Ukitaka kupima akili za Watanzania (Typical African minds) angalia nyuzi zinazotrend hapa jukwaani

Ukitaka kupima akili za Watanzania (Typical African minds) angalia nyuzi zinazotrend hapa jukwaani

He is a man
And always man can’t kiss and tell.
Aaahhh Sasa Mimi pia ni Man, na ninakula masihara sana na nikishakupa nakuja kwenye Uzi wetu nikiwa na muda na Jamaa zangu wamemiss visa, basi lazima niwape.

Hiyo haijawah nifanya Wanawake nisiwale.

Look, Kuna Wanawake Huwa mpaka nawaonyesha picha za Wanawake zangu weeeeeengi, mpaka unakuta wanajishaua, weee Malaya,, siwez Toka na mkaka kama weee muhuni .

But hainichukui muda, nao wanajikuta nimewala.


Sasa imewah nipunguzia Uanaume wangu?.
 
Lakin mi naona siku zinavyozidi kwenda tunaharibika sana siyo Jf tu hata Twitter miaka ya nyuma ilikua ni mtandao ambao huwezi kuanzisha mada za kipuuzi lakin sahiv imekua ni sehemu ya mada za ngono hata kufungua Twitter public unaogopa tena bora hata Facebook inayooneka ya watu wa ajabu lakin angalau wamestaarabika
Kweli mkuu. Mimi mitandao nayotumia ni JF na WhatsApp tu lakini WhatsApp imenichosha watu kupost ujinga na picha zao status. Jf nayo inanichosha kwa ujinga (japo JF kuna madini mengi itakuwa ya mwisho kuiacha)

Imebidi nirudi tu Quora na Reddit huko ndio nasoma vitu vya maana.
 
Twitter kule ndio kabisa
Mada za watoto washalala, mara retweet tukuongezee followers, mada za wasimbe ndio zimekua nyingi
Ndio maana unaona kwenye competition za nchi na nchi huwezi kuta Watanzania hilo liko wazi hasa kwenye mada za Kenya na Nigeria
Ni kweli hapa tunajifariji ila ukweli ni kwamba hali ni mbaya sana
Hii generation yetu ni balaa
Babe sikujuaga kama uko smart kiasi hii. Umeongeza credit 🥰😍😘
 
I don't have another coming, mimi sio muanzishaji thread hovyo. I am too reserved.

Nachangia zaidi na hata hizo nyuzi za kijinga huwa nachangia lakini huwa najiuliza kwanini ujinga una mashabiki wengi sana?
Mkuu hujawahi kukuta grader linafukua sehemu halafu kuna watu kibao wamelizunguka wakiangalia hata saa nzima na hawajaajiriwa bali walikuwa wapita njia tu?

Basi hao ndio wamejaa humu
Uzi usio na faida wala kuwaongezea maarifa ndio wanajaa
 
Sisi ngozi nyeusi tunaojielewa tupo wachache sana (mimi mmoja wao).

Yani hapa jukwaani ikianzishwa mada ya kipuuzi (hasa inayohusu mapenzi) inarukiwa haraka sana na watu (wengi ni vichwa panzi, hasa wanawake).

Na ili thread itembee vizuri utakuta wanaume (vichwa panzi na wanaopenda sifa kwa kutamani wanawake) nao wanarukia mada haraka na kukuta thread imetembea haraka kwa mijadala ya kiwaki (kipumbavu) isiyokuwa na tija.

Hili jambo nime observe muda mrefu sana. Mimi sio muanzisha mada mzuri hapa JF mara nyingi napenda kuchangia. Hii ni kutokana na kuwa najua mada zangu ninazoziwaza hapa nikileta haziwezi kupata wachangiaji.


Wengi kwanza hawataelewa au watakuwa uninterested kwakuwa sio mambo wanayoyapenda (wamezoea ujinga).

Leo tu nimekaa nikawaza kufanya social experiment niandike mada ya kipuuzi (angalia thread yangu ya mwisho kabla ya hii) nimegundua hapa JF (ambapo kwa sample ya kitafiti inafaa kujumuisha watu wote weusi wa hapa nchini) kuwa watu wengi ni wapumbavu na wasio na akili.

Mtu akianzisha mada (hasa wenye jinsia ya kike, ambao wengi mtandaoni sio wakike wote) basi mijinga mingi hukimbilia kudakia mada hiyo ya kijinga na utakuta uzi una trend sana.

Lema akisema ukweli kuwa sisi ni maskini utakuta hao hao wajinga wanamlaumu kuwa anatukana watu. Lakini ukweli mchungu ni kuwa anapiga kwenye mshono.

Kuna watu ambao angalau wana balance mambo (kuna muda yupo anachangia mambo ya muhimu na huko ujingani/vuruguni anachangamsha genge, mimi mmoja wao).

Ila hapa JF watu wapuuzi ni wengi sana na ndio mada za kipuuzi zisizokuwa na mantiki ndio utakuta zimechangiwa sana na wajinga wengi kuliko mada zenye kuleta tija. Angalia thread za mambo ya kulana kimasihara zinavyofanya vizuri.

Ila thread za kueleweka zinazo make sense zina wachangiaji wachache wenye sense kwakuwa wenye sense ni wachache.

Nonsenses ni kibao.
Tubadilike, kwanza hatuwezi, tuendelee tu kumchukia Lema kwa kutupiga panapouma.

Huu uzi hata jukwaa la kuuweka sijui maana ni multi-whatever.

NONSENSE.
Chalii ndiyo maisha

Safari Bado ni ndefu
 
Twitter kule ndio kabisa
Mada za watoto washalala, mara retweet tukuongezee followers, mada za wasimbe ndio zimekua nyingi
Ndio maana unaona kwenye competition za nchi na nchi huwezi kuta Watanzania hilo liko wazi hasa kwenye mada za Kenya na Nigeria
Ni kweli hapa tunajifariji ila ukweli ni kwamba hali ni mbaya sana
Hii generation yetu ni balaa
Mi Twitter sahiv siwez kuifungua hadharan nawasiwasi nayo kichizi yaani kuna siku ilitaka kunidhalilisha, huchelewi kukutana na picha za uchi zimefatana, alaf bahati mbaya ni kuwa hata wewe usipo follow page za kipuuzi uliowafollow waki-like tu na wewe unaiona

Sasa shida ndo inaanzia hapo watu tunapenda ngono balaa ni lazima utakutana na nudes tu
 
Maana yake sasa vijana wengi tumekua wajinga sana limeshakua janga la taifa wenye hafadhali ni wachache
Ila upande mwingine pia ni faida,inaonyesha watu wengi wakipato Cha chini uchumi umekuwa,kwani kupata access maana yake ni kuwa na simu,tablet au kompyuta na bando,hii Ina maana watu wengi wamekuza uchumi wao
Maada za kawaida zikiondoka umu na jukwaa la jf litapoa na kufa,
 
[emoji38] [emoji23] [emoji38] eti yahoo girl
Naanza kukufuatilia sasa

Sasa sijui nitaanzaje
Au nianze kama zile pigo za wazazi wangu wamekufa wameniachia nyumba kubwa Canada nataka nije huko Tz tuishi wote au nianzaje[emoji38][emoji38]
 
Back
Top Bottom