RRONDO
JF-Expert Member
- Jan 3, 2010
- 55,727
- 123,094
Statement yako ndio imeleta hilo swali. Like unakuwa offered au unalazimishwa uishi.Mkuu hili swali [emoji23][emoji23][emoji1316][emoji1316]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Statement yako ndio imeleta hilo swali. Like unakuwa offered au unalazimishwa uishi.Mkuu hili swali [emoji23][emoji23][emoji1316][emoji1316]
Kigamboni sio DarKigamboni (sasa ni wilaya) ni sehemu ya jiji la Dar es Salaam ambayo tofauti na maeneo mengine ilichelewa kuendelezwa kimiundombinu mpaka kufika miaka ya 90. Watu walichelea kuishi huko kutokana na kupaona ni maporini palipostahili kuishi wanyama.
Hivi leo, mambo ni tofauti sana, mji unakua kwa kasi ya ajabu, barabara zinajengwa kutangulia makazi ya watu, ni sehemu pekee katika jiji la Dar es Salaam ambako ukiingia unasahau kuhusu foleni za barabarani, hali ya hewa ni nzuri kutokana kutokuwepo kwa ujenzi holela wa nyumba, ni karibu sana na city centre na kuna fursa nyingi za kuanzisha biashara.
Binafsi nilifika kwa mara ya kwanza na kuhamia Kigamboni mwaka 2015 kutoka Survey maeneo ya karibu na Mlimani city nilipoishi kwa takribani miaka minne ila mpaka kufikia leo sijawahi kujutia kuishi huku wala kuwaza kuhamia mahali pengine katika mji huu kutokana na sifa nilizozitaja hapo juu na kwa bahati nzuri Mungu amenijaalia kujenga kakibanda huku huku.
Kwa ambao hawajawahi kufika huku hudhani kwamba Kigamboni ni kisiwa na kwamba usafiri pekee wa kufika huku ni wa kuvuka maji kwa pantoni, la hasha! Kigamboni si kisiwa bali imetenganishwa na sehemu nyingine ya jiji kwa sehemu ya bahari iliyoingia nchi kavu (ghuba) ambayo ni bandari ya Dar es Salaam na Kwa sasa ukiachilia usafiri wa wa pantoni kuna daraja na barabara mbili ambazo unaweza kupita bila hata kuiona hiyo bahari.
Karibuni sana Kigamboni.
Ni wapi?Kigamboni sio Dar
Usikute ata hapajui vizuriNi wapi?
Kadhia ya kusubiri pantoni ni sawa na kupita selander?Kwani unaogelea? Mbona watu wanavuka selander au tanzanite bridge daily?!
Kisarawe maporini hukoNi wapi?
😂😂😂😂Siwafokei bhana,hata Mimi Ni mmoja Kati ya makundi uliyotaja.Kuhusu bata mbona hata huko Kuna Pwezapweza,Cape joint,mmeongezewa na cape Giant na Nolasco.... Yaani huko kuzuri kwenda beach tu sio kukaa pamepoaa....Unatufokea?!! Sister du huwezi kukaa huko. Hakuna Kidimbwi,Samaki samaki. Wapangaji wengi wa Kigamboni ni wafanyakazi wa makampuni za mafuta,bandari,serikali kabla ya kuhamia Dodoma na wanafuzi wa IFM,TIA,Mwl Nyerere.
Duh mbona unavijua viwanja kama mkazi?!😂😂😂😂Siwafokei bhana,hata Mimi Ni mmoja Kati ya makundi uliyotaja.Kuhusu bata mbona hata huko Kuna Pwezapweza,Cape joint,mmeongezewa na cape Giant na Nolasco.... Yaani huko kuzuri kwenda beach tu sio kukaa pamepoaa....
Kadhia ya kusubiri pantoni ni sawa na kupita selander?
The possibility of drowning ni sawa?
Heri daraja la kigamboni
Siku hizi buses zinaanzia Kigamboni na kurudi zinaleta watu hadi Kigamboni. Wafanyabiashara wanajiongeza.Mbezi malamba mawili is better,karibu na bus terminal,karibu na airport,beach aziko mbali kihivyo,kigamboni ukitaka uione chungu uwe na safari ya mkoani kwa zile gari zinatoka saa 12 asubuhi ndio utajua haujui!
Huko chocho zote nazijua sio viwanja tu hata kwa wahanga maarufu napajua😂😂😂by the way bado nina watu wangu huko wanashindaga pale kwa mwingira so huwa napay visit mara mojamojaDuh mbona unavijua viwanja kama mkazi?!
Ukipita huko siku moja nishtue.Huko chocho zote nazijua sio viwanja tu hata kwa wahanga maarufu napajua😂😂😂by the way bado nina watu wangu huko wanashindaga pale kwa mwingira so huwa napay visit mara mojamoja
?? Wahanga wa nini hawa?, Mi mgeni dasalama!wahanga maarufu
YahhKumbe tatizo sio kuvuka maji, basi Sawa.
Hapo sawa mkuuSiku hizi buses zinaanzia Kigamboni na kurudi zinaleta watu hadi Kigamboni. Wafanyabiashara wanajiongeza.
?? Wahanga wa nini hawa?, Mi mgeni dasalama!
SawasawaUkipita huko siku moja nishtue.