Ukitaka kujua kuwa Afrika hatuwezi mfano ni mdogo tu usafiri wa mwendokasi nao umetushinda ni mateso

We call them cartels...na sasa ndo wanaitawala nchi...watahakikisha Tanzania na Watanzania wanabakia maskini milele...ila wao na familia zao watazidi kutajirika...sema Mungu anawaadhibu kwa namna nyingi tu...watoto wao huwa ni vilaza, wanakuwaga walevi na kufa mapema. Yaana hawanaga future.

Bado moto ulioandaliwa kwa ajili yao baada ya kifo..

Na sasa Mother Samia wamemweka kiganjani na wamejificha CCM humo
 
Amani kwenu

Mwendo kasi ni mateso
Mwendo kasi ni maumivu
Mwendo kasi ni majonzi
Mwendo kasi ni utungu

Wazungu njoon mtutawale tena sisi hatuwezi jaman

YESU njoo Africa tunateseka jaman
Mateso kwelikweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…