Ukitaka kujua ufisadi wa CCM angalia kiasi hiki walichotoa USAID mwaka 2023. Kwanini bado tunalipia huduma za afya?

Hilo chaka la kubeba fedha limeshafyekwa na trump acha kabisa.
 

Usihangaike na waganga njaa kutoka CCM mkuu

Akili wanaziachaga pale Lumumba wakienda kuchukua posho
 

Nimeona kuna mtu anasema hizo fedha ni kidogo.
 

Hivi unaelewa maana ya neno DISBURSEMENT wewe?

Hizo pesa sio ahadi ni kwamba zilikuwa zkmeshatoka na zimeshafikia wahusika.

Elewa maana ya neno DISBURSEMENT
 
Interesting, very interesting. Na bado toto afya kadi nayo ikafutwa kwasababu eti mfuko umeelemewa; Tanzania, mmh!

Ummy inaonekana alifanya madudu mengi sana huko Wizarani hadi Rais akamtoa huko.

Ni basi tu CCM wana tabia ya kufichiana siri
 
What are the disadvantages of foreign aid?


It can be used to manipulate or control the recipient country's politics, limit its autonomy, and weaken its sovereignty. Additionally, foreign aid can create a dependence on the donor country, which can lead to long-term economic and social problems for the recipient nation.
 
What are the disadvantages of foreign aid?

It can be used to manipulate or control the recipient country's politics, limit its autonomy, and weaken its sovereignty. Additionally, foreign aid can create a dependence on the donor country, which can lead to long-term economic and social problems for the recipient nation.
 

Wapinzani wakibanana na Repubican Senetors CCM watalegeza kamba kwenye uchaguzi. Dawa waanze mapema.

Njia nyingine ni kupitia kwa Musk waliyemfanyia kibano na Starlink yake.
 
JHPIEGO siyo NGO ya ndani hiyo. Ni ya Wamarekani hao hao! Asilimia kubwa ya fedha hizo huwa zinarudi Marekani kwa mlango wa nyuma!
 
Hii nchi bwana magovi nayenyewe yanaitaji project ? Aisee...
 
Daah!! Mpunga mwingi sana,na bado walikuwa hawataki Demokrasia ya kweli kata mwanangu kata.
 
CCM ndio matapeli.
 
Wewe ni mshamba

Hujui hizo numbers
 
Na hizo NGO hulazimishwa kununua vifaa vyao vya utafiti huko Amerika kwa bei ya juu. Hela za USAID hurudi nyingi nchini kwao kihuni.
 
Ndiyo maana wanakosa amani kabisa, mpaka wanalegeza mawani Yao, Trump anasema kuna ufisadi mkubwa humo,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…