Kwaiyo umekuja kuupigia promo huu ujinga wako humu jf?Umasikini na Maradhi angalau japo hali hairidhishi ila Ujinga bado sanaaaaa, sijui huu ufaulu unaopanda kila siku unapanda vilele vya ubwege au lah...!
Si mara zote wanaiba kura ila hii nchi ina % kubwa ya wananchi wajinga haswa na huu ndo mtaji wa Sisiemu.
Alooh hii ni mi5 tena kama asemavyo Zuchu.
View attachment 3116841
Kuna ujinga mwingi sana huku @bambalivetz.
Sahihi kabisa, na hii inanifanyia niamini hakuna kiongoz awe wa dini au serkali anaetamani kwa dhati kutokomeza ujinga maana utakua ndio mwisho wa utajiri wake.Ujinga ni mtaji na biashara kubwa duniani.
Hata YouTube maudhui yaliyofanyiwa utafiti huwa hayana watazamaji wengi Ila uongo ndo hupata watazamaji wengi.
Mfano issue ya P didy imewaingizia Sana watu hela.
Ukiangalia ukweli kuhusu P Didy ni mdogo Ila uongo ndo mwingi Sana.
Hapa manabii wanapiga hela
You tuber wanapiga hela.
Paparazzi n.k
Ujinga ni mtaji na biashara kubwa
Sahihi kabisa, na hii inanifanyia niamini hakuna kiongoz awe wa dini au serkali anaetamani kwa dhati kutokomeza ujinga maana utakua ndio mwisho wa utajiri wake.