Ukitaka kupima akili za Watanzania (Typical African minds) angalia nyuzi zinazotrend hapa jukwaani


Pornhub ni kama imehamia kule aiseeee
Account za hivo ziko za kutosha
Mambo mengine mpaka ni aibu maana unafungua Twitter unabidi uangalie kulia na kushoto kama kuna watu. Mada za kukosoana na kugombana ndio useme plus Spaces za kuongelea mapenzi ni balaa
 
Diversity is what that makes this world a beautiful place
 
Hao Kwan wananisumbuaga hao wa 'Man don't kiss and tell ' .


Hao hao kuna mabwana zao ,wanapicha zao za uchi na pengine video za Ngono , wakikaa wanatumiana.



Kwan Nikitell inanipunguzia Uanaume ? Au Kwamba Maneno Yao yatafanya niache kula mbususu ?.


Yaaan niache kula mbususu za wadada Tena wengine wananianza wao??.

nitakua Sina akili kabisa 😂😂
 
Uko SAHIHII SANA

Jamiiforums na Twitter imevamiwa na matakataka ya ajabu

Huwezi kukuta kitu sensitive cha kusoma, NI RUBISH mauchafu nonsenseee maskharaaa MIZAHAA
We si uende quora au reddit kwa wenye akili social networks ziko nyingi mkkuuu maneno yako won't change a single thing
 
Bro, I rate you.

But reverse your thinking. Mwenye jukwaa haijalishi nini kimeongelewa (as long as hakuna uvunjifu wa sheria, privacy and the likes) kwake yeye ni faida kupata wachangiaji na watumiaji wa mtandao wake.

So as long as watu mnatembele JF kwa wingi ndivyo Max na wenzie wanapiga noti. So yeye hawezi kujali ujinga wetu as long as hatujavunja sheria n.k

So bro maoni yangu ni kuwa japo kuna forums mbali mbali lakini ujinga ndio unapata support kubwa zaidi.

NB: Sio support kutoka kwa waendesha forum bali sisi wachangiaji.
 
Uko SAHIHII SANA

Jamiiforums na Twitter imevamiwa na matakataka ya ajabu

Huwezi kukuta kitu sensitive cha kusoma, NI RUBISH mauchafu nonsenseee maskharaaa MIZAHAA
Hawa hapa wengine

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…