Ukitaka kulimaliza Taifa lolote zimalize Taasisi hizi 4. Kagame yuko sahihi kutudharau Watanzania

Hizo taaisisi zote ni sehemu ya Utumishi wa Umma.Naona unachanganya machingwa na machenza.

Shida kubwa ya Tanzania ipo kwenye aina ya Wananchi wake,ukisha kuwa na jamii kama hii ni ngumu sana kuwa na ufanisi-maana drivers zote zinatokea kwa wananchi.

Ni mbaya zaidi akitokea mtu moja ambaye anataka kubadilisha mifumo inakuwa ngumu kwake kupewa support na wananchi maana hata hao wananchi vichwani mwao ni empty set.
 
Vyombo vya jeshi zilivyokubali kuingiliwa ki mifumo na wanasiasa ndiyo mwisho wa Taifa hili ....na siku zinavyozidi kwenda ndiyo tunaelekea kibra .
 
Nimechanganya kivipi? Kwa hiyo Wanajeshi wanawajibika chini ya Sheria ya Utumishi wa Umma?
 
Vyombo vya jeshi zilivyokubali kuingiliwa ki mifumo na wanasiasa ndiyo mwisho wa Taifa hili ....na siku zinavyozidi kwenda ndiyo tunaelekea kibra .
Tumeshaelekea kibra na kuchinjwa
 
Yupo sahihi sana maana ukiwa tu CCM unaweza kuwa muharifu bingwa lakini usifanywe chochote pia unaweza kufanya chochote, ukaingia popote.. uwe tu CCM.

Mifano...

1. Yule mbunge wa ccm aliyekamatwa na pembe za ndovu shinyanga kipindi Cha magufuli akufanywa chochote mpaka Leo..

2. Mrundi Kwa kuwa tu CCM amepanda vyeo mpaka kuwa makamo wa Rais.( HATARI SANA KWA USALAMA WA TAIFA)

3. Ngara Kuna mrundi mwanaccm anafanya atakavyo na sasa hivi ana cheo kikubwa kwenye taasis ya umma.
 
Kweli kabisa
 
Rwanda sasa hivi ni taifa imara kila idara ingawa ni taifa dogo.

Si wafahamu ukiwa mdogo huwa wafanyaje ili utambulike na uheshimiwe?

Hivyo PK na statements zake wengine twafahamu hatanii.
 
Kama unaamini kuropokaropoka ndio kuwa na akili, ebu waulize wazee wa Kihaya waliosema, "Ekyesilize nkinen 'aeigufa"!
 
east africa wote tunamchukia kagame

hakuna rais hata mmoja east africa anampenda kagame

none

na hii ni hatari kwake kuliko kitu kingine

achunge sana domo lake
OK, so you want to tell me, kwamba ili kummudu Kagame, inabidi East Africa yote waungane! Basi kweli jamaa ni kiboko🙌
 
Ninyi wapuuzi vilaza mna akili gani ya kushindana na Rwanda ? ,shithole brains . Mmeshindwa kujenga vyoo mje mshindane na Rwanda ? , na viongozi wenu mabongolala hao mataahira ya CCM ? , hebu kuwa na akili
 
Filipe nyusi alikuja kuomba misaada kuwapiga magaidi waliopo kaskazini kwa Msumbiji. Hawa magaidi waliua hadi raia wa Tanzania. Sisi hatukusaidia Kagame akapeleka wanajeshi wake hadi sasa kila kitu kipo sawa. Nchi kubwa kama hii imeshindwa kutoa wanajeshi kudhibiti Sehemu ndogo ya Msumbiji halafu unasema tuna jeshi ? Kumbuka hao magaidi waliua rais wa Tanzania na rais akakataa kupeleka jeshi.
 
Msicheze na Kagame , anaijua mpaka rangi ya chupi ya bibi yenu chaudere maushungi wa hapo Soko la kunuka uvundo wa samaki
 
Jibu ni ...kutokuwapa waislamu uongozi ..nilisha imba sana hapa
Kenya haijawahi na haitakaa iongoze na rais mvaa makobazi. Na ndio maana wamepiga hatua kuliko sisi. Hili swala nimeona sana. Swala la haki sawa linamaliza nchi. Tuangalie mtu mwenye uwezo. Na kumpa nchi mtu ambaye dini yake haijawahi jenga hospitali,shule wala chuo ni ujinga.
 
Kilichompata iddi amini asikitafute
Huna akili ,warfare imebadilika mno .Hizi hadithi za kale zishapitwa na wakati .Kifupi jeshi la CCM la wabangua korosho na kuponda kokoto halina ubavu wa kuzitwanga na Kagame , tena msithubutu ,mtafinywa na kunyooshwa mpaka Muite maji mmaa , na kwenye intelligence hili li nchi ndio lipo uchi kuliko wakati wowote ule katika historia , kwenye age hii ya drone warfare, missiles zenye kasi na explosiveness kubwa ,air defence systems na ndege za kisasa ,tena yule jamaa alivyo poa kwenye hiyo sekta .mnatafuta aibu
 
Ni kweli japo ukitazama kati ya tz na kenya sisi tz tunakila kitu kizuri kuliko kenya cha kutuwezesha kuwa na uchumi kuliko nchi zote za African mashariki...kila rais mkristo anapo weka mosingi thabiti anakuja rais muislamu anabomoa na kuvuruga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…