BICHWA KOMWE -
JF-Expert Member
- Jul 21, 2022
- 6,373
- 16,073
Wewe ni LIKILAZA.Ukiniita kilaza wakati Mimi sio kilaza hainigharimu chochote ni sawa unapaka rangi upepo.
Hiyo social experiment ya kiduwanzi ulianzaje kuwaza hizo pumba, mbona Kuna constructive social experiment nyingi tuπ
In a normal reasoning capacity umeshindwa kujijibu huo uduwanziπ€£
Umefeli bwana hiyo ipo wazi.
Records will find me innocent niggah. Hakuna niliposema nataka likes wala comments.ππππSi umesema unataka likes na coment nyingi kwenye nyuzi zako za maana? Ndo tupo hapa kukujazia au imekuaje tenaπππ
Mi mchangiaji tuu kama wengineππ Chaliifrancisco dont take it too seriously.. πππSikulazimishi u learn! Na sijakuita hapa. The thing is nimesema ukweli na umekugusa ndio maana umekuja hapa. Sija tag mtu lakini nashangaa mashambulizi ni mengi mwangu.
Kwanini usinge ignore kama haijakuchoka kwakuwa wewe ni mmoja wa wajinga. Why step on shit while you see it?
tuko kumfariji kumbe hataki tenaππππSi umesema unataka likes na coment nyingi kwenye nyuzi zako za maana? Ndo tupo hapa kukujazia au imekuaje tenaπππ
Hili jukwaa mwaka 2015 kushuka chini lilikuwa tamu ajabuu. Unakutana na nyuzi za kuelimisha na kujenga.Siku hizi hapa JF ukija kwa lengo la kuelemika utaambulia ziro.
Natamani iwepo namna ya kuignore Jukwaa zima.
Wajinga wanazidi kuongezeka, na elimu zao za degree.
Aibu sana hadi unajiuliza Hawa ndo wale wanawake tukiwa shule ilikua tukiwatongoza wanaenda kusema kwa mwalimu wa darasa kweli? Mbona wamebadilika sanaAfu unavotembea anajiona matawi kumbe behind the scene ni kujidhalilisha tu
Acha UKILAZAMi mchangiaji tuu kama wengineππ Chaliifrancisco dont take it too seriously.. πππ
Nimeshasema ni bipolarππππtuko kumfariji kumbe hataki tena
[emoji23][emoji23][emoji23]Mtoa mada kabakisha stage chache Sana akabidhiwe ungo[emoji1787]
Sio shida the problem mnaitaka iwe ndo main topicMadam sijui kina kupata kipi??, Ila kwani mtu kumsifia au kutambua uwepo wa mtu mwingine ni shidaπ€π€.
πAu mpaka siku member flani akifa ndo asifiwe??
Au uongo dada Depal?π€£π€£π€£
Yaan ukileta mada zako za maana ππππ ujue Kila binadamu yumo humu Jf Kwa interest zake wengine wapo for LEISURE WENGINE PLEASURE WENGINE STUDYINGSisi ngozi nyeusi tunaojielewa tupo wacheche sana (mimi mmoja wao).
Yani hapa jukwaani ikianzishwa mada ya kipuuzi (hasa inayohusu mapenzi) inarukiwa haraka sana na watu (wengi ni vichwa panzi, hasa wanawake).
Na ili thread itembee vizuri utakuta wanaume (vichwa panzi na wanaopenda sifa kwa kutamani wanawake) nao wanarukia mada haraka na kukuta thread imetembea haraka kwa mijadala ya kiwaki (kipumbavu) isiyokuwa na tija.
Hili jambo ni observe muda mrefu sana. Mimi sio muanzisha mada mzuri hapa JF mara nyingi napenda kuchangia. Hii ni kutokana na kuwa najua mada zangu ninazoziwaza hapa nikileta haziwezi kupata wachangiaji.
Wengi kwanza hawataelewa au watakuwa uninterested kwakuwa sio mambo wanayoyapenda (wamezoea ujinga).
Leo tu nimekaa nikawaza kufanya social experiment niandike mada ya kipuuzi (angalia thread yangu ya mwisho kabla ya hii) nimegundua hapa JF (ambapo kwa sample ya kitafiti inafaa kujumuisha watu wote weusi wa hapa nchini) kuwa watu wengi ni wapumbavu na wasio na akili.
Mtu akianzisha mada (hasa wenye jinsia ya kike, ambao wengi mtandaoni sio wakike wote) basi mijinga mingi hukimbilia kudakia mada hiyo ya kijinga na utakuta uzi una trend sana.
Lema akisema ukweli kuwa sisi ni maskini utakuta hao hao wajinga wanamlaumu kuwa anatukana watu. Lakini ukweli mchungu ni kuwa anapiga kwenye mshono.
Kuna watu ambao angalau wana balance mambo (kuna muda yupo anachangia mambo ya muhimu na huko ujingani/vuruguni anachangamsha genge, mimi mmoja wao).
Ila hapa JF watu wapuuzi ni wengi sana na ndio mada za kipuuzi zisizokuwa na mantiki ndio utakuta zimechangiwa sana na wajinga wengi kuliko mada zenye kuleta tija. Angalia thread za mambo ya kulana kimasihara zinavyofanya vizuri.
Ila thread za kueleweka zinazo make sense zina wachangiaji wachache wenye sense kwakuwa wenye sense ni wachache.
Nonsenses ni kibao.
Tubadilike, kwanza hatuwezi, tuendelee tu kumchukia Lema kwa kutupiga panapouma.
Huu uzi hata jukwaa la kuuweka sijui maana ni multi-whatever.
NONSENSE.
[emoji1] [emoji1787] hilo litakuwa fala sanaAu kuna jamaa anandikaga nyuzi eti amemuona mke wake ametoka chooni
Ili niwaje mkuuπππ hapo ndo niko nafitAcha UKILAZA
See. Foolish stuff kama hizi ungeweka uzi dakika tano tu ungekuwa na wachangiaji alfutatu.ππππUsome Kwa kutuliaaaa, ukiweka kitandan atoke anasema hivi
View attachment 2546324
..
View attachment 2546326
Boss kaelewa Shoooo.....
Alamis napiga Tena mechi ya marudio
Hohoho. Mkiambiwa ukweli ndio mnakuwa philosophical, niggah get the point and stop pretending to be Plato.
Ooooza mr ππππ. Huu uzi nimuhimu aseee niweke heshima kabisaππππUsome Kwa kutuliaaaa, ukiweka kitandan atoke anasema hivi
View attachment 2546324
..
View attachment 2546326
Boss kaelewa Shoooo.....
Alamis napiga Tena mechi ya marudio