kahtaan
JF-Expert Member
- Jul 11, 2009
- 18,760
- 11,343
Kitabu kipi kitukufu kaleta huyo bi mkubwa.?Jamaa anakukaanga mpaka kwenye kitabu chenu takatifu kaka ebu nawe mkaange kwenye biblia yao. Papa ni kiongozi wa kanisa la roma sio ukristo
Ana copy na ku paste utopolo kisha analazimisha ati kitabu cha kwetu
We unaweza kubishana na muimba mchiriku ukamshinda?
Anatakiwa alete maandiko km haya.
Bwana Yesu anasema ktk
LUKA 19:27
Tena, wale adui zangu, wasiotaka niwatawale, waleteni hapa MWACHINJE mbele yangu.
Na Akahimiza ktk
MATHAYO 10:34 Kuwa " Msidhani kwamba nimekuja kuleta amani duniani. Sikuja kuleta amani bali UPANGA. Maana nimekuja kuleta mafarakano kati ya mtu na baba yake, kati ya binti na mama yake, kati ya mkwe na mkwe wake.
Na akatoa AMRI kwa wafuasi wake wote kwenye
LUKA 22:36
Akawaambia, Lakini sasa mwenye mfuko na auchukue, na mkoba vivyo hivyo; naye asiye na UPANGA, na auze joho lake AKANUNUE UPANGA.
Kwahio KUUA KWA UPANGA NA KUCHINJANA ni MAFUNZO YA BIBLIA.
Sasa mwambie alete vitu MUBASHARA km Hivi .
Sio kuandika namba za mistari na kukopi YouTube video za wahindi .