Darlin
JF-Expert Member
- Aug 9, 2020
- 4,796
- 10,646
Mi Twitter sahiv siwez kuifungua hadharan nawasiwasi nayo kichizi yaani kuna siku ilitaka kunidhalilisha, huchelewi kukutana na picha za uchi zimefatana, alaf bahati mbaya ni kuwa hata wewe usipo follow page za kipuuzi uliowafollow waki-like tu na wewe unaiona
Sasa shida ndo inaanzia hapo watu tunapenda ngono balaa ni lazima utakutana na nudes tu
Pornhub ni kama imehamia kule aiseeee
Account za hivo ziko za kutosha
Mambo mengine mpaka ni aibu maana unafungua Twitter unabidi uangalie kulia na kushoto kama kuna watu. Mada za kukosoana na kugombana ndio useme plus Spaces za kuongelea mapenzi ni balaa