Ukitaka kujua kuwa Afrika hatuwezi mfano ni mdogo tu usafiri wa mwendokasi nao umetushinda ni mateso

Ukitaka kujua kuwa Afrika hatuwezi mfano ni mdogo tu usafiri wa mwendokasi nao umetushinda ni mateso

Biashara nyingi za Serikali kwenye magari zinafanywa na ma agent wakati wao wanaweza kwenda kwenye Viwanda moja moja kupitia maafisa wao wa ununuzi ila hawafanyi hivyo kwa maslahi ya wahuni wachache..
Ule mradi ni mkubwa wanaweza kupewa zaidi ya gari mia mbili na wasitoe hata cents moja malipo ni baada ya kazi ila wao hawawezi kufanya hivyo maana Agent wao akiwapa bei ya udarali hawataweza kulipa.
We call them cartels...na sasa ndo wanaitawala nchi...watahakikisha Tanzania na Watanzania wanabakia maskini milele...ila wao na familia zao watazidi kutajirika...sema Mungu anawaadhibu kwa namna nyingi tu...watoto wao huwa ni vilaza, wanakuwaga walevi na kufa mapema. Yaana hawanaga future.

Bado moto ulioandaliwa kwa ajili yao baada ya kifo..

Na sasa Mother Samia wamemweka kiganjani na wamejificha CCM humo
 
Amani kwenu

Mwendo kasi ni mateso
Mwendo kasi ni maumivu
Mwendo kasi ni majonzi
Mwendo kasi ni utungu

Wazungu njoon mtutawale tena sisi hatuwezi jaman

YESU njoo Africa tunateseka jaman
Mateso kwelikweli
 
Back
Top Bottom