Mwanzo nilijiunga Twitter kwaajili ya kujifunza mambo mengi ya maana na kweli niliambulia elimu kiasi fulani ila hapa Katikati upepo umebadilika sana sahivi najifunza style za ngongo tu hakuna mada ya maana hata moja video za ngono na konenkshen za kipuuzi ndo zimegeuka mada pendwaTwitter imeharibika kwa kiasi cha ajabu.
Waswahili wamevamia ni mwendo wa kujadili uzinzi na ngono. Huwezi kukuta taarifa isiyo na maudhuii ya UCHAFUUU
Halafu yanashangiliaaa yanapeana kongolee... daaahh
Yaani niliifuta fastaa
Ewaaaa ila yeye alikua na weusi hivi , kajaaa mapaja na mikalioo yaan anatembeaa linatetema .Oooza hakua na mwili kama huu kweli π€
Wewe ni mwenzetuuu [emoji1787]
Pornhub ni kama imehamia kule aiseeee
Account za hivo ziko za kutosha
Mambo mengine mpaka ni aibu maana unafungua Twitter unabidi uangalie kulia na kushoto kama kuna watu. Mada za kukosoana na kugombana ndio useme plus Spaces za kuongelea mapenzi ni balaa
Si waende huko kwenye majukwaa ya siasa na kilimo au biashara watuache hukuMMU ni mwiba sana kwa baadhi ya watu humu
Sitting room nzuri alaf bwege mmoja anae ishi Kwa shemeji yake hapa Jf tena analala sebuleni anakutolea maneno ya maudhi na shombo ππππCheers mkuuππ₯View attachment 2546335
Washa niuzime na mluzi moja tu ππNikomeeeee[emoji23][emoji23][emoji23]
Usiniuzi saivi na wewe nkakuwashia moto
Mkuu wanawake wa JF nawapenda sana. Na mada hii sijalenga wanawake tu ila nimeseme "hasa wanawake"Ila chalii wanawake wa jf walikufanya nini? Uko so bitter towards them. Nimeshuhudia comments zako mama tatu hivi zikiwa bitter kweli, hata uzi wako japo umeongelea wote ila umeegemea zaidi upande huo.
Hebu sema nini mbaya uponye nafsi yako. Hiyo bitterness sio nzuri kwa afya yako ya akili.
Mwanzo nilijiunga Twitter kwaajili ya kujifunza mambo mengi ya maana na kweli niliambulia elimu kiasi fulani ila hapa Katikati upepo umebadilika sana sahivi najifunza style za ngongo tu hakuna mada ya maana hata moja video za ngono na konenkshen za kipuuzi ndo zimegeuka mada pendwa
Ni kweliVilaza ndiyo wanaoitawala hii dunia
Sorry but I'm not sorry dearKama unavyoiona yako takatifu ndivyo na wengine waanzishao zao waonavyo.Mara mia ungeuchuna kuliko Kuja kujijaza utakatifu hapa
Twitter angalau ya 2018 kushuka haikuwa imevamiwa na matakataka kama leo hii.Mwanzo nilijiunga Twitter kwaajili ya kujifunza mambo mengi ya maana na kweli niliambulia elimu kiasi fulani ila hapa Katikati upepo umebadilika sana sahivi najifunza style za ngongo tu hakuna mada ya maana hata moja video za ngono na konenkshen za kipuuzi ndo zimegeuka mada pendwa
πππππππNdo maana we sio melo na hutakua melo labda kichongeo cha bichwa lenye komweeembe
Kwa edo kumwembe
Labda dunia ya Jamiiforums. π€£Vilaza ndiyo wanaoitawala hii dunia
Sitaki likes mkuu ningekuwa nazitaka ningezisaka kwenye ule uzi wenu wa kusaka likesHatimaye dawa imepatikana sasa, likes comments za kutosha ngoja nikutag kabisa Chaliifrancisco
Pole,ndo tumekusanua pia that haukoperfect kama ujidhaniavyoπ€£Sorry but I'm not sorry dear
πππ Yani kuumizwa nafsi kiwango hiki kwa likes na comments sio ugenius ni mburula aliyechangamka tuSi waende huko kwenye majukwaa ya siasa na kilimo au biashara watuache huku
Shida ni shobo na kutufuatilia sisi vilaza π
Tena usikute samia anapitaga humu kusoma vitu hata kwenye ile kimasihara who knows
Sasa jinga moja linataka kutupangia tutumieje jf wakati melo mwenyewe katulia tuli kama biskuti
Teh!Sitaki likes mkuu ningekuwa nazitaka ningezisaka kwenye ule uzi wenu wa kusaka likes
Mimi napata likes kutokana na michango yangu yenye akili hapa jukwaani na sizilazimishi
Nimekupenda bureKuwa tofauti na mtu kimawazo sio kitu kibaya
Ubaya unakuja pale unapomjibu mawazo yako yanayopingana nae. Kama sio mstaarabu ndio matusi yanapoanzia. Kuna muda unasema huyu akili inafanya kazi yake kweli au amechanganyikiwa
Mimi matusi huwa sijibu maana ugomvi siuwezi naacha tu ushinde mechi zako.
MAVILAZAAZZ na MAZIRO mnatakiwa kufurushwa na kutandikwa MIJELEDINdo maana we sio melo na hutakua melo labda kichongeo cha bichwa lenye komweeembe
Kwa edo kumwembe