Ukitaka kujua mke mmoja hatoshi, subiri mkeo ajifungue

Mwanaume unakuwaje na mwanamke mmoja,hivi bado mnasikiliza hizo ngonjera za dini na imani potofu.

Kwanza kabisa mwanaume unatakiwa kila siku unapiga show, hivi kwanini hamuudhurii vikao🤔
 
Hapa Bado ujahesabu zile siku 4 mpk 7 anazokua period kila mwezi.

Kiukweli siku hizi Huwa Ni mateso Sana kwetu wanaume
Kaka yaani ww ht kumaliza wiki huwezi?
Acha masihara
Ndo maana lzm kiwe na self control
 
Yani jitu unachanwa operesheni kulizalia, baada ya kulibebea mtoto wake kwa mateso halafu anachojua kulalamikia ni kutopewa mbususu, eti wanawake wa mjini wanachoka haraka sana. Daaah, moto mtakaochomwa nao mtajuta.
Hakuna mwanaume atachomwa kwa kutekeleza wajibu wake wa kulomba😎
 
Kuna wanyama ambao ni monogamous, mfano wolves, swans...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…