Ukitaka kujua ufisadi wa CCM angalia kiasi hiki walichotoa USAID mwaka 2023. Kwanini bado tunalipia huduma za afya?

Ukitaka kujua ufisadi wa CCM angalia kiasi hiki walichotoa USAID mwaka 2023. Kwanini bado tunalipia huduma za afya?

512.8m dollar ni sawa na 1.33 Trilion. Aisee CCM mna dhambi nyiee hii hela yote imeenda wapi?
Trump upo sahihi wacha tupukutike kwa ukimwi kwanza ili tuwe na adabu next time.
 
Hizo pesa ziliishia kuhonga wasanii, na manabii wa mchongo, kulipana ma per diem, kujaza mafuta na kupeleka service Yale ma V8 yao , kulipa machawa pro max ili kuwapigia debe
 
Saa nyingine hizi huwa sio fedha kama fedha

Marekani ni ngumu sana kukupatia fedha, anachofanya ni kukupa ARV au chanjo zikiwa overpriced ndo maana utaona kwamba wametoa kiasi kikubwa cha pesa ila sivyo ilivyo

Same same wanachofanyiwa Ukraine, wanapewa silaha obsolete halafu Marekani wanaweka high price ionekane ni mabilioni ya fedha
Haijalishi wasingetoa hiyo misaada tungeincur hizo gharama
 
Saa nyingine hizi huwa sio fedha kama fedha

Marekani ni ngumu sana kukupatia fedha, anachofanya ni kukupa ARV au chanjo zikiwa overpriced ndo maana utaona kwamba wametoa kiasi kikubwa cha pesa ila sivyo ilivyo

Same same wanachofanyiwa Ukraine, wanapewa silaha obsolete halafu Marekani wanaweka high price ionekane ni mabilioni ya fedha
Shukran sana kwa kutuelewesha,wewe ni msomi wa kiwango kikubwa,mleta uzi ameshindwa kufahamu hili.Itakuwa hatoi pesa,wanatoa dawa.
 
Mimi nimefanyakazi kwenye USAID Funded Projects pesa nyingi hubaki huko huko Marekani. Kwanza viongozi wa ngazi za juu za project lazima wawe Wamarekani na wanalimpwa mara 10 zaidi ya Mtanzania pia kuna wafanyakazi ambao wako based US lakini wanakuwa wanalipwa pesa hizo za project na pesa hizo zinalipwa kwenye account za mhusika huko huko USA, vifaa vyote vinatoka Marekani kwa bei ya juu sana. Pia mkiwa mnasafiri lazima mtumie ndege za US flag. Hivyo pesa ambazo zitakuwa zimewanufaisha watz kati ya hizo ni asilimia robo tu lakini kwenye matangazo wanatoa pesa zote wameleta TZ. Wamarekani ni matapeli sana.
Asante tumekuelewa
 

USAID media payments could be ‘biggest scandal in history’ – Trump​

The White House has canceled government subscriptions to Politico amid state funding accusations
Billions of dollars have been stolen at USAID and used to pay for positive media coverage of Democrats, US President Donald Trump has said. The claim comes in conjunction with a White House announcement that it will stop “subsidizing” Politico.

In January, the Trump administration initiated significant changes to the US Agency for International Development (USAID). Trump ordered a near-total freeze on foreign aid, aiming to align assistance with his “America First” policy.

Trump took to Truth Social on Thursday to warn that “the biggest scandal in history” was brewing, after White House press secretary Karoline Leavitt acknowledged that American taxpayer money had been used to subsidize government subscriptions to Politico and other media outlets.

Leavitt was referring to Politico Pro, a premium legislative and regulatory tracking service used by multiple government agencies. Politico Pro subscriptions are reported to cost up to $10,000 annually
Wengi hawajui English.Inaonyeshz wazi,zimetumika huko huko kwao Marekani.
 
