Ukitaka kujua ufisadi wa CCM angalia kiasi hiki walichotoa USAID mwaka 2023. Kwanini bado tunalipia huduma za afya?

Inawezekanaje kwamba tulipewa msaada wa USD Milion 512 ndani ya mwaka mmoja kwenye sekta ya afya pekee alafu bado wagonjwa wanalala chini? Hizi hela zilienda wapi?
Umepewa vitabu vyote kukagua kama hela yote ilifika kwenye akaunti husika na ikatolewa kwenye akaunti hiyo kwa kazi husika? Inasemekana (Ndiyo maana Elon kawaka) 70% ya hizo hela huwa zinarudi zilikotoka lakini hazitudishwi kwenye hazina ya Marekani bali kwenye mifuko ya elites wa huko!
 
Wakuu,

Wakati napita pita zangu mitandaoni nimkeutana na hili bandiko linaloonesha kiasi cha pesa ambacho Marekani iliipa Tanzania mwaka 2023 kama msaada.

Hii chati inaonesha kuwa kwa mwaka 2023 Tanzania ndio iliongoza kupokea fedha nyingi Afrika kutoka Marekani kwenye sekta ya Afya, hizi zilienda kwa nani?

Yaani Mkuu wa Mkoa anajitokeza hadharani kusema wanawake ambao hawana hela ya kununua gloves wakajifungulie nyumbani meanwhile kuna kiasi kingi hiki cha fedha tulipewa na Marekani?

Naomba kusaidiwa nani alikuwa ni Waziri wa Afya mwaka 2023 na kwanini bado tunalipia huduma za afya wakati tulishapokea kiasi kingi hivi cha pesa kutoka kwa wahisani.

Hizo pesa zinaliwa na wachache na ccm ndio kabisaaa. Pesa zinachukuliwa na kutumika kwenye vikao vya ccm na ununuzi wa magari.

Trump kaumiza 70% ya wachaga ndani ya wizara ya afya, kaangalie wawakilishi wa WHO Tanzania, waaajiriwa wa MDH, Delloitte, EGPAF, CDC na madudu mengi wamejaa huko.

Nataka Trump akaze hata miaka 3 ili wakae sawa
 
Umepewa vitabu vyote kukagua kama hela yote ilifika kwenye akaunti husika na ikatolewa kwenye akaunti hiyo kwa kazi husika? Inasemekana (Ndiyo maana Elon kawaka) 70% ya hizo hela huwa zinarudi zilikotoka lakini hazitudishwi kwenye hazina ya Marekani bali kwenye mifuko ya elites wa huko!
Elon naye ni yule yule kama Trump. Wote wasaka madili!
 
USAID media payments could be ‘biggest scandal in history’ – Trump​

The White House has canceled government subscriptions to Politico amid state funding accusations
Billions of dollars have been stolen at USAID and used to pay for positive media coverage of Democrats, US President Donald Trump has said. The claim comes in conjunction with a White House announcement that it will stop “subsidizing” Politico.

In January, the Trump administration initiated significant changes to the US Agency for International Development (USAID). Trump ordered a near-total freeze on foreign aid, aiming to align assistance with his “America First” policy.

Trump took to Truth Social on Thursday to warn that “the biggest scandal in history” was brewing, after White House press secretary Karoline Leavitt acknowledged that American taxpayer money had been used to subsidize government subscriptions to Politico and other media outlets.

Leavitt was referring to Politico Pro, a premium legislative and regulatory tracking service used by multiple government agencies. Politico Pro subscriptions are reported to cost up to $10,000 annually
 
Wakuu,

Wakati napita pita zangu mitandaoni nimkeutana na hili bandiko linaloonesha kiasi cha pesa ambacho Marekani iliipa Tanzania mwaka 2023 kama msaada.

Inawezekanaje kwamba tulipewa msaada wa USD Milion 512 ndani ya mwaka mmoja kwenye sekta ya afya pekee alafu bado wagonjwa wanalala chini? Hizi hela zilienda wapi?

Hii chati inaonesha kuwa kwa mwaka 2023 Tanzania ndio iliongoza kupokea fedha nyingi Afrika kutoka Marekani kwenye sekta ya Afya, hizi zilienda kwa nani?

Yaani Mkuu wa Mkoa anajitokeza hadharani kusema wanawake ambao hawana hela ya kununua gloves wakajifungulie nyumbani meanwhile kuna kiasi kingi hiki cha fedha tulipewa na Marekani?

Naomba kusaidiwa nani alikuwa ni Waziri wa Afya mwaka 2023 na kwanini bado tunalipia huduma za afya wakati tulishapokea kiasi kingi hivi cha pesa kutoka kwa wahisani.

wewe uoni wanavyonenepa mashavu
 
Hawa CCM hawafai kabisa, Mama mjamzito anakosa huduma muhimu na kusimangwa kumbe kuna pesa nyingi tu zinatolewa .

Alafu kesho huyu huyu Mama anaipigia kura CCM, bure kabisa.
 
