KERO Ukitaka kukata tiketi SGR unaambiwa treni imejaa, muda wa kuondoka treni inakuwa wazi

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Sio kweli sasa mtu akate tiketi na alipie the asisafiri? Mtoa mada hajielewi. Pia kuna watu wanapandia njiani
Kuna upigaji tu umeshatengezwa hapo.

Utakuta watu wanazo tiketi ukifika stesheni, mtu akipata hata elfu kumi tu kila tiketi, kashinda huyo.
 
Kama wanafanya booking hakuna shida.maana wanakuwa wamelipa
Unapofanya buking'i haulipi, nauli ya basi na treni inafanana mwenye basi akinunua tikiti 10 kwa sh.13,000/= kila moja ili abiria wapande basi lake kwa nauli hiyohiyo ya sh.13,000/= atapata faida gani? Muda wa buking'i huisha kabla chombo hakijaondoka na nafasi yako huchukuliwa na mtu mwingine.
 
Ukitaka kukata ticketi unaambiwa treni imejaa, muda wa kuondoka treni inakuwa wazi mabehewa hayana watu kumbe kuna hujuma ya watu wa mabasi, wanafanya booking na hawasafiri. Serikari iangalie hili swala kwa upana.

Pia, Soma=> Online booking SGR haifanyi kazi, nifanyaje?
Hata kwenye mabus Kuna muda booking Yako ni valid,ukipita inauzwa kwa mtu mwingine,hata hili Menejimenti ya SGR hawajui.yale Yale yaliyoua KAMATA na TRC yanachukiza sana
 
Sidhani kama ni hujuma za watu wa mabus. Abiria ni wengi sana jamani hiyo train haiwez accommodate abiria wote wanaosafari kwa siku
Sasa kama abiria ni wengi mbona watu wa mabasi wanalia kwa kukosa abiria!? Wanasema abiria wote wanapanda train!!
 
Alafu bia sh elfu 5 huu.ni uhuni na wizi mmkubwa sana waliangalie hilo
 
Serikali itupie macho kwenye hizi tuhuma.
Swala la SGR Ni kura ya turufu . Tunaomba vyombo vya dola vifanyie kazi swala hili na asiwepo mfanyabiashara au binadamu yoyote yule atakaekwamisha mradi huu wa gharama.

Viongozi hususan waziri wa uchukuzi hakikisha ufanisi wa mradi huu.
 
Ukitaka kukata ticketi unaambiwa treni imejaa, muda wa kuondoka treni inakuwa wazi mabehewa hayana watu kumbe kuna hujuma ya watu wa mabasi, wanafanya booking na hawasafiri. Serikari iangalie hili swala kwa upana.
Angekuwepo Mwendazake wangemalizwa wote na ujinga wao, ipo siku hawa waarabu itabidi waondoke watupishe
 
Ukitaka kukata ticketi unaambiwa treni imejaa, muda wa kuondoka treni inakuwa wazi mabehewa hayana watu kumbe kuna hujuma ya watu wa mabasi, wanafanya booking na hawasafiri. Serikari iangalie hili swala kwa upana.

Pia, Soma=> Online booking SGR haifanyi kazi, nifanyaje?
ATCL ni kama haipo, mwendokasi imekufa na hii train haifiki Pasaka, CCM ni matapeli sn
 
Kama wana lipia waendelee kuhujumu tu. Shida ni pale kama hawalipii. Na system inafanya seat reservations
 
Back
Top Bottom