P h a r a o h
JF-Expert Member
- Mar 25, 2024
- 785
- 1,413
wewe si unajisifiga una ngwengwe mkuu huoni arv zitaadimikaYupo sahibi kweli kweli. Yaani anapaswa ashikilie hapo hapoa.
Waafrica ni kuwabana kwenye plaiz na kuendelea kiwaminyaàaaaaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wewe si unajisifiga una ngwengwe mkuu huoni arv zitaadimikaYupo sahibi kweli kweli. Yaani anapaswa ashikilie hapo hapoa.
Waafrica ni kuwabana kwenye plaiz na kuendelea kiwaminyaàaaaaa
Mie sijawahi tumia arv so nipo mukide kabisaaawewe si unajisifiga una ngwengwe mkuu huoni arv zitaadimika
Haijalishi wasingetoa hiyo misaada tungeincur hizo gharamaSaa nyingine hizi huwa sio fedha kama fedha
Marekani ni ngumu sana kukupatia fedha, anachofanya ni kukupa ARV au chanjo zikiwa overpriced ndo maana utaona kwamba wametoa kiasi kikubwa cha pesa ila sivyo ilivyo
Same same wanachofanyiwa Ukraine, wanapewa silaha obsolete halafu Marekani wanaweka high price ionekane ni mabilioni ya fedha
Shukran sana kwa kutuelewesha,wewe ni msomi wa kiwango kikubwa,mleta uzi ameshindwa kufahamu hili.Itakuwa hatoi pesa,wanatoa dawa.Saa nyingine hizi huwa sio fedha kama fedha
Marekani ni ngumu sana kukupatia fedha, anachofanya ni kukupa ARV au chanjo zikiwa overpriced ndo maana utaona kwamba wametoa kiasi kikubwa cha pesa ila sivyo ilivyo
Same same wanachofanyiwa Ukraine, wanapewa silaha obsolete halafu Marekani wanaweka high price ionekane ni mabilioni ya fedha
Asante tumekuelewaMimi nimefanyakazi kwenye USAID Funded Projects pesa nyingi hubaki huko huko Marekani. Kwanza viongozi wa ngazi za juu za project lazima wawe Wamarekani na wanalimpwa mara 10 zaidi ya Mtanzania pia kuna wafanyakazi ambao wako based US lakini wanakuwa wanalipwa pesa hizo za project na pesa hizo zinalipwa kwenye account za mhusika huko huko USA, vifaa vyote vinatoka Marekani kwa bei ya juu sana. Pia mkiwa mnasafiri lazima mtumie ndege za US flag. Hivyo pesa ambazo zitakuwa zimewanufaisha watz kati ya hizo ni asilimia robo tu lakini kwenye matangazo wanatoa pesa zote wameleta TZ. Wamarekani ni matapeli sana.
Wengi hawajui English.Inaonyeshz wazi,zimetumika huko huko kwao Marekani.USAID media payments could be ‘biggest scandal in history’ – Trump
The White House has canceled government subscriptions to Politico amid state funding accusations
Billions of dollars have been stolen at USAID and used to pay for positive media coverage of Democrats, US President Donald Trump has said. The claim comes in conjunction with a White House announcement that it will stop “subsidizing” Politico.
In January, the Trump administration initiated significant changes to the US Agency for International Development (USAID). Trump ordered a near-total freeze on foreign aid, aiming to align assistance with his “America First” policy.
Trump took to Truth Social on Thursday to warn that “the biggest scandal in history” was brewing, after White House press secretary Karoline Leavitt acknowledged that American taxpayer money had been used to subsidize government subscriptions to Politico and other media outlets.
