Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 9,016
- 24,650
Trilioni moja na ziada iyo.. kuna uzi mmoja hivi nimeusoma jana mtoa mada anasema ukiwa mtu smart basi jamii za kiafrika sio sehemu sahihi kwako kuishi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbaya zaidi chama cha mapinduzi kinashindwa kujificha kabisa kwa elites, matumizi ya chama makuubwa kuliko serikali inayosimamia ukusanyaji wa kodi na ugawanyaji wa huduma za kijamii kwa hao hao wananchi.Hizo hela zitakuwa ziliishia kwenye kulipa wasanii, kufanyia service ma V8 yao na kuwalipa kina mwijaku na Machawa wengine na viongozi wa dini wachumia tumbo
Na iyo ndio disadvantage ya demokrasia-wengi wape hata kama hao wengi ni wapumbavu.Nakubaliana na wadaj wanaosema kuwa CCM inapendwa na wengi walio na uwelewa mdogo na wa kati while upinzani ulio hai unapendwa na kuwa supported na watu wenye uwelewa wa juu na wenye upendo halisi juu ya nchi yao.
LAZIMA TUKUBALI KWAMBA CCM NI JANGA KWA NCHI YETU TENA NI KUNDI LA WAUAJI CHA KUSIKITISHA WASIO NA AKILI WANAWASHANGILIA INAUMA SANA.Wakuu,
Wakati napita pita zangu mitandaoni nimkeutana na hili bandiko linaloonesha kiasi cha pesa ambacho Marekani iliipa Tanzania mwaka 2023 kama msaada.
Inawezekanaje kwamba tulipewa msaada wa USD Milion 512 ndani ya mwaka mmoja kwenye sekta ya afya pekee alafu bado wagonjwa wanalala chini? Hizi hela zilienda wapi?
Hii chati inaonesha kuwa kwa mwaka 2023 Tanzania ndio iliongoza kupokea fedha nyingi Afrika kutoka Marekani kwenye sekta ya Afya, hizi zilienda kwa nani?
Yaani Mkuu wa Mkoa anajitokeza hadharani kusema wanawake ambao hawana hela ya kununua gloves wakajifungulie nyumbani meanwhile kuna kiasi kingi hiki cha fedha tulipewa na Marekani?
Naomba kusaidiwa nani alikuwa ni Waziri wa Afya mwaka 2023 na kwanini bado tunalipia huduma za afya wakati tulishapokea kiasi kingi hivi cha pesa kutoka kwa wahisani.
Inafaa sasa waanze kuomba misaada kwa hao Waarabu wanaouzia rasilimali zetu.Kwa kifupi anayefadhili Elimu na Afya zetu Watanzania ni Mmarekani.
Nawaonaga Viongozi wa Tanzania ni wapumbavu sana wanapowasemaga vibaya Wamarekani.
Kweli kabisa mkuu, CCM inazidi kutumia uelewa mdogo wa watanzania wengi kufanya ufisadi wa kutishaMbaya zaidi chama cha mapinduzi kinashindwa kujificha kabisa kwa elites, matumizi ya chama makuubwa kuliko serikali inayosimamia ukusanyaji wa kodi na ugawanyaji wa huduma za kijamii kwa hao hao wananchi.
Nakubaliana na wadaj wanaosema kuwa CCM inapendwa na wengi walio na uwelewa mdogo na wa kati while upinzani ulio hai unapendwa na kuwa supported na watu wenye uwelewa wa juu na wenye upendo halisi juu ya nchi yao.
Marekani ikiamua kuzuia misaada yake yote kwa nchi masikini wakaamua kuitumia hiyo fedha kwaajili yao tu, hakika kelele za kina China sijui Urusi au The Blicks hazingesikika abadani. Kama nchi inatoa misaada yote hiyo alafu bado inabaki kuwa nchi yenye budget kubwa duniani si masikhala mkuu....
C uliona birth day ya huko Dodoma walivotapanya hela? Bado zile Lissu anaziitaga 'pesa za abdul na mama yake'.Wakuu,
Wakati napita pita zangu mitandaoni nimkeutana na hili bandiko linaloonesha kiasi cha pesa ambacho Marekani iliipa Tanzania mwaka 2023 kama msaada.
Inawezekanaje kwamba tulipewa msaada wa USD Milion 512 ndani ya mwaka mmoja kwenye sekta ya afya pekee alafu bado wagonjwa wanalala chini? Hizi hela zilienda wapi?
Hii chati inaonesha kuwa kwa mwaka 2023 Tanzania ndio iliongoza kupokea fedha nyingi Afrika kutoka Marekani kwenye sekta ya Afya, hizi zilienda kwa nani?
Yaani Mkuu wa Mkoa anajitokeza hadharani kusema wanawake ambao hawana hela ya kununua gloves wakajifungulie nyumbani meanwhile kuna kiasi kingi hiki cha fedha tulipewa na Marekani?
Naomba kusaidiwa nani alikuwa ni Waziri wa Afya mwaka 2023 na kwanini bado tunalipia huduma za afya wakati tulishapokea kiasi kingi hivi cha pesa kutoka kwa wahisani.
Misaada kutoka kwa Mabeberu sio ya kuendekeza.Kwa kifupi anayefadhili Elimu na Afya zetu Watanzania ni Mmarekani.
