Ukitaka kuishi vizuri Dar es Salaam ishi Kigamboni

Ukitaka kuishi vizuri Dar es Salaam ishi Kigamboni

Ni wazi wachangiaji wengi wanapasikia tu Kigamboni kama kawaida ya wabongo mpe heading mengine atajazia.
Kuna mmoja hapo anawapiga matango pori wenzie ... Eti unakaa kusubiri kivuko 3hrs... Mimi natoka mikwambe kwenda mwenge daily na nawahi
 
Kuna mmoja hapo anawapiga matango pori wenzie ... Eti unakaa kusubiri kivuko 3hrs... Mimi natoka mikwambe kwenda mwenge daily na nawahi
Wengine tunawasoma tunapita tu
 
Yan mm ndo nafikiria kuhama huku kigamboni nihamie tegeta nyuki maana stress za kuvuka na ma panton haya imenishinda aiseehh. sometimes bora folen kulko ule ujinga wa kuvuka maji
Karibu sana Mkuu,

Naishi Tegeta Nyuki near Canossa Secondary Road ya kwenda kanisa katoliki Parokia ya Masaiti.
 
Kawafundishe mkuu

Sawa mkuu...

Anonymous haina jinsia.


Oyaaaaaaa Tangaaaazooooooooooo....!!

Wale wa Kigamboniinooooo mkooo taaayaaariiiiiii.......!!!

Kasie The Foodie anakuja kuwafundisha namna ya kula utumbo wa samaki, mbata za madafu na mazagazaga ya sea food....

Andaeni ndimu na pilipili, tangawizi nakuja nazo....😋😋😋

Kibali kishatoka hapa fulu TBS.....😜


Kiiigaaamboooniiinoooooo hoooooyeeeeeeeeeeeeeeeeeeee 😆😆😆😆😆😆

Wuuuuhuuuuuuuuuuuu....!!

Team Kg mko juuuuuuuuuuui........

Shurti niwaandalie KG Bash full of sea food hadi wenye allegies watakula bila kuathirika.

Hapana chezea Kasie The Foodie 💪🏽💪🏽👍.

🥂🥂.
 
Sawa mkuu...

Anonymous haina jinsia.


Oyaaaaaaa Tangaaaazooooooooooo....!!

Wale wa Kigamboniinooooo mkooo taaayaaariiiiiii.......!!!

Kasie The Foodie anakuja kuwafundisha namna ya kula utumbo wa samaki, mbata za madafu na mazagazaga ya sea food....

Andaeni ndimu na pilipili, tangawizi nakuja nazo....😋😋😋

Kibali kishatoka hapa fulu TBS.....😜


Kiiigaaamboooniiinoooooo hoooooyeeeeeeeeeeeeeeeeeeee 😆😆😆😆😆😆

Wuuuuhuuuuuuuuuuuu....!!

Team Kg mko juuuuuuuuuuui........

Shurti niwaandalie KG Bash full of sea food hadi wenye allegies watakula bila kuathirika.

Hapana chezea Kasie The Foodie 💪🏽💪🏽👍.

🥂🥂.
Ukipata muda tembea kuanzia Mji mwema Hadi Mikwambe uone viwanja vilivyopo barabara hio peke yake achana na zile hotels za baharini. Ikifika weekend napata shida niende wapi. Kigamboni sihami tena nazidi kusogea mbele kule nishafika Dege eco village
 
Acha fix wewe. Mimi kuna siku nakaa huko Juliana,samaki samaki Hadi saa Saba nane na ninarudi Kigamboni usiku sina mlinzi geti nafungua mwenyewe. Niliishi miaka mitatu bila geti
Ujambazi hakuna, mi nimewahi acha nyumba ina kila kitu bila mlinzi miezi 2 ila hawakuiba hata AC zilizokuwepo nje
 
Mradi wa DAWASA kutokea Kimbiji ukimalizika Kigamboni itakuwa na maji poa kuliko Dar Tz nzima maana maji yake yanatoka chini tofauti na haya ya RUVU na Victoria
 
Kwani TOANGOMA na GOROKA nazo si Kigamboni??? Balaa lake si la kitoto, kuna watu wanaitwa WAMAREKANI WEUSI,,, halafu kuna mwingine anaitwa YESU...
Kata ya Toangoma yote kwa ujumla wake ipo Manispaa Temeke
 
Ukitaka mwisho wako wa Kutembea kutokana na Vibaka na Majambazi kuwa wengi na Kula Kwako Bata ( Kustarehe ) kuwe ni Saa 12 Jioni, basi kaishi Kigamboni.
Juzi nilikuwa uko ni kweli kabisa,kufika saa 3 usiku tu hakuna usafiri wa daladala,nikajiuliza sijui kwanini wakati maeneo mengine unaweza ukatembea usiku wote na madaladala
 
Kigamboni (sasa ni wilaya) ni sehemu ya jiji la Dar es Salaam ambayo tofauti na maeneo mengine ilichelewa kuendelezwa kimiundombinu mpaka kufika miaka ya 90 .Watu walichelea kuishi huko kutokana na kupaona ni maporini palipostahili kuishi wanyama.

