Ukitaka kuishi vizuri Dar es Salaam ishi Kigamboni

Nimeamia kigamboni, ila sijajua wapi naweza pata chimbo la wale watu, kama pale kona bar
Upo kigamboni ipi? Yani beach zote zilizojaa kigamboni ndio upate uhaba wa wanyama?

Kwanza uelewe wanawake wengi sasa hivi wanauza ila hawaweki bango tu, kwahiyo usiangaike sana hata mtaani kwako huduma ipo, siku hizi hawauzi wala hawatowi bure, teguwa kitendawili hicho.
 
Kigamboni (sasa ni wilaya) ni sehemu ya jiji la Dar es Salaam ambayo tofauti na maeneo mengine ilichelewa kuendelezwa kimiundombinu mpaka kufika miaka ya 90. Watu walichelea kuishi huko kutokana na kupaona ni maporini palipostahili kuishi wanyama.

Hivi leo, mambo ni tofauti sana, mji unakua kwa kasi ya ajabu, barabara zinajengwa kutangulia makazi ya watu, ni sehemu pekee katika jiji la Dar es Salaam ambako ukiingia unasahau kuhusu foleni za barabarani, hali ya hewa ni nzuri kutokana kutokuwepo kwa ujenzi holela wa nyumba, ni karibu sana na city centre na kuna fursa nyingi za kuanzisha biashara.

Binafsi nilifika kwa mara ya kwanza na kuhamia Kigamboni mwaka 2015 kutoka Survey maeneo ya karibu na Mlimani city nilipoishi kwa takribani miaka minne ila mpaka kufikia leo sijawahi kujutia kuishi huku wala kuwaza kuhamia mahali pengine katika mji huu kutokana na sifa nilizozitaja hapo juu na kwa bahati nzuri Mungu amenijaalia kujenga kakibanda huku huku.

Kwa ambao hawajawahi kufika huku hudhani kwamba Kigamboni ni kisiwa na kwamba usafiri pekee wa kufika huku ni wa kuvuka maji kwa pantoni, la hasha! Kigamboni si kisiwa bali imetenganishwa na sehemu nyingine ya jiji kwa sehemu ya bahari iliyoingia nchi kavu (ghuba) ambayo ni bandari ya Dar es Salaam na Kwa sasa ukiachilia usafiri wa wa pantoni kuna daraja na barabara mbili ambazo unaweza kupita bila hata kuiona hiyo bahari.

Karibuni sana Kigamboni.

Hata Kiwanja Bure kigamboni sihitaji aisee!
1.Ni Risk hatari ni Kuvuko chetu mara Engine moja mara Matenegenezo,Kivuko,Nani anataka maisha ya Hofu Ivyo!
Uje Darajani Utatamani Ulie kwa foleni ile ya Malori pale Bandarini!
Yaani Kukaa Kigamboni ni Utumwa,
Hata Bure Kiwanja Sihitaji Over
 
Upo kigamboni ipi? Yani beach zote zilizojaa kigamboni ndio upate uhaba wa wanyama?

Kwanza uelewe wanawake wengi sasa hivi wanauza ila hawaweki bango tu, kwahiyo usiangaike sana hata mtaani kwako huduma ipo, siku hizi hawauzi wala hawatowi bure, teguwa kitendawili hicho.
Nimeamia kigamboni, ila sijajua wapi naweza pata chimbo la wale watu, kama pale kona bar
Sijajua uko kigamboni ipi, ukiweza sogea hapa THE CAMP JOINT, kwa chini yake hapa kama unaenda feri! utawakuta kama wote, wamejipanga unachagua kipenda roho.
 
Sehemu ni nyingi wanasema kuna totoz, ila hapo the camp nimeenda mwenyewe na nimekula mtoto mdogo safi kabisa!
Hata usiku huu nimepita nimewaona wapo.
 
Upo kigamboni ipi? Yani beach zote zilizojaa kigamboni ndio upate uhaba wa wanyama?

Kwanza uelewe wanawake wengi sasa hivi wanauza ila hawaweki bango tu, kwahiyo usiangaike sana hata mtaani kwako huduma ipo, siku hizi hawauzi wala hawatowi bure, teguwa kitendawili hicho.
Nipo tungi hapa.. mm napenda wale wenye permanent point, ukifika unachagua , una enda kukaza kwenye vijumba vyao vile
 
Upo kigamboni ipi? Yani beach zote zilizojaa kigamboni ndio upate uhaba wa wanyama?

Kwanza uelewe wanawake wengi sasa hivi wanauza ila hawaweki bango tu, kwahiyo usiangaike sana hata mtaani kwako huduma ipo, siku hizi hawauzi wala hawatowi bure, teguwa kitendawili hicho.
Mm bado mgeni kigamboni, nimetokea pwani ...
 
