Lucha
JF-Expert Member
- Aug 24, 2018
- 14,516
- 50,658
Jamaa alikua anauliza watu swali
Unawazungumziaje watu wanao muworship mungu bila uoga wowote?
Majibu ya wa Tz
1. Wanao muworship Mungu bila uoga wowote wanakosea sana Mungu siyo wa kumfanyia mchezo.
2. Mimi nawashauri wanao muworship Mungu watubu dhambi zao na waache kumuworship.
3. Kama umewahi kumuworship Mungu tubu mapema na uache tabia hiyo kabla hujafa.
Shida yetu wa Tz huwa hatupendagi kuuliza kitu kama hatujaelewa ndo maana hata shule mwalimu anafundisha hatuelewi na akiuliza nani hajaelewa hatunyooshi mkono kuonyesha kuwa hatujaelewa matokeo yake tunajibu kibishi huku hatuelewi tunajibu nini