Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Afande khamisi kawamaliza sana mkuu kapiga shaba mno majambaziUkitaka mwisho wako wa Kutembea kutokana na Vibaka na Majambazi kuwa wengi na Kula Kwako Bata ( Kustarehe ) kuwe ni Saa 12 Jioni, basi kaishi Kigamboni.
Bei ya kiwanja shingapiKigamboni (sasa ni wilaya) ni sehemu ya jiji la Dar es Salaam ambayo tofauti na maeneo mengine ilichelewa kuendelezwa kimiundombinu mpaka kufika miaka ya 90. Watu walichelea kuishi huko kutokana na kupaona ni maporini palipostahili kuishi wanyama.
Hivi leo, mambo ni tofauti sana, mji unakua kwa kasi ya ajabu, barabara zinajengwa kutangulia makazi ya watu, ni sehemu pekee katika jiji la Dar es Salaam ambako ukiingia unasahau kuhusu foleni za barabarani, hali ya hewa ni nzuri kutokana kutokuwepo kwa ujenzi holela wa nyumba, ni karibu sana na city centre na kuna fursa nyingi za kuanzisha biashara.
Binafsi nilifika kwa mara ya kwanza na kuhamia Kigamboni mwaka 2015 kutoka Survey maeneo ya karibu na Mlimani city nilipoishi kwa takribani miaka minne ila mpaka kufikia leo sijawahi kujutia kuishi huku wala kuwaza kuhamia mahali pengine katika mji huu kutokana na sifa nilizozitaja hapo juu na kwa bahati nzuri Mungu amenijaalia kujenga kakibanda huku huku.
Kwa ambao hawajawahi kufika huku hudhani kwamba Kigamboni ni kisiwa na kwamba usafiri pekee wa kufika huku ni wa kuvuka maji kwa pantoni, la hasha! Kigamboni si kisiwa bali imetenganishwa na sehemu nyingine ya jiji kwa sehemu ya bahari iliyoingia nchi kavu (ghuba) ambayo ni bandari ya Dar es Salaam na Kwa sasa ukiachilia usafiri wa wa pantoni kuna daraja na barabara mbili ambazo unaweza kupita bila hata kuiona hiyo bahari.
Karibuni sana Kigamboni.
Uzi ufungwe [emoji1666]Hapa dar sehemu nzuri ya kuishi ni morogoro road yote kuanzia ubungo hadi kibaha
Au kule bagamoyo road
Kigamboni,temeke,mbagala kote kumekaa kizembe
Mtihani huu...ila pako poa sanaSuala la kuvuka maji daily ni mtihani mkubwa
"kula utumbo wa samaki"[emoji849][emoji849][emoji849][emoji15][emoji15][emoji15]Sawa mkuu...
Anonymous haina jinsia.
Oyaaaaaaa Tangaaaazooooooooooo....!!
Wale wa Kigamboniinooooo mkooo taaayaaariiiiiii.......!!!
Kasie The Foodie anakuja kuwafundisha namna ya kula utumbo wa samaki, mbata za madafu na mazagazaga ya sea food....
Andaeni ndimu na pilipili, tangawizi nakuja nazo....[emoji39][emoji39][emoji39]
Kibali kishatoka hapa fulu TBS.....[emoji12]
Kiiigaaamboooniiinoooooo hoooooyeeeeeeeeeeeeeeeeeeee [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Wuuuuhuuuuuuuuuuuu....!!
Team Kg mko juuuuuuuuuuui........
Shurti niwaandalie KG Bash full of sea food hadi wenye allegies watakula bila kuathirika.
Hapana chezea Kasie The Foodie [emoji1434][emoji1434][emoji106].
[emoji1635][emoji1635].
Bata limeahamia Tabata sasa hivi, kalaghabao.Hapa dar sehemu nzuri ya kuishi ni morogoro road yote kuanzia ubungo hadi kibaha
Au kule bagamoyo road
Kigamboni,temeke,mbagala kote kumekaa kizembe
Million 4 mpaka 10.Bei ya kiwanja shingapi
Wamarekani walitaka kuichukuwa kigamboni yote waipige mabomu wajenge mji wa kisasa, sijui hii project ilikwamia wapi.Hupajui vizuri kigamboni labda kama uliishia hapo kwa wapemba mwanzoni mwanzoni uswahilini
Umeshafika Kibada? kama ungefika Kibada huwezi kuropoka haya.Kigamboni hakuna tofauti na Mbagala, hakuna tofauti na Temeke, hakuna tofauti na Yombo, hakuna tofauti na kiwalani, hakuna tofauti na kongowe.
maeneo hayo yote yanafanana sana
kwa sababu kwa asilimia kubwa yanakaliwa na wakaazi wa mikoa ya kusini.
Mikwambe na Chekechea ni sehemu nzuri sana. Tuna wakaribisha, viwanja hakuna chini ya nusu ekariKigamboni ukishuka Panton tu unakutana na maeneo skwata ta kufa mtu.
Eneo Kama kigamboni ingebidi iwe Kama Masaki au ostabay ila kwasababu sisi watanzania hatuwezi kupanga Basi ni balaa tupu.
Kibada ni zaidi ya Mbeiz beach, wazaramo wote washahamishiwaUmeshafika Kibada? kama ungefika Kibada huwezi kuropoka haya.
Kibada kuna mashindano ya kujenga nyumba za ghorofa ukiwa na nyumba ya chini utatamani kuuza uhame.
Tabata umekuwa mji wa malaya.Bata limeahamia Tabata sasa hivi, kalaghabao.