Ukitaka kupima akili za Watanzania (Typical African minds) angalia nyuzi zinazotrend hapa jukwaani

Makuubwa!! Kwahiyo unaanzisha mada ili itrend! Hapa kila mtu kaletwa na hitaji lake wengine tumekuja kurefresh huwezi nilazimisha kuwa serious all the time na hiyo haifanyi kuwa nimekuja hapa kujiuza kuwa na heshima kidogo sio kila mtu muuzaji wala mnunuzi. Na kama una akili sana kama unavyojisifu nenda mashuleni huko ukafundishe wanetu usifosi mitandaoni
 
Mleta mada acha kujitoa ufahamu. Walio JF ndo hao watanzania tulipnao maofisini na mtaani . Sasa nikuulize ukiwa mtaani umewahi Kuta topic zipi zenye tija zinazojadiriwa? Hata maofisini ni haya haya mambo mepesi yanayo kula muda wao.

Hiki ukionacho ndo reflection ya jamii tuliyonayo. Usije zani Kuna watanzania tofauti na hawa unaowasoma mind zao humu JF na kuwaita wapumbafu.

By the way unateseka nini ? We nenda JF inteligency ukasubiri Uzi mmoja after one week . Huku Kwa walaji wa kimasihara waachie wenye akili zao za utelezi
 
Kwani likes na comments nyingi ndiyo zinaleta ugali mezani? Nenda FB kamuangalie Vunja Bei akipost kitu comments zake hazizidi 50 lakini ni bilionea ,sasa angalia kina jumalokole na rueben wakipost likes kama zote lakini wanazibuliwa kwa afuishirini.
Hueleweki bro
 
Kama ni ndoto yako kupata likes mkuu endelea kuifukuzia. Mimi nasaka dough mkuu kama una ujuzi wa umeme au metallurgy niambie nikupe kazi.
Ona sasa unakuja kutangaza nafasi za ajira humu ndani. Kuna uhusiano gani sasa?
Haya ndio mambo ya maana ambayo unajisifia kuwa unapost[emoji38][emoji38]
 
Alichoindika jamaa ndicho wewe ulichokisema kwenye hizo aya mbili za juu.
 
Haya we mbuzi genius, umegundua nini Cha maana au bado una ilalamikia serikali kwa kukunyima ajira🤔🤔
 
Una hoja, ntakusikiliza
 
No trend intended. Refresh as you like ia ukweli ni kuwa ujinga una mashabiki wengi
 
Ona uzi kama huu hauna comment yoyote na sio kuwa hawajauona ila uiinga ni mwingi
 
Niliumia sana nikaamini kweli kila mtu ataubeba mzigo wake.yani namwomba mtu anisaidie jinsi ya kutimiza ndoto zangu ananiambia niwe SHONGA ndo nitatusua kimaisha dash htr
Nimecheka sana kama unataka kufika Canada jaribu kweny platform za wakenya utapata pakuazia ingia tik tok,kiufupi lango jepesi la kufika nje Kwa East Africa Kenya inaweza kuwa ni rahisi zaidi kuliko bongo wa Tanzania ujamaa unaendelea kututafuna jaribu Kenya mim mwakajana niliunganushwa na mkenya na jamaa yupo sinza pale anapeleka watu Qatar sema mim tu Kuna vitu vilikua havijakaa sawa nikashindwa kwenda ila mwanangu alienda kabisa ngoja nikutaftie namba yake nikutumie ujaribu kuongenaye
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…