Ha ha ha......mbuzi wapuuzi kwelikweli[emoji38]Kuna siku mvua inanyesha nikaenda kuwafungua ili wasiloe. Nikawakuta wanalia kweli.
Nimewafungua, tunakaribia bandani wakaanza kupiga misele kwenye majani na mvua bado inanyesha.
Atakula bonge la kwenzi hatoamini[emoji38]Mbuzi mnaweza kuwa mnakula kwenye zile sahani kubwa za kolabo , basi akapita akasimama kwenye sahani aone mtamfanya nini
Wafugaji wa mbuzi,Kwahiyo mnasemaje juu akili za wafugaji [emoji23][emoji23][emoji23]
mdudu yupi unamzungumzia?Na ujasiri mlikuwa nao 😂
Mie hata kuua mjusi nilikuwa siwezi
Sahivi nikipiga mdudu akafa nampa na pole
Ile test yao ya papuchi kama yaliyomo yamo huwa ni amazing sana[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mabeberu wana ugwadu sio wa nchi hii[emoji1787]
Dah!Nimechunga sana Mbuzi hasa enzi za udogoni(kabla sijaanza primary na kipindi niko primary, huu wakati ndio nimechunga sana pamoja na Ng'ombe, Kondoo, Punda)
Hata sasa nikienda kijijini kusalimia, lazima nichunge kuwasaidia na pia kitu ambacho nakipenda kutokana na kukifanya sana Udogoni.
Kati ya Wanyama wanaofungwa, Mbuzi ndiye anayesumbua wakati wa kuchunga.
Kero kubwa ni ulafi, wanavamia mazao yoyote yaliyopo mbele yao. Pia wana akili ya kukutega/kukuhadaa wewe mchungaji. Wanaweza kujifanya wameshiba na kulala chini huku wakicheu(wakitafuna majani waliyomeza kwa kuyatapika na kuyatafuna tena), ukizibaa kidogo utakuta washaamka na kukimbilia lilipo shamba na kuvamia mazao.
Wakifika lilipo shamba wanaingia ndani zaidi wakale mazao huko ndani, wengine wanajificha huko ndani ili waendelee kula mazao.
Wakivamia shamba la mtama uliokaribia kuiva, wanalaza/dondosha mabua ya mtama na wale punje za mtama.
Ukienda kuwatoa, walio wakorofi wataanza kukimbilia ndani ya shamba huku wakiendelea kula mtama wanaokutana nao mbele.
Muda huo ukiwa unakimbizana na mbuzi kama una ng'ombe nao wanaanza kuvamia shamba, inakuwa mtafaruku.
Hii adha imetukuta sana wachungaji na ilikuwa ni sababu kubwa ya kuchezea stick endapo mwenye shamba akinasa umelisha mazao yake.
Ha ha ha.....wan minyege mshindo sana[emoji38]Ile test yao ya papuchi kama yaliyomo yamo huwa ni amazing sana[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji1787][emoji1787]Wanapenda mazao ya watu utasema wanajua kulima. Niliwahi kumpiga mmoja ñusura nimuue baada ya kuwaongoza wenzake kula mazao nikapigwa halafu ile nimekaa nasikilizia maumivu kakaja kakanipigia chafya usoni
Jf never boringHahahahahaha watu wameamua waanze kuwananga/kuwachamba mbuzi!, hahahahahahaha.
Tanzania my country I'll never leave you aisee.
Dah! Mbuzi kumbe wapuuz hivi[emoji38]Kwenye kumpiga kwenzi kuwa makini mana ataondoka na initial Velocity ya 120km/hr , usishangae Ile momentum ya kurusha teke akatoka na jicho la mtu aliye pembeni
Mjusi, chavi chavi, Mende na wenzake 😂😂mdudu yupi unamzungumzia?
Ukiwa unawaswaga ama kwenda malishoni au kutoka malishoni, wao wana tabia ya kutangulia mbele mifugo mingine(Ng'ombe) huku wakiwa mbio kukimbilia palipo na shamba lolote mbele yao, unaweza kuwakemea wasimame na wasikutii kabisaDah!
Hawa wanyama kumbe pasua kichwa hivi?
Daaahh umenikumbusha, yaani mulemule😂😂Nimechunga sana Mbuzi hasa enzi za udogoni(kabla sijaanza primary na kipindi niko primary, huu wakati ndio nimechunga sana pamoja na Ng'ombe, Kondoo, Punda)