Majighu2015
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 2,937
- 3,959
- Thread starter
- #21
Ya kuwa na namba kubwaHongera ya nini tena?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ya kuwa na namba kubwaHongera ya nini tena?
Tumesema mtume miguu ya wanaume sio ya wanawake
Tatizo imekolea chumviChai
Mjusi akilembwa sana anakuwa kengeNyoka akilembwa Sana anakuwa mjusi.
Asante na tuko pamoja Mkuu wangu.Salute kwako kamanda.
Uzi umejaa waganga na Theory Mwitu nyingiii.Mjusi akilembwa sana anakuwa kenge
Kwa namna ulivyo-smile na miwani juu najua umeshajua ukweli. Ila sasa sijajua upo kundi gani? Funguka walau kiduchuAcha basi🤓
Pamoja mkuu. Hizi elimu ni muhimu kwa vijana wetu.Asante na tuko pamoja Mkuu wangu.
Kuna hogo la jang'ombe lingine linaumiza.kama mnapendana mtafikishana tu.
hamna cha ukubwa hapa[emoji23]
Umbile la kidole cha mwanaume kinaweza hathirika na viatu anavyovaa. Kama ni viatu vya kubana siku zote, wewe muangaliaji utakiona kidole kimechongoka, ama chembamba.Haya wanaume wote tupieni vidole vyenu vya miguu Kuna kitu nataka kuona tuanze na mshamba_hachekwi
Joto kama lote humo Kwa rangi hii