Ukitaka kupima akili za Watanzania (Typical African minds) angalia nyuzi zinazotrend hapa jukwaani

Hivi kweli unabebishana mbele yangu?
 
Quora na Reddit babe. Njoo huku
Kwamba Quora na Reddit ndio kuwa werevu tu? Au kwa sababu hawaandiki Kiswahili? Mkuu sio Jf tu, mitandao mingi tu kuna upumbavu mwingi mno.

Ninakuunga mkono kuwa kuna upumbavu mwingi humu, ila ninakupinga unapotumia hilo kuwatukana wabongo kama kwamba ni wao tu ndio huongoza kuandika ujinga kuliko Jamii zengine.

Ukweli ni kwamba kuna upumbavu mwingi mno mitandaoni, kuna ushamba tu kuwa mitandao yenye whites wengi au isiyo na wabongo wengi basi kumejaa watu smart tu.

Mimi pia nipo Reddit, hiyo Reddit yenyewe kuna wajinga wengi tu, tena wana communities zao kama Jf ilivyo na majukwaa maalum. Kule Reddit wana communities au subreddits. Nyengine mpaka zinafungiwa. Kuonesha Dunia ilivyo na wajinga.


Bado kuna kina Kiwi Farms (CWCKi Forums), Kina 4Chan, 8Chan, akina Goregrish.

Humo ndio utajua upumbavu uliokuwepo duniani. Sio Jf tu. Hivyo wewe ukiona upumbavu unazidi humu na ukashindwa kurekebisha na kuvumilia , ignore tu.
 

[emoji23][emoji23][emoji23]
Unamkuta mtu kwenye MMU anaopoa watoto wazuri na Crown Athlet yake ila kwenye jukwaa la ajira tupo pamoja kuulizana TAESA wanajibu baada ya muda gani
Tunaishi kwenye comfort zone ndio maana wakija wenye michango chanya tunawafanya wajihisi vilaza kama sisi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…