Ukitaka uchukiwe na jamii ya wapumbavu, ni kuwaambia ukweli. Hayati Magufuli alichukiwa kwa sababu ya kuwaambia ukweli

Ukitaka upendwe na wapumbavu sifia watu wapumbavu hata kama wanakiuka misingi ya Haki za Binadamu kama Magufuri alivyokuwa anafanya kwa wanasiasa wa vyama vya upinzani na vyombo vya habari basi utaonekana una akili.
 
Leo watu wamefungua biashara zao kama kawaida,wana raha hata kama kuna dosari ndogo ndogo baada ya dikteta kufa.
 
Najiuliza ukiendelea kumchukia Magu ndio vyeti feki vyako ndio vinakuwa halali? Kama alikutumbua ndio nafasi yako inarudi? Tuna watu wapuuzi wapuuzi kea style hii ninaanzs kuamini hawa watu wanalipwa Huu ujira maana si kawaida
Manenop ya kujifariji jamani mtakufa na ujinga yeye mwenyewe kafa na PHD feki na ukweli ambao hakutaka Saanane anamwaibisha huko ahera.
 
Huyu tulie nae kawaongezea buku 2 kwenye mshahara, na halafu buku 2 yenyewe kaitengenezea njia ya KUIPORA kaja na kitu kinaitwa TOZO.

JPM alikuwa real kama nyeusi anakuambia hii nyeusi sio akuambie nyeupe.
Kibaya zaidi yeye mwenyewe alikuwa hapendi kuambiwa ukweli!
 
Pumbavu, unayemtaja anamambo kibao ya kijinga tu! Aliangushwa na ulevi wa konyagi kaumia mguu akasema lilikuwa ni jaribio la kutaka kutekwa!

Ashindwe kumuua wangwe?
 
Mbona naye alifoji PhD? Unajua Saanane yuko wapi?
una ushahidi na hilo?wakati mwingine tuwe wakweli tuache ushabiki na chuki za kijinga.tuwe focused.kama kupotea kwa watu,awamu karibu zote watu walipotezwa.mnyonge mnyongeni haki yake mpeni.
 
una ushahidi na hilo?wakati mwingine tuwe wakweli tuache ushabiki na chuki za kijinga.tuwe focused.kama kupotea kwa watu,awamu karibu zote watu walipotezwa.mnyonge mnyongeni haki yake mpeni.
Kwani ni uongo???Wewe una ushahidi gani kuwa ana PHD halali??
 
Tanzania haijawahi na sidhani kama itakuja kuwa na Rais mwongo, katili na mwenye hadaa kama marehemu:

Tunawadai Acacia trillion 360 - UWONGO (Kabudi shahidi)

Miradi yote tunaijenga kwa mapato yetu ya ndani - UWONGO (Records za madeni/pesa aliyokopa ipo BoT)

Gas imeuzwa China - UWONGO (hakuna hata kitalu kimoja cha gas kinachomilikiwa na China)

Nchi hii ilikuwa inaliwa vibaya sana. Kuna watu walikuwa wanalipana mishahara mpaka sh 40m kwa mwezi - UWONGO (Afisa wa Serikali anashughulikia na u8dhin8shaji wa mishata ya serikali na taasisi zake alikanusha kupitia Clouds kuwa tangu nchi ipate uhuru, hakuna mwananchi ambaye amewahi kupata mshahara hata wa sh 20m kwa mwezi. Kesho yake akamtumbua)

Nimeyatoa maisha yangu kwaajili ya watanzania - UWONGO (Taarifa ya CAG ambaye aliteuliwa na yeye mwenyewe, inasema mabilioni yote ya pesa yaliyokusanywa kutoka kwa aliowabambikizia kesi za uhujumu uchumi, hazikupelekwa kwenye chombo chochote cha Serikali. Ina maana aliziiba. Tangu lini aliyejitoa maisha yake kwaajili ya anaowaongoza, tena akawaibia?)

Utalii unakua kwa kasi - UWONGO (Takwimu za ukuaji wa sekta ya utalii kwa kadiri ya kumbukumbu za BoT, mwaka 2015 ulikuwa unakua kwa 15, na mpaka 2018 alikuwa ameuporomosha mpaka 3.6%)

Tunajenga Tanzania ya viwanda, uwekezqji unakuwa kwa kasi - UWONGO (Takwimu zinaonesha, mwaka 2015 uwekezaji ulikuwa unakua kwa 24%, mpaka 2018 akawa ameuporomosha mpaka 4%).

Mwishowe ili kuulinda uwongo na hadaa zake akaamua kuwa katili dhidi ya yeyote anayetaka kuhoji ukweli wa maneno yake.
 
Wewe ndio hayawani mjaa laana. Unajua maana ya vyeti feki?. Au unaongea. Mtu humjui unadakia vyeti feki. Kama una vyeti feki Ni wewe shetani mkubwa usie na haya.
Mara nyingi watu waovu hufikiria kila mtu ni mwovu. Si uliona kiongozi mwovu tuliyekuwa naye wakati wa awamu ya 5, aliamini kila mwenye mafanikio kimaisha ni mwizi.
 
Umejiandikia tu ki form four felia!

Toa uthibitisho juu ya gas
 
Mara nyingi watu waovu hufikiria kila mtu ni mwovu. Si uliona kiongozi mwovu tuliyekuwa naye wakati wa awamu ya 5, aliamini kila mwenye mafanikio kimaisha ni mwizi.
Kama wewe ulivyo muovu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…