Kuna upigaji tu umeshatengezwa hapo.Sio kweli sasa mtu akate tiketi na alipie the asisafiri? Mtoa mada hajielewi. Pia kuna watu wanapandia njiani
Unapofanya buking'i haulipi, nauli ya basi na treni inafanana mwenye basi akinunua tikiti 10 kwa sh.13,000/= kila moja ili abiria wapande basi lake kwa nauli hiyohiyo ya sh.13,000/= atapata faida gani? Muda wa buking'i huisha kabla chombo hakijaondoka na nafasi yako huchukuliwa na mtu mwingine.Kama wanafanya booking hakuna shida.maana wanakuwa wamelipa
Hata kwenye mabus Kuna muda booking Yako ni valid,ukipita inauzwa kwa mtu mwingine,hata hili Menejimenti ya SGR hawajui.yale Yale yaliyoua KAMATA na TRC yanachukiza sanaUkitaka kukata ticketi unaambiwa treni imejaa, muda wa kuondoka treni inakuwa wazi mabehewa hayana watu kumbe kuna hujuma ya watu wa mabasi, wanafanya booking na hawasafiri. Serikari iangalie hili swala kwa upana.
Pia, Soma=> Online booking SGR haifanyi kazi, nifanyaje?
Urasimu wa viongozi wenu wa ccm ndo umetufikisha hapaUkitaka kukata ticketi unaambiwa treni imejaa, muda wa kuondoka treni inakuwa wazi mabehewa hayana watu kumbe kuna hujuma ya watu wa mabasi, wanafanya booking na hawasafiri. Serikari iangalie hili swala kwa upana.
Pia, Soma=> Online booking SGR haifanyi kazi, nifanyaje?
Kwani wakifanya bookings hawalipii?Hiyo ni hujuma.Wanausalama wa nchi wawekwe huko kuangalia wazandiki.
Booking huwa hamna kulipa
Hata kwenye mabus Kuna muda booking Yako ni valid,ukipita inauzwa kwa mtu mwingine,hata hili Menejimenti ya SGR hawajui.yale Yale yaliyoua KAMATA na TRC yanachukiza sanaUkitaka kukata ticketi unaambiwa treni imejaa, muda wa kuondoka treni inakuwa wazi mabehewa hayana watu kumbe kuna hujuma ya watu wa mabasi, wanafanya booking na hawasafiri. Serikari iangalie hili swala kwa upana.
Pia, Soma=> Online booking SGR haifanyi kazi, nifanyaje?
Sasa kama abiria ni wengi mbona watu wa mabasi wanalia kwa kukosa abiria!? Wanasema abiria wote wanapanda train!!Sidhani kama ni hujuma za watu wa mabus. Abiria ni wengi sana jamani hiyo train haiwez accommodate abiria wote wanaosafari kwa siku
Watoa maamuzi ya uwepo wa treni ya SGR na namna ya uendeshaji ndo hao hao wenye mabasi 200 yanayofanya safari zake kati ya Moro-Dom-Dar, unategemea nini? Conflict of interest at its best level..!!Hujuma zimeanza tayari ili waue shirika
Angekuwepo Mwendazake wangemalizwa wote na ujinga wao, ipo siku hawa waarabu itabidi waondoke watupisheUkitaka kukata ticketi unaambiwa treni imejaa, muda wa kuondoka treni inakuwa wazi mabehewa hayana watu kumbe kuna hujuma ya watu wa mabasi, wanafanya booking na hawasafiri. Serikari iangalie hili swala kwa upana.
Kwa hiyo TRA haiwajui wafanyakazi wake wanaofanya hayo?Ukitaka kukata ticketi unaambiwa treni imejaa, muda wa kuondoka treni inakuwa wazi mabehewa hayana watu kumbe kuna hujuma ya watu wa mabasi, wanafanya booking na hawasafiri. Serikari iangalie hili swala kwa upana.
Pia, Soma=> Online booking SGR haifanyi kazi, nifanyaje?
😅😂😂😂Mitano tenaUkitaka kukata ticketi unaambiwa treni imejaa, muda wa kuondoka treni inakuwa wazi mabehewa hayana watu kumbe kuna hujuma ya watu wa mabasi, wanafanya booking na hawasafiri. Serikari iangalie hili swala kwa upana.
Pia, Soma=> Online booking SGR haifanyi kazi, nifanyaje?
Hujuma zilianza mapema sn bahati mabaya wanaohujumu ni makada wa CCMUkitaka kukata ticketi unaambiwa treni imejaa, muda wa kuondoka treni inakuwa wazi mabehewa hayana watu kumbe kuna hujuma ya watu wa mabasi, wanafanya booking na hawasafiri. Serikari iangalie hili swala kwa upana.
Pia, Soma=> Online booking SGR haifanyi kazi, nifanyaje?
ATCL ni kama haipo, mwendokasi imekufa na hii train haifiki Pasaka, CCM ni matapeli snUkitaka kukata ticketi unaambiwa treni imejaa, muda wa kuondoka treni inakuwa wazi mabehewa hayana watu kumbe kuna hujuma ya watu wa mabasi, wanafanya booking na hawasafiri. Serikari iangalie hili swala kwa upana.
Pia, Soma=> Online booking SGR haifanyi kazi, nifanyaje?
Hujuma za wana CCM ni matapeli na majizi ya mali za ummaKwanza mfumo tu haupo rafiki, wa ku update taarifa zao za safari