Nipo kigamboni toka 2000 mwishoni nikitokea kurasini.. Huku maisha yalikuwa shwaari kabisa unaanika hadi nguo na unazikuta asubuhi, walivyoanza kuja watu mbalimbali wakaanza kuharibu mji, ila sasa hali shwaari kabisa, mtaani si chini ya watoto 5 wamekula vyuma.. Kumepoa kinyama.

Hakuna sehemu kuna kosa kero..

Ila yoote kwa yoote kigamboni kuhama inataka moyo saana.
Kuhama au kuhamia??[emoji849][emoji849]

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Hakuna watu wana insecurities na low self esteem kama wale wanaoamini wanatakiwa kuishi sehemu flani, kuongea kinamna flani, ku hang out na watu flani na kutembelea sehemu flani ili waonekane kama watu flani..

nipo deeply sorry for these miserable human beings who seek external acceptance and approval to feel good or confident about themselves. Really sad 😢😢!!..
 
Hakuna watu wana insecurities na low self esteem kama wale wanaoamini wanatakiwa kuishi sehemu flani, kuongea kinamna flani, ku hang out na watu flani na kutembelea sehemu flani ili waonekane kama watu flani..

nipo deeply sorry for these miserable human beings who seek external acceptance and approval to feel good or confident about themselves. Really sad 😢😢!!..
Mkuu achana na hao watoto.
 
Sana miguu ya kuku utumbo wa kuku sana tu kama tandika Azimio au kiburugwa kwa Mama Tembo

Weeh kumbeee...

Vile wanaishi na bahari nikajua kutakuwa na utumbo wa samaki wa kukaanga, chipsi na mayai ya samaki, vichwa vya samaki na madafu ya kukausha....😋😋😋

Kumbe vumbi tupuu, acha nikawafundishe kula mbata za madafu na viazi vitamu vya kuchoma kwa majivu ya moto. Halafu wanashushia na supu ya shrimps 😋.

Kasie The Foodie.
 
Nawaangalia watu wanaongea tu, Kisarawe hawaijui hawa. TATIZO Usalama wa ule msitu huwa unanipa mashaka sana nyakati za usiku
oale kwenye msitu wamejaa wananajeshi mkuu hakai kibaka pale.
 
Weeh kumbeee...

Vile wanaishi na bahari nikajua kutakuwa na utumbo wa samaki wa kukaanga, chipsi na mayai ya samaki, vichwa vya samaki na madafu ya kukausha....[emoji39][emoji39][emoji39]

Kumbe vumbi tupuu, acha nikawafundishe kula mbata za madafu na viazi vitamu vya kuchoma kwa majivu ya moto. Halafu wanashushia na supu ya shrimps [emoji39].

Kasie The Foodie.
Kawafundishe mkuu
 
Back
Top Bottom