Wewe unaona milioni 560 dollar ni nyingi sana kwenye idadi ya watu zaidi ya millioni 60. Haifiki hata dolla 10 kwa mtu
Hizo pesa ni pamoja miradi inayo endelea ya dawa nyingi za kinga kama AVR, malaria, mafunzo, nk
Naunga
Tangu kuasisiwa nchi hii haijawahi kuwa na ufisadi wa kutisha km huu wa awamu ya Samia
Tumia akili hata mtoto mdogo,wafikiri Marekani,watzletz US dola au dawa zenye thamani hiyo.Wataleta dawa,
Fedha za USAID zilikua zinakuja na maelekezo, huwezi kununua vitanda wala magodoro kwa fedha hizo, zaidi zilikua zinafanya kazi za ukimwi
Tatizo elimu,wengi humu,elimu ni ndogo.Pesa ni kwa ajili ya dawa,na wananua kwenye viwanda vyao,vya Amerika,ili pesa isikae bure,izunguke,kuwe na ajira kwao,America.
 
Ukiangalia hizo sura, kuna hata moja ya mcha Mungu hapo? Halafu wauliza $ 512 zimekwenda wapi? Ebo! Magari ya Tamisemi hukuyaona?
Zimerudi America,kwa kuleta dawa kutoka kwenye viwanda vyao.Ili mzunguko wa pesa,uwe kwao,na pia kuongeza ajira kwao.
 
Mkijumlisha na kodi zenu bado hazitoshi?
Kodi pekee haiwezi fund health care system to the optimal level (hata kwa developed countries), labda tuki-achieve universal health insurance (hii ni the best health funding source), na Wenzetu walioendelea ndyo wako huko, huduma za Afya Bure=very poor quality service.
 
Wewe umeandika utenzi mreefu. Mimi nimekupa hesabu hapo. Kua huo misaada tunatoa shukurani lakini Bado ni kama tone katika bahari. Kuhudumia watu milioni 60 kuwapa huduma ya wastani inahitaji pesa nyingi sana ambapo Tanzania pamoja na misaada na bajeti yake Bado haitoshi.
Sasa kwanini tuliamua kuwa taifa huru kama hatuwezi kuwapa watu wetu huduma za msing
Na kwanini tunafanya chaguzi kuchagua viongozi kama hawana ubunifu wa kutosha kulikwamua taifa?
 
Nilitegemea utabishia hoja yangu with facts and data

"I Bet" and "Mostly" ni maneno ya kijinga sana unapokuja ku-refute hoja nzito kama hii
I know what I am saying,

Ndo kazi zangu hizi, kwa sasa nasimamia miradi mi2 ya zaidi ya 5M from EU.

Kwa kifupi kudeal na hawa watu NI kazi saana, you need a very long strategy ili kinachofanyika kionekane, otherwise output ni story tu
 
Kwa hiyo ukinunua kwenye kampuni za Marekani ndo nini?

Your argument on why huduma za afya ni mbovu na tunapokea pesa nyingi ni kwa sababu tunanunulia vifaa kutoka kwa Wamarekani?

Omba Mods wakubadilishie hiyo ID.

Hata huyo unayemfanyia uchawa akiona kwamba haya ndo maoni yako atakushangaa
Wewe unaongelea stori za vijiweni wakati sisi wengine tumefanya kazi na hao USAID na kulipwa na hazina ya Marekani. Kabishane na watu wa vijiweni kwenu.
 
A

Achaga uongo, fedha kama fedha, BASKET FUND sisi wakaguzi Kila robo mwaka tunakagua, acha kudanganya watu,
Hizi ripoti za robo zinakuwa compiled, na IAG .

Ni fedha kwa maana ya CASH
Mi sio muongo, ni wewe tu umeshindwa kuelewa nilichoandika. Statement ya yangu imetoa angalizo "Wakati mwingine...."

Elewa kiswahili na kilichoandikwa kabla ya kujibu. Kwahiyo nikuulize, mkishapokea hizo pesa ndo serikali inafuata ARV na hizo chanjo nyingine US??
 
Saa nyingine hizi huwa sio fedha kama fedha

Marekani ni ngumu sana kukupatia fedha, anachofanya ni kukupa ARV au chanjo zikiwa overpriced ndo maana utaona kwamba wametoa kiasi kikubwa cha pesa ila sivyo ilivyo

Same same wanachofanyiwa Ukraine, wanapewa silaha obsolete halafu Marekani wanaweka high price ionekane ni mabilioni ya fedha
Kwa nini ukubali vitu overpriced? Ndio ufisadi wenyewe.

Trump sio mjinga, kama ni hivyo si angeacha waendelee kuvuna. Kwa nini anataka tujitegemee?

Kwa namna yeyote ile mleta hoja bado ana mantiki.
 
Back
Top Bottom