Kilimbatzz
JF-Expert Member
- Feb 11, 2023
- 9,134
- 14,593
Kwenye haya maisha tangu zama za zamani vitu vinavyoonekana vya kawaida kama mapenzi siasa na michezo ndiyo vinavyooendwa na watu wengi kwani vinagusa hisia za watu wengiMpeni maana zinamtesa sana
Mada zake zipi jamaniSawa mkuu. Mimi sipingani na wewe ila nimeangalia mda mrefu kwanini mada zisizo make sense ndio zina wachangiaji wengi?
Ndio nikahitimisha kuwa wajinga ni wengi maana kama vitu visivyo make sense ndio vinapendwa basi wajinga ni wengi.
Hiyo ndio ilikua point yangu. Samahani kama nilikuwa too personal
Duu mkuu Naona umetetea biasennes yako kinyamaUsifanye mambo kua magumu Mkuu.
Humu Kuna Madaktari, Kuna mwingine ni Mwalimu... Mwingine Mwanasheria kama Pasco...Mwingine Muhandisi ... Mwingine Mfanyabiashara ...Mwingine Hana Kazi..Mwingine mwanachuo. Kuna Madereva humu, Kuna mafundi Ujenzi humu .n.k
Sasa Kila mmoja akisema ajikite kwenye Profession yake Kila siku ,unadhan humu JF kutanoga ??? , au Mimi mtu wa Afya niende kuchangia Mada za Uinjinia. ,au Mimi nichangie Mada za Sijui Kati ya Nairobi na Dar ipi nzuri? Sijui DODOMA na Mwanza wapi pazuri .... Mimi binafsi nitakua nmefanya matumizi mabaya ya Akili yangu .
Humu Ndani Kuna nyuzi ambazo Mimi hata iweje Sitokaa kuzifungua baada ya Kusoma Vichwa vya habari..
Kwa Mfani... Uzi wa Mikeka na kubeti... Toka nijiunge JF sijawahi kuufungua.... Uzi wa jF usiku wa manane, Uzi wa JF nipe likes..hizi Mara ya mwisho kufungua ni mwaka 2017 n.k n.k
Lakini hizo nyuzi Kuna watu wanazielewa sanaaa .
Watu hao sio wajinga Wala nini , ni Mahali ambapo ukiachilia mbali taaluma zao, hapo ndipo wanachangamsha akili
Mimi binafsi hata Ukinita mjinga ,poa tuu ,you are awesome ila ukweli ni kwamba, kwenye UZI WA KULA TUNDA KIMASIHARA, HUNIAMBIII KITU ....NITAUCHANGIA ULE UZI MPAKA SIKU MOJA RAIS SA100 AKIWA JUKWAAN ASEME "KAMA MULE JF KUNA ID YATAITWA CARLOS THE JACKAL, WANANGU NAWAAMBIENI ILE ID INAKULA KIMASIHARA SANA MPAKA INATISHA AU NDIO MKONGO??.
Hapa penyewee nipo naweka sawa Mbususu fulan nataka niile Asubuhi ,alafu usiku Nile mbususu ya yule Bidada nilowaelezea kwenye Uzi wa masihara !!.
Yaan hizi nyuzi za ujinga ujinga, ndo tunakutania hukooo Kwa pamoja
Ukiona ujue wajinga wengi wameshapata acess na ya hiyo mitandaoLakin mi naona siku zinavyozidi kwenda tunaharibika sana siyo Jf tu hata Twitter miaka ya nyuma ilikua ni mtandao ambao huwezi kuanzisha mada za kipuuzi lakin sahiv imekua ni sehemu ya mada za ngono hata kufungua Twitter public unaogopa tena bora hata Facebook inayooneka ya watu wa ajabu lakin angalau wamestaarabika
😂😂😂I don't have another coming, mimi sio muanzishaji thread hovyo. I am too reserved.
Nachangia zaidi na hata hizo nyuzi za kijinga huwa nachangia lakini huwa najiuliza kwanini ujinga una mashabiki wengi sana?