Nawaonaga Viongozi wa Tanzania ni wapumbavu sana wanapowasemaga vibaya Wamarekani.
Achaga uongo, fedha kama fedha, BASKET FUND sisi wakaguzi Kila robo mwaka tunakagua, acha kudanganya watu,Saa nyingine hizi huwa sio fedha kama fedha
Marekani ni ngumu sana kukupatia fedha, anachofanya ni kukupa ARV au chanjo zikiwa overpriced ndo maana utaona kwamba wametoa kiasi kikubwa cha pesa ila sivyo ilivyo
Same same wanachofanyiwa Ukraine, wanapewa silaha obsolete halafu Marekani wanaweka high price ionekane ni mabilioni ya fedha
Can you read yourself and hear how you sound ?Saa nyingine hizi huwa sio fedha kama fedha
Marekani ni ngumu sana kukupatia fedha, anachofanya ni kukupa ARV au chanjo zikiwa overpriced ndo maana utaona kwamba wametoa kiasi kikubwa cha pesa ila sivyo ilivyo
Same same wanachofanyiwa Ukraine, wanapewa silaha obsolete halafu Marekani wanaweka high price ionekane ni mabilioni ya fedha
Wewe unaona milioni 560 dollar ni nyingi sana kwenye idadi ya watu zaidi ya millioni 60. Haifiki hata dolla 10 kwa mtuWakuu,
Wakati napita pita zangu mitandaoni nimkeutana na hili bandiko linaloonesha kiasi cha pesa ambacho Marekani iliipa Tanzania mwaka 2023 kama msaada.
Inawezekanaje kwamba tulipewa msaada wa USD Milion 512 ndani ya mwaka mmoja kwenye sekta ya afya pekee alafu bado wagonjwa wanalala chini? Hizi hela zilienda wapi?
Hii chati inaonesha kuwa kwa mwaka 2023 Tanzania ndio iliongoza kupokea fedha nyingi Afrika kutoka Marekani kwenye sekta ya Afya, hizi zilienda kwa nani?
Yaani Mkuu wa Mkoa anajitokeza hadharani kusema wanawake ambao hawana hela ya kununua gloves wakajifungulie nyumbani meanwhile kuna kiasi kingi hiki cha fedha tulipewa na Marekani?
Naomba kusaidiwa nani alikuwa ni Waziri wa Afya mwaka 2023 na kwanini bado tunalipia huduma za afya wakati tulishapokea kiasi kingi hivi cha pesa kutoka kwa wahisani.
Wewe unaona milioni 560 dollar ni nyingi sana kwenye idadi ya watu zaidi ya millioni 60. Haifiki hata dolla 10 kwa mtu
Hizo pesa ni pamoja miradi inayo endelea ya dawa nyingi za kinga kama AVR, malaria, mafunzo, nk
Huo ni misaada kweli lakini ni tone katika bahari. Tanzania kuwa na huduma za wastani za afya itataka labda si chini ya hizo pesa mara 20Uko sawa kweli wewe?
Dollar Million 560 ni ndogo?
Kumbuka hizo hela sio kodi yenu, ni msaada.
Ni nani atakupa msaada wote huo?
Hv Kuna wakati mmemuona trump hayuko sawa, kama upo wakati huo basi jueni mna matatizo makubwa mno, haiwezekani miaka 60 ya uhuru nchi ambayo imebarikiwa kila aina ya rasirimali bado haziwezi hata kujenga matundu ya choo..achilia mbali madawati ya wanafumzi, wanachoweza ni kuhonga rasirimali Kwa wageni Kwa mikataba ya kipuuzi, pamoja na kumiminiwa misaada lkn wamekosa vipaumbele na kuendekeza anasa za watawala huku huduma za kijamii zikizorota! Hata kama ni wewe unatoka hela zako kumsaidia mtu unaedhani ni maskini lkn kumbe mtu huyo anatumia kidogo anachokipata kuhonga na kunywa pombe sijui kama utaendelea kutoa msaada.
Kwani doto magari na mwijaku wanasemaje kuhusu wasanii kutengeneza kichuri.View attachment 3227287
Ngoja tuone wafadhili wasio matapeli watatufanyia nini.Mimi nimefanyakazi kwenye USAID Funded Projects pesa nyingi hubaki huko huko Marekani. Kwanza viongozi wa ngazi za juu za project lazima wawe Wamarekani na wanalimpwa mara 10 zaidi ya Mtanzania pia kuna wafanyakazi ambao wako based US lakini wanakuwa wanalipwa pesa hizo za project na pesa hizo zinalipwa kwenye account za mhusika huko huko USA, vifaa vyote vinatoka Marekani kwa bei ya juu sana. Pia mkiwa mnasafiri lazima mtumie ndege za US flag. Hivyo pesa ambazo zitakuwa zimewanufaisha watz kati ya hizo ni asilimia robo tu lakini kwenye matangazo wanatoa pesa zote wameleta TZ. Wamarekani ni matapeli sana.
Huo ni misaada kweli lakini ni tone katika bahari. Tanzania kuwa na huduma za wastani za afya itataka labda si chini ya hizo pesa mara 20