Ukitaka kujua kina cha maji tia mguu kwanza Israel walikutana na kitu kizito haswa

Ukitaka kujua kina cha maji tia mguu kwanza Israel walikutana na kitu kizito haswa

Unawajua hao na huyo kwenye picture? Mtaona kila rangi nyinyi waabudu wa yule Shetani aliyejivika mask ya Allah. Na huko Saudia MBS ndiyo huyo kawa ex-muslim; mkileta fyoko atawashughulikia
IMG_3105.png
 
Israel kafunga virago Gaza kakimbia mpa kawacha silaha zilizo kuwa zikitumika kuvunja majumba.

Siwalijidai hawasi.amishi vita mpa Hamasi amalizwe, walienda wapigia magoti Qatar na Egypt ili Hamasi asimamishe vita, kwa furaha mpaa wamesagau kubeba silaha zao 😄


View: https://youtu.be/hS0oeIac5QA?si=lozWpYYDVoLTIWFr

Ndugu zako hao wakitoka kusherekea ceasefire wanarudi kwenye tent zao 🤣🤣🤣
View: https://twitter.com/MOSSADil/status/1753156614406750461?t=w2nZ5c5qNBqqUY3oQu68sQ&s=19
 
Hao watoto wakikua wanageuka magaidi lazima wale kichapo
huoni kwamba huko ni kuishiwa mipango na mikakati au huko si ndo KUSHINDWA KABISA NA HAMAS mzee!!!
kama una akili timamu huitaji mtu kukwambia Israel imeshindwa na Hamas na Hamas imeishinda Israel
 
Wanagaza wamekesha usiku kucha kusubiria israel ikubali maombi yao na mapendekezo na israel katosa ceasefire hakuna ni fire juu ya fire neta hii trip hacheki na kima
😄 dogo aliye kataa ceasefire ni Hamasi, si Israel we baki unaimba kanisani tu.
 
Ndugu zako hao wakitoka kusherekea ceasefire wanarudi kwenye tent zao 🤣🤣🤣
View: https://twitter.com/MOSSADil/status/1753156614406750461?t=w2nZ5c5qNBqqUY3oQu68sQ&s=19
😄 Israel ndio anaomba ceasefire dogo alidhani Hamasi wamekubali ombi lao kwa njia ya Qatar, hao watu wa gaza lazima wafurahi na hata wa Tel Aviv walifurahi pia.

Hamasi ndio yeye anayeamua sio Israel dogo, Israel kabaki kuomba tu vita isimame kwa kuwatumia Qatar na Egypt


View: https://youtu.be/QEuHnfZlpJg?si=umx9M0a6G2NIBGYf
 
Back
Top Bottom