Ukitaka kujua kina cha maji tia mguu kwanza Israel walikutana na kitu kizito haswa

dem boy

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2016
Posts
6,580
Reaction score
15,739
The majority of the hundreds of kilometres of tunnels dug under #Gaza by Hamas remain untouched and difficult to access for the #Israeli military.⁠
.⁠
As the war on Gaza nears the end of its fourth month, the Israeli military has managed to damage or render inoperable an estimated 20-40 percent of the vast underground network, according to a Wall Street Journal (WSJ) report quoting multiple unnamed #US officials.⁠
.⁠
This is while #Israel has so far tried a variety of methods to clear the tunnels, including flooding them with water – ignoring concerns about the impact on Gaza’s freshwater supplies and above-ground infrastructure.⁠
.⁠
US officials reportedly say Israel would need many more troops to clear the rest of the tunnels, which also hold Hamas leaders and captives.⁠
.⁠
 
Hamas walivyovamia Israel walijua wanachokifanya kuchukuwa mateka na kuondoka nao walijua wanatakapowakeka na wakajua Israel watakuja lazima kutaka kuwakomboa, chini ya ardhi ya Gaza kuna mitaa kabisa bila mwenyeji huwezi kujua.
 
Mimi najiuliza sana, hayo mahandaki wameyajenga kwa muda gani? Na yana huduma gani za kibinadamu?
Inashangaza na kufikirisha.
Hapo lazima kuna Malaika alishuka na kuwapa mawazo ili walishinde, jeshi la shetani, linalo saidiwa na majeshi ya shetani wa duniani America, Uingereza na Europe, hizi nchi zote wameshiriki kumwaga damu nchi nyingi sana duniani.
 
Halafu mnavisha mizoga sanda nakujianika mbele ya camera huku mmebana marinda namikundu.
 
Hamas walivyovamia Israel walijua wanachokifanya kuchukuwa mateka na kuondoka nao walijua wanatakapowakeka na wakajua Israel watakuja lazima kutaka kuwakomboa, chini ya ardhi ya Gaza kuna mitaa kabisa bila mwenyeji huwezi kujua.

Chai hii. 😁
 
Unaonekana sio mstaarabu.
Kwa hii comment yako itoshe kusema una akili za balehe.
Kufeni tu wote kumbavu. Na labda ni magogo mnavisha sanda nakujianika mbele ya camera huku mmebanamikundu na marinda.

Israel don't sort them just kill them all
 
Demu vp hamas watatawala kutokea mashimoni???
 
Allah ndiyo hivyo😂 na hii Dua ambayo kwa miaka 1,400 mmekuwa mkimuomba Shetani wenu ALLAH imewafikisha wapi?

View: https://x.com/TheHarrisSultan/status/1751946246728860122?s=20
 
Mimi najiuliza sana, hayo mahandaki wameyajenga kwa muda gani? Na yana huduma gani za kibinadamu?
Inashangaza na kufikirisha.
Inasemekana walianza kuyachimba miaka 20 iliyopita kama sio zaidi
Na kote huko walikuwa wanajiandaa kwa vita siku moja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…