Leavitt was referring to Politico Pro, a premium legislative and regulatory tracking service used by multiple government agencies. Politico Pro subscriptions are reported to cost up to $10,000 annually
NaungaWewe unaona milioni 560 dollar ni nyingi sana kwenye idadi ya watu zaidi ya millioni 60. Haifiki hata dolla 10 kwa mtu
Hizo pesa ni pamoja miradi inayo endelea ya dawa nyingi za kinga kama AVR, malaria, mafunzo, nk
Tumia akili hata mtoto mdogo,wafikiri Marekani,watzletz US dola au dawa zenye thamani hiyo.Wataleta dawa,Tangu kuasisiwa nchi hii haijawahi kuwa na ufisadi wa kutisha km huu wa awamu ya Samia
Tatizo elimu,wengi humu,elimu ni ndogo.Pesa ni kwa ajili ya dawa,na wananua kwenye viwanda vyao,vya Amerika,ili pesa isikae bure,izunguke,kuwe na ajira kwao,America.Fedha za USAID zilikua zinakuja na maelekezo, huwezi kununua vitanda wala magodoro kwa fedha hizo, zaidi zilikua zinafanya kazi za ukimwi
Zimerudi America,kwa kuleta dawa kutoka kwenye viwanda vyao.Ili mzunguko wa pesa,uwe kwao,na pia kuongeza ajira kwao.Ukiangalia hizo sura, kuna hata moja ya mcha Mungu hapo? Halafu wauliza $ 512 zimekwenda wapi? Ebo! Magari ya Tamisemi hukuyaona?
Kodi pekee haiwezi fund health care system to the optimal level (hata kwa developed countries), labda tuki-achieve universal health insurance (hii ni the best health funding source), na Wenzetu walioendelea ndyo wako huko, huduma za Afya Bure=very poor quality service.Mkijumlisha na kodi zenu bado hazitoshi?
Sasa kwanini tuliamua kuwa taifa huru kama hatuwezi kuwapa watu wetu huduma za msingWewe umeandika utenzi mreefu. Mimi nimekupa hesabu hapo. Kua huo misaada tunatoa shukurani lakini Bado ni kama tone katika bahari. Kuhudumia watu milioni 60 kuwapa huduma ya wastani inahitaji pesa nyingi sana ambapo Tanzania pamoja na misaada na bajeti yake Bado haitoshi.
I know what I am saying,Nilitegemea utabishia hoja yangu with facts and data
"I Bet" and "Mostly" ni maneno ya kijinga sana unapokuja ku-refute hoja nzito kama hii
Wewe unaongelea stori za vijiweni wakati sisi wengine tumefanya kazi na hao USAID na kulipwa na hazina ya Marekani. Kabishane na watu wa vijiweni kwenu.Kwa hiyo ukinunua kwenye kampuni za Marekani ndo nini?
Your argument on why huduma za afya ni mbovu na tunapokea pesa nyingi ni kwa sababu tunanunulia vifaa kutoka kwa Wamarekani?
Omba Mods wakubadilishie hiyo ID.
Hata huyo unayemfanyia uchawa akiona kwamba haya ndo maoni yako atakushangaa
Ukweli ni upi?Sio kweli
Mi sio muongo, ni wewe tu umeshindwa kuelewa nilichoandika. Statement ya yangu imetoa angalizo "Wakati mwingine...."A
Achaga uongo, fedha kama fedha, BASKET FUND sisi wakaguzi Kila robo mwaka tunakagua, acha kudanganya watu,
Hizi ripoti za robo zinakuwa compiled, na IAG .
Ni fedha kwa maana ya CASH
Yes I can and I sound perfectly correct.Can you read yourself and hear how you sound ?
Kwa nini ukubali vitu overpriced? Ndio ufisadi wenyewe.Saa nyingine hizi huwa sio fedha kama fedha
Marekani ni ngumu sana kukupatia fedha, anachofanya ni kukupa ARV au chanjo zikiwa overpriced ndo maana utaona kwamba wametoa kiasi kikubwa cha pesa ila sivyo ilivyo
Same same wanachofanyiwa Ukraine, wanapewa silaha obsolete halafu Marekani wanaweka high price ionekane ni mabilioni ya fedha
Ni kama hiyo fedha haina auditing
Trump atamaliza miaka yake minne waamerika mkiwa na hali nzuri zaidi kuliko ilivyo sasa.Misaada isiyo na kikomo ife!
Hivi sisi ni majuha kiasi gani?