Lucha
JF-Expert Member
- Aug 24, 2018
- 14,516
- 50,658
Mwanzo nilijiunga Twitter kwaajili ya kujifunza mambo mengi ya maana na kweli niliambulia elimu kiasi fulani ila hapa Katikati upepo umebadilika sana sahivi najifunza style za ngongo tu hakuna mada ya maana hata moja video za ngono na konenkshen za kipuuzi ndo zimegeuka mada pendwaTwitter imeharibika kwa kiasi cha ajabu.
Waswahili wamevamia ni mwendo wa kujadili uzinzi na ngono. Huwezi kukuta taarifa isiyo na maudhuii ya UCHAFUUU
Halafu yanashangiliaaa yanapeana kongolee... daaahh
Yaani niliifuta fastaa