Ukitaka kupima akili za Watanzania (Typical African minds) angalia nyuzi zinazotrend hapa jukwaani


Wanaume wa JF na simping ni [emoji1696]
Unakuta ka tag wadada kama mia kutoa tu heshima plus ku simp, ujinga ni mwingi aiseeee…
 
Sijakupangia ndugu, nimesema wajinga ni wengi. Kwakuwa na wewe ume fall kwa category ume take it personal.

Sorry but I'm not sorry.
Not personally at allπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Just state in general na kama unahigh iq kweli utafikiria.. The thing is niko jf for entertainment afu we unilazmishe niwe for learning πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚nop nop.. Ndo maana kuna forums tofaut, unakutana na great thinkers huko,, usichukulie mtu poa kisa umemuona anacomment shits,, πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Sijafeli, ndio maana upo hapa unachangia dear. Ningefeli huu uzi usingekugusa mpaka ukawashwa.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Huo Uzi ni kumbukumbu ya vizazi..

Ma genius na nyuzi zao za Mega Projects ,zitapita....


Ila masuala ya mgegedo hayatapita kamwe
Umeacha legasi mtu akigugo kuhusu maswala ya mgegedo uzi wako gugo wameupa hadhi ya kukaa top of the table bloggers chali πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ile mada yako sijachangia na ningechangia ningekukosoa kuandika ujinga wakati sio kawaida yako. Niko busy kiasi leo, si ni wewe umeandika mambo ya kununua chupi?
Ningekuwa na muda ningeongeza observation yangu ila kwa ufupi naungana nawewe
 
Siku moja nilitoa wazo humu pawe na SCREENING pindi mtu anapotaka kujiunga na huu mtandao.

Na ikibidi hata kuweka kigezo cha NAMBA YA TAIFA na NYARAKA ZA KITAALUMA.

Mavilaza yamejaa humuu yanapiga norinda 24 hrs.
 
Haaa!
Ha ha ha haaaaa
 
Sikulazimishi u learn! Na sijakuita hapa. The thing is nimesema ukweli na umekugusa ndio maana umekuja hapa. Sija tag mtu lakini nashangaa mashambulizi ni mengi kwangu.

Kwanini usinge ignore kama haijakuchoma kwakuwa wewe ni mmoja wa wajinga. Why step on shit while you see it?
 
Kuna mmoja kaanzisha uzi analaumu ameliwa sekunde 3 bwanaake akaanza kukoroma usipokua mtaalam unaweza kudhani analaumu kumbe ameweka tangazo
Afu unavotembea anajiona matawi kumbe behind the scene ni kujidhalilisha tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…