Hivi leo,mambo ni tofauti sana,mji unakua kwa kasi ya ajabu, barabara zinajengwa kutangulia makazi ya watu,ni sehemu pekee katika jiji la Dar es Salaam ambako ukiingia unasahau kuhusu foleni za barabarani , hali ya hewa ni nzuri kutokana kutokuwepo kwa ujenzi holela wa nyumba, ni karibu sana na city centre na kuna fursa nyingi za kuanzisha biashara.

Binafsi nilifika kwa mara ya kwanza na kuhamia kigamboni mwaka 2015 kutoka Survey maeneo ya karibu na Mlimani city nilipoishi kwa takribani miaka minne,ila mpaka kufikia leo sijawahi kujutia kuishi huku wala kuwaza kuhamia mahali pengine katika mji huu kutokana na sifa nilizozitaja hapo juu na kwa bahati nzuri Mungu amenijaalia kujenga kakibanda huku huku.

Kwa ambao hawajawahi kufika huku hudhani kwamba Kigamboni ni kisiwa na kwamba usafiri pekee wa kufika huku ni wa kuvuka maji kwa pantoni, la hasha! Kigamboni si kisiwa bali imetenganishwa na sehemu nyingine ya jiji kwa sehemu ya bahari iliyoingia nchi kavu (ghuba) ambayo ni bandari ya Dar es Salaam na Kwa sasa ukiachilia usafiri wa wa pantoni kuna daraja na baraba mbili ambazo unaweza kupita bila hata kuiona hiyo bahari.

Karibuni sana Kigamboni.

Mkuu napigilia msumar wa nguvu mm nipo kigambon kuna marafk zangu weng wakinitembelea wanashanga hali ya hewa ilivyotulia hakuna msongamano nyumba zipo ktk mpangilio sahihi naenjoy san kuish kigambon huku kuna mijengo ya kufa mtu ni vile tu hatuvumi
 
Sawa mkuu...

Anonymous haina jinsia.


Oyaaaaaaa Tangaaaazooooooooooo....!!

Wale wa Kigamboniinooooo mkooo taaayaaariiiiiii.......!!!

Kasie The Foodie anakuja kuwafundisha namna ya kula utumbo wa samaki, mbata za madafu na mazagazaga ya sea food....

Andaeni ndimu na pilipili, tangawizi nakuja nazo....😋😋😋

Kibali kishatoka hapa fulu TBS.....😜


Kiiigaaamboooniiinoooooo hoooooyeeeeeeeeeeeeeeeeeeee 😆😆😆😆😆😆

Wuuuuhuuuuuuuuuuuu....!!

Team Kg mko juuuuuuuuuuui........

Shurti niwaandalie KG Bash full of sea food hadi wenye allegies watakula bila kuathirika.

Hapana chezea Kasie The Foodie 💪🏽💪🏽👍.

🥂🥂.
Pls Nipe kazi ya kubrand hiyo product kasie mahaba
 
hapana mku, kigamboni hapafai kabisa, kama ni kwa sababu ya bahari tu sawa lkn kuna changamoto ya usafiri sana, nilifikia huko niliona tabu zake, nilitakiwa kuamka saa 9 usiku kwenda stendi ya Magufuli mbezi, siwezi kuishi mbali na kituo cha mabasi ya kwenda mikoani.
Mpango mzima sasa ni Mbezi, Luguruni, kibamba, kiluvya na kibaha.

Mkuu sio kwel kabisa usafir huku sio shida tena km kwenda stand ni easy san
 
Uber hazipo, bajaj za shida hasa usiku ukipata uber ubhatike feri ila anaweza asije. Bora niishi buza sio kigamboni [emoji23]

Mkuu hapo kweny bajaj sio kwel mm narud om sa5 au sa6 lkn sipat shida yyt ya usafir gar za machinga kutoka ferr mpk kariako ht sa4 sa 5 usiku zinapit road ww sio mkazi wa kigambon inaonyesha
 
True, kule niliendaga kipindi nipo O level Mikadi kuna vikundi vya wizi wanaiba mchana na hawakimbii wala nini.

Mkuu mikad sio wakaz wa kigambon asilimia kubwa wanaojaza mikadi ni viumbe wa mbagala videm wanyoa viduku chupi minuko ndio wanajaa san huko ukitaka kuamin hilo nenda weknd angalia magar yao waliyokod yanatokea wap
 
Back
Top Bottom