Wadau wa hiyo ni wachache sanaaYa PM yanabaki huko huko[emoji23][emoji23]
Wabongo nuksi sana wanaumiza hisia za watu kwa likes na comments, 😂Kwenye haya maisha tangu zama za zamani vitu vinavyoonekana vya kawaida kama mapenzi siasa na michezo ndiyo vinavyooendwa na watu wengi kwani vinagusa hisia za watu wengi
Kiasili binadamu hasa mwafrika hapedi vitu critical,hata humu majukwa logical na intellectual ukieweka mada inakudodea,nadhani ndiyo maana Kuna yule muhaya Rutashubanyuma Huwa anajipostia na kujikomentia mwenyewe
Lakin mi naona siku zinavyozidi kwenda tunaharibika sana siyo Jf tu hata Twitter miaka ya nyuma ilikua ni mtandao ambao huwezi kuanzisha mada za kipuuzi lakin sahiv imekua ni sehemu ya mada za ngono hata kufungua Twitter public unaogopa tena bora hata Facebook inayooneka ya watu wa ajabu lakin angalau wamestaarabika
Mavilaza ndiyo yanafanya hili jukwaa liwe activeMAVILAZA yanafarijiana na kutafunana kimaskhara. Hahaa.
Kila ukifungua uzii yamejaa kama mainzi kwenye KIMBA LA MOTO.
Yanachojadilii chenyewe hakipoo nii umburulaa mwanzo mwishoo....
Juzi ndo yalitia fora, eti yanaitana kusherehekea tafrija ya member bora!!!! Chinekeeoduuuu!! 😮😮😮
Mkuu tupo pamoja, hata Mimi nilielewa hoja yako ,kua Humu JF Mada ya kijinga inapata wafuatiliaji wengi.Sawa mkuu. Mimi sipingani na wewe ila nimeangalia mda mrefu kwanini mada zisizo make sense ndio zina wachangiaji wengi?
Ndio nikahitimisha kuwa wajinga ni wengi maana kama vitu visivyo make sense ndio vinapendwa basi wajinga ni wengi.
Hiyo ndio ilikua point yangu. Samahani kama nilikuwa too personal
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Inategemea tu, mbona hii inatrend sana?!!!! Kupitia uzi wako huu na kasi yake ya wachangiaji, you have another coming!
Hata hivyo kuna ukweli ndani yake; tena kuna vidume vijinga humu kazi yao ni kujibebisha tu kwa kina joanah, kapeace &Co. Wakiona demu ameanzisha uzi mbio zenyewe za kuchangia si za nchi hii.
[emoji1] [emoji1787] umeongea ukweliWatu nje ya hapa wanapitia magumu
Wakija humu wakakuta watu wanaomba ushauri wa maendeleo hasa kuhus biashara ndio utashangaa
Mtu ana laki tano anaomba ushauri afungue biashara ipi watu wengine wanamjibu njoo kidimbwi tudiscuss… plus a lot of negativity
Mifano ni mingi ila ndio uhalisia wa maisha yetu
Ukiwa na umaskini lazma karoho mbaya kawepo kwa waliofanikiwa pia
Na wewe kaanzishe za kwako ambazo ni criticalTwitter kule ndio kabisa
Mada za watoto washalala, mara retweet tukuongezee followers, mada za wasimbe ndio zimekua nyingi
Ndio maana unaona kwenye competition za nchi na nchi huwezi kuta Watanzania hilo liko wazi hasa kwenye mada za Kenya na Nigeria
Ni kweli hapa tunajifariji ila ukweli ni kwamba hali ni mbaya sana
Hii generation yetu ni balaa
Binafsi sina akili.. mie na manunu akili moja tuBasi enjoy wanacho post wengine
Wadau wa hiyo ni wachache sanaa
Unavyoona nimekasirika?Ni kawaida mtu akiambiwa ukweli lazima achukie so chukia ni haki yako ya msingi.
Sana mlinikeraa hadi NIKASAGA MENOO...Naona toka Jana, unaumiaaa
Malicious pipo ndo tumejaa sasaI mean no malice to nobody 🙏💪