Ukitaka kuoa Sinza, Magomeni na Kinondoni sio sehemu nzuri za kuchagua mchumba


Pole yake
 
Hii topic ndio iliyonichefua kwa mwaka huu.
Msitukwazwe jamaniii
 

Sasa ulitaka tujibane kula wakati uwezo upo?
Kwa kifupi kinondoni sijapanga, tuna mjengo wa maana tu, msitake kuleta story zenu za vijiweni kwetu sisi....Kinondoni sitahama.
Kama sitaolewa duniani, nitaolewa akhera...kwanza aliyekuambia ndoa dili nani?
 
Jiwe limempata mtu nn katikati ya umati wa watu

Sio limempata mtu, unadhani wachumba zangu humu wakiona hii topic, si uchumba wangu utakuwa hatarini...msitukwaze jamani
 
hakuna aujuaye moyo wa mwenzie, OMBA MOLA akupe ubavu wako STAHIKIiiiiii

 
Kutana na wanawake wa mbagala,warembo ila wakati wa kupanda daladala unakuta mrembo anasukumana huku kavaa bukta la jeans kama tayti hana habari,wanawake wapo mbagala bhana.

Hahhahahahahhaha mkuu hatari sana, niliwaona pale stesheni ni noma halafu wakati wa kushuka wastarabu unaweza fikiri sio wao vile au hawajatokea mbagala.
 

madamerrrrrr
wamekukeraje leoooo....?!!!
 

Ni sheedah! wallah wa kukuoa hayupo! una maneno ya mtaani kaa wanawake wa Ilala? Anyway, ni walewale!
 
madamerrrrrr
wamekukeraje leoooo....?!!!

Yaani wamenikera....
unajua kuna baadhi ya misemo ya zamani imepitwa na wakati, i.e,samaki mmoja akioza au mwalimu wa wanawake alikuwa kipofu n.k...lakini bado kuna mijanaume inaitumia.
Watuacheeeeeeeeee.....kuolewa sio lazima nawaambia, kutafuta pesa ndo mpango mzima.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…