Ukitaka kujua hii nchi ina wajinga wengi tembelea @bambalivetz

Ukitaka kujua hii nchi ina wajinga wengi tembelea @bambalivetz

Pa-Paa

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2024
Posts
916
Reaction score
1,363
Umasikini na Maradhi angalau japo hali hairidhishi ila Ujinga bado sanaaaaa, sijui huu ufaulu unaopanda kila siku unapanda vilele vya ubwege au lah..

Si mara zote wanaiba kura ila hii nchi ina % kubwa ya wananchi wajinga haswa na huu ndo mtaji wa Sisiemu.

Alooh hii ni mi5 tena kama asemavyo Zuchu.

Screenshot_20241006_145415_TikTok Lite.jpg

Kuna ujinga mwingi sana huku @bambalivetz.
 
Umasikini na Maradhi angalau japo hali hairidhishi ila Ujinga bado sanaaaaa, sijui huu ufaulu unaopanda kila siku unapanda vilele vya ubwege au lah...!
Si mara zote wanaiba kura ila hii nchi ina % kubwa ya wananchi wajinga haswa na huu ndo mtaji wa Sisiemu.
Alooh hii ni mi5 tena kama asemavyo Zuchu.

View attachment 3116841
Kuna ujinga mwingi sana huku @bambalivetz.
Kwaiyo umekuja kuupigia promo huu ujinga wako humu jf?
 
Ujinga ni mtaji na biashara kubwa duniani.

Hata YouTube maudhui yaliyofanyiwa utafiti huwa hayana watazamaji wengi Ila uongo ndo hupata watazamaji wengi.

Mfano issue ya P didy imewaingizia Sana watu hela.

Ukiangalia ukweli kuhusu P Didy ni mdogo Ila uongo ndo mwingi Sana.

Hapa manabii wanapiga hela
You tuber wanapiga hela.

Paparazzi n.k

Ujinga ni mtaji na biashara kubwa
 
Sahihi kabisa, na hii inanifanyia niamini hakuna kiongoz awe wa dini au serkali anaetamani kwa dhati kutokomeza ujinga maana utakua ndio mwisho wa utajiri wake.
 
Unapambania views kiongozi.eti inalipa.kaza. mm hujanipata.
All the best
 
Back
Top Bottom