Ukitaka kupima akili za Watanzania (Typical African minds) angalia nyuzi zinazotrend hapa jukwaani

Kapicha cha kusapoti uzi, jana ile kuingia nimekutana na hii trend nimecheka sana ..View attachment 2546266
Ujinga ni mwingi sana hapa JF. Hii nchi tutaendelea kuteswa kwakuwa wajinga ni wengi.

Lema akiwaambia ukweli wanamuona ni mjinga. Kumbe mtu mjinga ukitaka kumrekebisha anakuona wewe ndio mjinga.
 
Ni wivu tu wa likes comments na trending ya uzi, kwakweli inauma sana mtu kuandika uzi wa kipuuzi kwa mujibu wako akapata page 50 kwa masaa kidogo tu wakati wewe unaandika madini na unaenda wiki hata page 5 hufiki,
Ooza kapeace nimekumiss [emoji55]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] nimecheka kama fala
 
Profession ya ujinga? What is profession nigga? Do you hear yourself?

Yani kuandika upuuzi au kupenda upuuzi nayo imekuwa profession?
Nigga Kwa mbali unataka kuniaminisha una akili ila kadri navyojaribu kusogelea Ubongo wako nakuona Hauna akili.


Nimekuambia, mtu anaweza kua na Profession Fulani, ila sio muda wote aandike masuala ya profession yake, Kuna wakati anaamua kuandika mambo ya kijiiiiinga ili mradi siku ziende.



Ngoja nikuulize, Wewe nyuzi zako zote ni za Kiprofession au maandiki yako yote ulowah changia humu ni ya Kiprofession??.
 
majukwaa na mada ndiyo vinaamua mada itembee/isitembee. Kila mtu ana interest zake jf hatuwezi wote kuwa washabiki wa MMU au siasa n.k
Kwenye kundi lolote la watu wengi kuna kila aina tofauti tofauti za watu ni kuchagua upande wako unaofit.
Well said
 
So ushauri wako ni upi? Wahame nchi ubaki mwenyewe au washauri nini?
 
Una uhakika Africans wote wako hapa jf?
 
Ni kweli Mkuu, Siunaona Leo umeandika Mada ya kipumbavu, nikaisoma ,nikasema hata kama mie mpumbavu, ila wee umezidi Upumbavu ndio maana sikuchangia.


Huyu Robert H, sitomgusia Kwa sababu naye ni binadamu.
Yeah, hujachangia kwasababu ni upumbavu bali umechangia kwakuwa imekupiga kwenye mshono.

Huwezi kumsema Robert kwakuwa huwa hana ujinga. Ana andika sense. He makes sense nigga.
 
Mkuu sisi wadhambi Huwa ndio Bwana Yesu Alikuja kutufia.
Ningekuwa na imani na mawazo kama yako nahisi ningekuwa mtu hatari zaidi, maana kihistoria hizo kimasihara nina kismati nazo sana tena za Quality bora ila nimezikwepa kuogopa dhambi mpaka kuna pisi iliwahi kunichana kuwa nimeshindwa kusoma alama za nyakati na kujiongeza wakati nimebaki mimi na kipa ..
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Jamani karosi aiiiiiiiiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚eti ma genius wako wanajadili wapumbavu sijui nani mpumbavuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Hawa Ma genius wanatukosea sana.

Kwan Kuna ulazima wawe wanasoma Mada za wapumbavu?.


Siwaendelee kuishauli Serikali namna ya kupunguza inflation tulonayo, waishauri juu ya ma Mega projects .


Sisi watuache na nyuzi zetu .
 
Umetuangushaaaaa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kama kuliwa kimasihara sio? Sikupangii kuliwa lakini nimetoa tu maoni yangu kuwa kwa utafuti wangu 'uchwara' nimegundua kuwa wengi humu vichwa panzi ukiwemo wewe hapo.
Sasa sie vichwa panzi laa 7E ndo tunabalance huo mzani wa maisha wa nyie wenye maakili yenuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.. Utawaza politics, innovation, technology and whatever ila sxy laazma iwepo mwisho wa sikuπŸ˜‚πŸ˜‚..
Kwaio Chaliifrancisco usitupangie cha kufanya..πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜† Unless kama kila aliekua humu jf unamjua na unajua impact yake katika maisha ya kila siku.. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…