Wamarekani walitaka kuichukuwa kigamboni yote waipige mabomu wajenge mji wa kisasa, sijui hii project ilikwamia wapi.
Hahaaa wabongo kwa fix, kama unaongelea ile documentary ya kigamboni satellite city zile ni projects za kupandisha thamani ya ardhi hakuna lolote, Tanga kulikua na pongwe satellite city nayo ni mchongo tu
 
Umeshafika Kibada? kama ungefika Kibada huwezi kuropoka haya.

Kibada kuna mashindano ya kujenga nyumba za ghorofa ukiwa na nyumba ya chini utatamani kuuza uhame.
Kibada hakuna masikini asee[emoji848][emoji848]

Yaan kama una kinyumba kibaya utatamani ukikimbie
 
Shida kweli kweli na ma gharama yani ina maana wewe kuvuka itakulazimu upoteze 90-100K per months kwenda na kurudi kwako! Huu ujinga ndio unanifanya Kigamboni sitaki hata kupasikia
Ivi huwa kuna hospitali kubwa kule? Just in case kuna emergency ya ugonjwa usiku
 
Kigamboni (sasa ni wilaya) ni sehemu ya jiji la Dar es Salaam ambayo tofauti na maeneo mengine ilichelewa kuendelezwa kimiundombinu mpaka kufika miaka ya 90. Watu walichelea kuishi huko kutokana na kupaona ni maporini palipostahili kuishi wanyama.

Hivi leo, mambo ni tofauti sana, mji unakua kwa kasi ya ajabu, barabara zinajengwa kutangulia makazi ya watu, ni sehemu pekee katika jiji la Dar es Salaam ambako ukiingia unasahau kuhusu foleni za barabarani, hali ya hewa ni nzuri kutokana kutokuwepo kwa ujenzi holela wa nyumba, ni karibu sana na city centre na kuna fursa nyingi za kuanzisha biashara.

Binafsi nilifika kwa mara ya kwanza na kuhamia Kigamboni mwaka 2015 kutoka Survey maeneo ya karibu na Mlimani city nilipoishi kwa takribani miaka minne ila mpaka kufikia leo sijawahi kujutia kuishi huku wala kuwaza kuhamia mahali pengine katika mji huu kutokana na sifa nilizozitaja hapo juu na kwa bahati nzuri Mungu amenijaalia kujenga kakibanda huku huku.

Kwa ambao hawajawahi kufika huku hudhani kwamba Kigamboni ni kisiwa na kwamba usafiri pekee wa kufika huku ni wa kuvuka maji kwa pantoni, la hasha! Kigamboni si kisiwa bali imetenganishwa na sehemu nyingine ya jiji kwa sehemu ya bahari iliyoingia nchi kavu (ghuba) ambayo ni bandari ya Dar es Salaam na Kwa sasa ukiachilia usafiri wa wa pantoni kuna daraja na barabara mbili ambazo unaweza kupita bila hata kuiona hiyo bahari.

Karibuni sana Kigamboni.
Hata Kibaha hakuna foleni hamieni kwa wingi wakuu

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Sehemu ni nyingi wanasema kuna totoz, ila hapo the camp nimeenda mwenyewe na nimekula mtoto mdogo safi kabisa!
Hata usiku huu nimepita nimewaona wapo.
We ulitoka kigoma juzi ushapata na hela ya kula watoto wadogo wasafi!?[emoji15]
 
Wengi wanaongea hapa mara ya mwisho kuja ukute miaka 10 iliyopita,siku hizi kwanza kuna njia ya kupitia kijichi bonge la barabara ahsante magufuli,mm nilikuja nilikuwa napita ila kuna siku nilimleta jamaa yangu kulipia kiwanja baada ya mwez na mm nikaja kulipia changu sasa hivi naishi huku!! Kufika mjini kutoka toangoma ni dk 20 tu,unaamua mrnyewe upite kijichi,darajani au kivukoni..
 
Ukiwa na gari ndo utaona tabu yake kama huna huwezi ona. Kwanza Kigamboni imejitenga na mji wakati wa usiku vivuko vinasumbua sana
Kwenye panton ufuate nini? Kuna entries za Kijichi, Tuangoma na Darajani.
Kigamboni iliyojitenga na mji ni ya wapi maana from Geza to Posta hazizidi Km 17?
Ninatoka Geza kwenda City Centre dakika 20-30 kwa njia ya darajani, bandari, Kilwa road hadi Sokoine Drive.
 
KIGAMBONI siwezi ishi full stop.
 
Back
Top Bottom