Ukitaka kujua ufisadi wa CCM angalia kiasi hiki walichotoa USAID mwaka 2023. Kwanini bado tunalipia huduma za afya?

Ok fine.

Marekani ni matapeli.

Sasa ni muda wa kuanzisha vya kwetu.
 
Kwa kifupi anayefadhili Elimu na Afya zetu Watanzania ni Mmarekani.

Nawaonaga Viongozi wa Tanzania ni wapumbavu sana wanapowasemaga vibaya Wamarekani.
Hata Lucas Mwashambwa hajui kwamba hela za Elimu Bure zinatoka Marekani! Anasema mama ametoa! Anatuona wajinga kwamba Tanzania ni nchi Pekee duniani ambayo inatekeleza mpango wa elimu Bure!
Ccm wanatuona matutusa sana I don't know why! Ila ni Kwa sababu wenye akili wamechagua kunyamaza na kuwaacha wajinga kuongea
 
75% yake ni posho na gharama za kujiendesha USAID Tanzania
 
Halafu eti tunamshukuru Mama kwa kutujengea zahanati kama vile ni fedha zake!! UDANGANYIFU
 
Ccm wanawaona watanzania wote nchi hii ni maiti. Tunaposema hiki chama hakistahili kuendelea kuwepo madarakani tueleweni jamani.
 
Kwa wale ambao hesabu ziliwapitia kushoto ni hivi...
Mwaka 2023 USD moja ilikuwa sawa na shilingi Tsh 2,720
Hivyo USD 512.8m ilikuwa sawa ni shilingi za Tanzana 1,394,816,000,000


Kwa kuwa Tanzania tuna mikoa 31, hizi hela tungelizigawa sawa kwa mikoa yote ndani ya Jamhuri, kila mkoa ungeambulia shilingi 45,000,000,000 (Bilioni 45!)

Kwa hakika CCM ni balaa!
 
Trililion plus zinatosha kugawia Kila Hospitali Bilioni 5 Nchi nzima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…