Ukitaka kujua kina cha maji tia mguu kwanza Israel walikutana na kitu kizito haswa

Toba! Basi naelewa kwanini walifanikiwa kwenye yale mashambulio ya Octoba 7!
Nahitaji sana elimu juu ya hili.
Ni kama Saddam wakati ule wa vita ya Iran walikuwa wanashangaa kwanini ananunua tons of cements kumbe alikuwa anajenga ma banker ya kujihami
Sio wao tu nchi nyingi sana zina mahandaki kwa ajili ya vita na wengine wana mpaka bunkers ambazo hata kama likipigwa nuclear bomb wanaweza kupona
Kwa mfano hapa 🇬🇧 kuna 258 Nuclear bunkers na waliyajenga miaka mingi iliyopita

Sasa hawa Hamas walijiandaa mda mrefu pia
Palestine hawajaanza kupigwa na kuonewa na waisrel leo bali ulikuwa ni muendelezo wa kuuwawa na kufungwa kwa miaka
Ila kuna watu wamekuja kuona tukio hili tu la kuuwawa wayahudi
Na haya mahandaki wayahudi wamefanya kila mbinu kuyaziba lakini wapi mpaka wametupa mabomu ya balloon ambayo yakipiga yanatanuka na kuziba mahandaki lakini bado ngoma ngumu kwani wamejiandaa sana hawa jamaa
Kama tungeweka ushabiki pembeni tungejifunza mengi
Ila ukisema hivi unaona mtu anaanza kutukana from nowhere ila tunavumiliana sana
 
Weka na picha ya mama yako anachinjwa basi tuone maana unaongelea Umma wote wa waislam kama jirani zako hapo ulipo wamewadhuru

Acha chuki za lukuvi dogo maana naona umepigwa rubber stamp huko kanisani

Ni sawa na mimi nisememe Ukristo wote unafundisha ushoga kisa papa kasema
Je na wewe ni shoga? Nikiamini hivyo
Utakuta una marafiki wa kiislam lakini umehificha nyuma ya keyboard ukidhihirisha ubaya wako na unafiki uliokujaa
Sasa unaweka upuuzi wa vikatuni vya chuki ili iweje

Badilika au nenda msikitini ukaongee hayo kama mwanaume
Hakika mpo wengi wenye roho chafu ya hivyo
Je na baba yako ana chuki hii hii bado au kabadilika
 
Mimi najiuliza sana, hayo mahandaki wameyajenga kwa muda gani? Na yana huduma gani za kibinadamu?
Inashangaza na kufikirisha.
Kuna kipindi msifie tu mtu zile sifa za kishujaa ili upate sababu ya kufanya mambo yako bila bughudha.
 
Wao walidhani vita kurusha viboom wako 15000ft ndio watashinda, hawajui vita ni chini sio kurusha viboom kulenga majumba [emoji1]
israel wamepeleka kesi ICJ kuwataka Hamas watoke ndan ya nchi ya Israel maana hali sio nzur kwa waisrael
 
jeshi takatifu hawakuona haya

tumedanganywa sana kuhusu uwezo wa nchi takatifu
lin wamewai jiita jeshi takatifu ? waislam ni dini ya shetan ndio maana uongo kwenu ni jambo la kawaida sana
 
Israel nawatakia heli waendeee kugawa kipigo bila huruma
 
israel wamepeleka kesi ICJ kuwataka Hamas watoke ndan ya nchi ya Israel maana hali sio nzur kwa waisrael
Hii itakua israel ya makunduchi au ya pale manzese mwembe chai kwa wavaa kobasi. Neta amesema hataki ushauri ni njugu tu zinatembea
 

hizi akili fupi ilikueje zikaingia hii nchi??

Israel ingekua inatumia tactic ya hamas kusinge kua na gaza leo ni suku moja !! gaza inabaki mavumbi na majivu
 
hizi akili fupi ilikueje zikaingia hii nchi??

Israel ingekua inatumia tactic ya hamas kusinge kua na gaza leo ni suku moja !! gaza inabaki mavumbi na majivu
hakuna tactic ambayo israel wanaweza fanya kushinda hii vita,we unadhani kupiga kila mahali pale GAZA ni tactic ya kipuuzi!!!
 
Makafiri wenye chuki mnachekesha badala ya kukasirisha.
Jesho la Israel lenye kusapotiwa na USA Linapigana NA watu wa kawaida wenye kutengeneza silaha vyumbani mwao na kila siku Wayahudi wanadondoka km Kuku mwenye ugonjwa wa gederi.

Walidai vita hii ni wiki 1 tu wanamaliza hamas wote
leo mwezi wa 4 unaenda.
wamekosa HAMAS sasa wanatupa mabomu ovyo na kuua watoto km chizi kashika panga
Bado nyie wayahudi wa bonyokwa mnashangilia
Yaani kazi kweli kweli. 😁
 
Mbona ndugu zenu hawa hamuwasaidii mpaka wanatoa laana eti huko peponi kwenye starehe ya bikra 72 mtasema nini kwa allah
Nyie vichaa mnachekesha sana
View: https://twitter.com/Osint613/status/1752382164467892247?t=1dp6lwD1Lcx1MwoKx1o2LQ&s=19
Usiumie sana USA kuwasapoti Yisrael hao ni ndugu tangu enzi na enzi hutaki uliza mabilionea wakubwa USA origin yao wote ni Jew
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…