Wakuu,

Wakati napita pita zangu mitandaoni nimkeutana na hili bandiko linaloonesha kiasi cha pesa ambacho Marekani iliipa Tanzania mwaka 2023 kama msaada.

Inawezekanaje kwamba tulipewa msaada wa USD Milion 512 ndani ya mwaka mmoja kwenye sekta ya afya pekee alafu bado wagonjwa wanalala chini? Hizi hela zilienda wapi?

Hii chati inaonesha kuwa kwa mwaka 2023 Tanzania ndio iliongoza kupokea fedha nyingi Afrika kutoka Marekani kwenye sekta ya Afya, hizi zilienda kwa nani?

Yaani Mkuu wa Mkoa anajitokeza hadharani kusema wanawake ambao hawana hela ya kununua gloves wakajifungulie nyumbani meanwhile kuna kiasi kingi hiki cha fedha tulipewa na Marekani?

Naomba kusaidiwa nani alikuwa ni Waziri wa Afya mwaka 2023 na kwanini bado tunalipia huduma za afya wakati tulishapokea kiasi kingi hivi cha pesa kutoka kwa wahisani.

Interesting, very interesting. Na bado toto afya kadi nayo ikafutwa kwasababu eti mfuko umeelemewa; Tanzania, mmh!
 
Waafrica tu namatatizo makubwa. Latest data za 2023 zinaonyesha Africa ilipokea aid yenye thamani ya $60 billion.

Wakati huo kwa mwaka viongozi wa Africa inakadiriwa wanatorosha kati $40-$50 billion, kwenda kwenye mabank ya wazungu.

Shughuli kubwa za bank huko kwenye nchi zilizoendelea ni kukopesha biashara start up (new entrepreneurs), kukopesha biashara zilizopo (kuweza kukuwa), na biashara zinazo chechemea kuweza kuinuka.

Biashara au private sector ndio mwajiri mkubwa huko kwa wazungu.

Sasa wizi wa viongozi wa Africa unafaida gani kwa wazungu, huko ni kuwapelekea banks mitaji ambayo inaingia kwenye economic circle yao wakati kwenu Africa bank zenu zinapata faida kwa pay day lending only.

Zikija tena hizo $60 billion, tunachota $40 billion kurudisha kwenye private banks zao na kuwapa mitaji ya kuchochea uchumi wao. Wakati hiyo misaada ni madeni ya serikali ambayo maskini wanalipa.

We are in this cycle, jiulize tunatoka vipi na sampuli ya viongozi tunaochagua na chawa wao. Huko kwa wazungu banks zinaenda kuomba matajiri wakaweke hela kwenye banks zao. Viongozi wetu wanawapelekea bure tena ukute zinakaa kwenye current account tu hakuna savings interest wananayopata.

Africa has multitude of problems, hizo $543 million sehemu kubwa watu wamekula na hela zimęrudi ulaya. Huku bank zetu faida yake ni mikopo yawafanyakazi badała ya kibiashara; hizo ajira zitatoka wapi.

May be we were cursed as they say, maana upuuzi wetu ni too much.
 
Wakuu,

Wakati napita pita zangu mitandaoni nimkeutana na hili bandiko linaloonesha kiasi cha pesa ambacho Marekani iliipa Tanzania mwaka 2023 kama msaada.

Inawezekanaje kwamba tulipewa msaada wa USD Milion 512 ndani ya mwaka mmoja kwenye sekta ya afya pekee alafu bado wagonjwa wanalala chini? Hizi hela zilienda wapi?

Hii chati inaonesha kuwa kwa mwaka 2023 Tanzania ndio iliongoza kupokea fedha nyingi Afrika kutoka Marekani kwenye sekta ya Afya, hizi zilienda kwa nani?

Yaani Mkuu wa Mkoa anajitokeza hadharani kusema wanawake ambao hawana hela ya kununua gloves wakajifungulie nyumbani meanwhile kuna kiasi kingi hiki cha fedha tulipewa na Marekani?

Naomba kusaidiwa nani alikuwa ni Waziri wa Afya mwaka 2023 na kwanini bado tunalipia huduma za afya wakati tulishapokea kiasi kingi hivi cha pesa kutoka kwa wahisani.

Ukiwa sikiliza wansotumia ARV's walikuwa wanapewa na dawa za magonjwa nyemelezi ghafla waakacha kuwapa mwaka juzi wakidai hakuna Hela.
Mfuko wa Rais wa Marekani specifically wanatoa fedha za dawa za Ukimwi TB Ukoma na chanjo wajanja sijui wanatumia kuwalipa kina Kitenge na Zembwela?
 
Naomba Trump aendelee kukaza ili kusudi wapate akili.
Marekani ikiamua kuzuia misaada yake yote kwa nchi masikini wakaamua kuitumia hiyo fedha kwaajili yao tu, hakika kelele za kina China sijui Urusi au The Blicks hazingesikika abadani. Kama nchi inatoa misaada yote hiyo alafu bado inabaki kuwa nchi yenye budget kubwa duniani si masikhala mkuu....
 
Back
Top Bottom