Ukitaka kupima akili za Watanzania (Typical African minds) angalia nyuzi zinazotrend hapa jukwaani

Ukitaka kupima akili za Watanzania (Typical African minds) angalia nyuzi zinazotrend hapa jukwaani

MAVILAZAZZ na MAZIRO yamechachamaa hatari!

Ningekuwa MAXENCE MELO ningeyafyekelea mbaliii

Tatizo MAX anayahurumia sanaa anayalea leaa haya MAZIROO mpaka yameharibu jukwaaa na kuliangamiza

Watu makini kama akina NYANI NGABU wameshakimbiaa yamebakii MAVILAZAAZZ na MAZIROO
 
Jukwaa limeangamizwa na MAVILAZAAZ na MAZIROO pamebakiiii na matakataka tuu huwezi kujifunza lolote.

watu Makini kama akina KIRANGA na wengineo imebidi wakimbie na kupisha MAMBURULAA

Jeshi la MAVILAZA lina nguvu kuliko mgambo wa JIJI.

Jamiiforums imeangamiaa hakuna tena sensitive topics ni maushubwada tu ya MAVILAAZAAZ na MAZIROOO
 
Anzisheni forum ya kwenu vipanga
 
Ndo maana kule intelligence forum mambo yamepungua sana
 
Ye mwenyewe kilaza mwenzetu tu
Mtoa mada hakosi miaka 27+
Mchana kuna uzi nikawa mentioned ikabidi nichungulie kunani… nakuta eti anatuuliza kama ni sahihi kumnunulia paints dada/ mama.

Mtu mwenye akili zake huyo, kashindwa hata kucope na tamaduni za nchi yake.
Sikosi hiyo miaka ndio nasio 27+ ni 37+ ila vilaza mkiambiwa ukweli huwa mnafura kama Goliath Frogs.
 
..mkuu mtoa mada umeongea ukweli ulio-wazi. Vijana wa Tz tunaangamia sana hasa kiuchumi kwa kuharibu akili aliyotupa Mungu..hatupo makini kwenye vitu basic vya maisha sbbu akili zimeharibika kwa mizaha, ngono, etc..na hili lipo wazi maana hata Biblia imesema hana akili aziniye na mwanamke; usiketi barazani pa wenye mizaha (Zab 26;5), mazungumzo mabaya huharibu tabia njema (1 Corinth 15:33)!

..kurelax ni muhimu sana na social chatting is healthy but vijana wa tz muda mwingi tunaishia kwenye mambo yasiyo na maana kabisa na kuharibu akili zetu. Pia watu wanachanganya kuwa makini ni kujadili mambo ya siasa..this is big NO..hakuna mambo yanayogusa vijana kama uchumi..tuna resources nyingi sana mataifa ya nje yanakuja yanafanikiwa..wahindi&waarabu hawafatilii siasa wao wanakomaa kupeana info na kujadiliana fursa za kiuchumi wanafanikiwa sana. Vijana wa mataifa mengine fikra zao zipo vizuri sana na sisi tunaweza tukibadilika. Social iwepo ila nguvu kubwa tuweke kwenye uchumi na info za fursa.
Mkuu watakushangaa kwa uliyoandika hapa ila ndio ukweli
Vijana wanalalamika kutwa kisa hawajui kujituma wala kuongea la maana

Mleta Mada ana hoja ila wengine wana twist kiaina

Nje ya mada hii kuna Habari hapa [emoji636]
Kuna eurovision 2023 itakuwa mwezi wa 5 ila ticket ziliisha dakika 36 tu tangu tickets zianze kuuzwa

Unajua mfano mmepanga foleni kuingia sinema halafu ghafla kundi la watu linakuja na kuwasukuma ili wao wawe wa kwanza na sio hao tu.
Wanakuja washikaji wao pia na kupewa nafasi wajiunge nao huku nyie mkiachwa nyuma

Hiyo ndio ilivyotokea ila kwenye online sales za tickets hizo

Kuna watu wana very sophisticated software ambapo unasukumwa na kurudishwa nyuma, na ticket wananunua wao

Walipofuatilia imejulikana ni group linalojiita Golden Cycle ambao ni secret society
Huwezi amini ni vijana wa miaka 17 ndio wamenunua ticket zote hizo kwa dakika 36

Najua sio jambo la kuwasifia vijana hao ila wana akili sana kiasi wamewazidi hao wauzaji wa tickets na wataalamu wao

Sisi vijana wa miaka 17 anawaza mastubate tu
 
Back
Top Bottom