Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
Sijui nani alaumiweAbiria wana ongezeka kila siku lakin mabasi yana pungua kila siku
😂😂 Hatari kwa kweli, afu tunadanganyana eti wazungu waliiba technolojia nyingi kwa waafrica,ukiuliza technolojia gani tulikuwa nayo hakuna majibuWatanzania wote uwezo wao wakufikiri na kutenda ni sawa, kuna kitu kipo kwenye DNA zetu.
Mwenye PHd hana tofauti form 4.
Tajiri hana tofauti na masikini.
Mwenye kuzurula Ulaya na Marekani hana tofauti na mkazi wa kibondo
Kuna ile mpo Nyoni halafu dereva anakuja na gari anawaringishia halafu anaenda parking. Anajiona nani sijui😀Abiria wana ongezeka kila siku lakin mabasi yana pungua kila siku
KASI ya RAHA imekuwa ya MATESO..!!!Amani kwenu
Mwendo kasi ni mateso
Mwendo kasi ni maumivu
Mwendo kasi ni majonzi
Mwendo kasi ni utungu
Wazungu njoon mtutawale tena sisi hatuwezi jaman
YESU njoo Africa tunateseka jaman
Na uchawa uchawa ushabiki wa Simba na YangaTunachoweza ni majungu na fitina
Shapaza shingo wakudavire ukiona umedavirwa jua haurudi aga kabisa kwenu kwamba hamtoniona tenaNimeshaacha kuandika na kutoa dukuduku kuhusu suala lolote kwenye hii nchi kiufupi Mwafrika hasa mtanzania ni kenge muoga anayekimbilia mtoni akikwepa kunyeshewa na mvua!
Alamsiki!
Mark my words. Hata SGR haitoboi miaka 10.Amani kwenu
Mwendo kasi ni mateso
Mwendo kasi ni maumivu
Mwendo kasi ni majonzi
Mwendo kasi ni utungu
Wazungu njoon mtutawale tena sisi hatuwezi jaman
YESU njoo Africa tunateseka jaman
Usimamizi mbovu wa Serikali yetuAmani kwenu
Mwendo kasi ni mateso
Mwendo kasi ni maumivu
Mwendo kasi ni majonzi
Mwendo kasi ni utungu
Wazungu njoon mtutawale tena sisi hatuwezi jaman
YESU njoo Africa tunateseka jaman
Sawa sawa😄Mdau namba moja!!
Yani hata wewe unayelalamikia mwendokasi umeshindwa kulalamika kwa detail.Amani kwenu
Mwendo kasi ni mateso
Mwendo kasi ni maumivu
Mwendo kasi ni majonzi
Mwendo kasi ni utungu
Wazungu njoon mtutawale tena sisi hatuwezi jaman
YESU njoo Africa tunateseka jaman
Mwendo wa ki Baltasar EngongaGuest zote za Goba hadi Mbezi Mwisho zimejaa mda huu, hapa ndio utaona umahiri wetu mkuu. Huko kwingine aaaah!
Na uvivu, wizi, uongo, kutokuwajibika, kulalamika kazi wakipewa foreigners, domo...Tunachoweza ni majungu na fitina
Mwendokasi ni vita,mwendokasi na Gaza isiyo na bomuNdugu masaa mawili kituon
Biashara nyingi za Serikali kwenye magari zinafanywa na ma agent wakati wao wanaweza kwenda kwenye Viwanda moja moja kupitia maafisa wao wa ununuzi ila hawafanyi hivyo kwa maslahi ya wahuni wachache..Na waliahidi wataleta mpya mwezi huu lakin mpaka sasa kimiya
Na rais tu tuliyenaye naye ndo tatizo linapoanzia
Tuna rais wa mchongo hii nchii