Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
Sijui nani alaumiweAbiria wana ongezeka kila siku lakin mabasi yana pungua kila siku
Mawaziri kila leo wanapanguliwa kama Draft au Chess
Yaani mpaka leo hatujui hata umuhimu wa usafiri jijini
Wananchi inawezekana wanapoteza karibia mwezi kwa mwaka kuwa barabarani tu
Huu ni mda mrefu sana unaopotea
Ila viongozi wao hawana msongamano wala nini
Akitanguliza police basi anatembea tu