Ukitaka kupima akili za Watanzania (Typical African minds) angalia nyuzi zinazotrend hapa jukwaani

Ukitaka kupima akili za Watanzania (Typical African minds) angalia nyuzi zinazotrend hapa jukwaani

Twitter imeharibika kwa kiasi cha ajabu.

Waswahili wamevamia ni mwendo wa kujadili uzinzi na ngono. Huwezi kukuta taarifa isiyo na maudhuii ya UCHAFUUU

Halafu yanashangiliaaa yanapeana kongolee... daaahh

Yaani niliifuta fastaa
Mwanzo nilijiunga Twitter kwaajili ya kujifunza mambo mengi ya maana na kweli niliambulia elimu kiasi fulani ila hapa Katikati upepo umebadilika sana sahivi najifunza style za ngongo tu hakuna mada ya maana hata moja video za ngono na konenkshen za kipuuzi ndo zimegeuka mada pendwa
 
😂😂😂😂
Pornhub ni kama imehamia kule aiseeee
Account za hivo ziko za kutosha
Mambo mengine mpaka ni aibu maana unafungua Twitter unabidi uangalie kulia na kushoto kama kuna watu. Mada za kukosoana na kugombana ndio useme plus Spaces za kuongelea mapenzi ni balaa
 
MMU ni mwiba sana kwa baadhi ya watu humu
Si waende huko kwenye majukwaa ya siasa na kilimo au biashara watuache huku

Shida ni shobo na kutufuatilia sisi vilaza 😒

Tena usikute samia anapitaga humu kusoma vitu hata kwenye ile kimasihara who knows

Sasa jinga moja linataka kutupangia tutumieje jf wakati melo mwenyewe katulia tuli kama biskuti
 
Ila chalii wanawake wa jf walikufanya nini? Uko so bitter towards them. Nimeshuhudia comments zako mama tatu hivi zikiwa bitter kweli, hata uzi wako japo umeongelea wote ila umeegemea zaidi upande huo.

Hebu sema nini mbaya uponye nafsi yako. Hiyo bitterness sio nzuri kwa afya yako ya akili.
Mkuu wanawake wa JF nawapenda sana. Na mada hii sijalenga wanawake tu ila nimeseme "hasa wanawake"

Ukisoma vizuri utanielewa
 
Mwanzo nilijiunga Twitter kwaajili ya kujifunza mambo mengi ya maana na kweli niliambulia elimu kiasi fulani ila hapa Katikati upepo umebadilika sana sahivi najifunza style za ngongo tu hakuna mada ya maana hata moja video za ngono na konenkshen za kipuuzi ndo zimegeuka mada pendwa

[emoji38][emoji38][emoji38]
Elon Musk sijui anajua watu wanajifunza styles za ngongo kwenye app yake
Mungu atusaidie tu ngozi nyeusi maana tunacheka hapa ila mmhhh hapana
 
Mwanzo nilijiunga Twitter kwaajili ya kujifunza mambo mengi ya maana na kweli niliambulia elimu kiasi fulani ila hapa Katikati upepo umebadilika sana sahivi najifunza style za ngongo tu hakuna mada ya maana hata moja video za ngono na konenkshen za kipuuzi ndo zimegeuka mada pendwa
Twitter angalau ya 2018 kushuka haikuwa imevamiwa na matakataka kama leo hii.

Angalau mtu aliweza kusoma machapisho ya wanasiasa na kuokoteza lolote jambo.

Walipovamiaa hawa MACHIZIII NA MAZIROOZZZ pakatapakaa mauchafu na mizahaa

Halafu mimi sielewagi ile mizaha yaoo... KWANI HUWA WANAZUNGUMZIA NINI HASWAA?

MAANA KILA NIKISOMA NAKERWA TU NAFUTA APP...
 
Si waende huko kwenye majukwaa ya siasa na kilimo au biashara watuache huku

Shida ni shobo na kutufuatilia sisi vilaza 😒

Tena usikute samia anapitaga humu kusoma vitu hata kwenye ile kimasihara who knows

Sasa jinga moja linataka kutupangia tutumieje jf wakati melo mwenyewe katulia tuli kama biskuti
😂😂😂 Yani kuumizwa nafsi kiwango hiki kwa likes na comments sio ugenius ni mburula aliyechangamka tu
 
Kuwa tofauti na mtu kimawazo sio kitu kibaya
Ubaya unakuja pale unapomjibu mawazo yako yanayopingana nae. Kama sio mstaarabu ndio matusi yanapoanzia. Kuna muda unasema huyu akili inafanya kazi yake kweli au amechanganyikiwa
Mimi matusi huwa sijibu maana ugomvi siuwezi naacha tu ushinde mechi zako.
Nimekupenda bure
Nimeacha kufokafoka na nimewazoea

Kuna the first internet fight walianzisha waarabu wawili wanapiga screen kwa hasira huku wakitukanana

Nilicheka sana yaani within a week walikuwa maarufu duniani
Unapata hasira mpaka unagombana na screen [emoji1]

Ila nimekuelewa mwanangu
 
Back
Top Bottom