econonist
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 20,189
- 29,663
Haipaswi kufikia huko ndugu...... relax relax.......
Ok, mkuu nimekuelewa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haipaswi kufikia huko ndugu...... relax relax.......
Ukitaka upendwe na wapumbavu sifia watu wapumbavu hata kama wanakiuka misingi ya Haki za Binadamu kama Magufuri alivyokuwa anafanya kwa wanasiasa wa vyama vya upinzani na vyombo vya habari basi utaonekana una akili.Nasema hivyo Kwa sababu, Vilaza na wafoji vyeti, mpaka Leo bado wanamachungu na hayati JPM
Mpaka sasa bado wanalisakama jina lake, licha kwamba aliwasaidia ili warudi shule kuongeza marifa
Bado wangali wanahasira naye, na hatuelewi tuwasadie nini ili waondokana na upumbavu walionao
Mpaka Leo, mitandao imejaa maandiko yao kumdhihaki mtu aliyewaambia ukweli kuwa, wao waliingia kazini Kwa ujanjaunja, Kwa kuiba na kutumia majina ya wengine!
Kuendelea kuonyesha hasira kumhusu mtu asiyekuwepo, ni mtu kuonyesha jinsi alivyomweupe kichwani na mpumbavu tu!
Nyie vilaza, vyeti feki na wanufaika wa wafanyakazi hewa, yawezekana mlirudishwa serikalini, basi ondoeni ujinga kichwani mwenu, leteni mabadiriko kwa wananchi, JPM hayupo, ni wakati wenu kubadirisha hali za watu!
Maandiko yenu hayabadilishi chochote kuhusu mazuri ya mwendazake! Na ni wale wale mnaobakia kumsakama hayati JPM, hamjaweza hata kubadiri mapenzi ya wengi kwake!
Leo watu wamefungua biashara zao kama kawaida,wana raha hata kama kuna dosari ndogo ndogo baada ya dikteta kufa.Nasema hivyo Kwa sababu, Vilaza na wafoji vyeti, mpaka Leo bado wanamachungu na hayati JPM
Mpaka sasa bado wanalisakama jina lake, licha kwamba aliwasaidia ili warudi shule kuongeza marifa
Bado wangali wanahasira naye, na hatuelewi tuwasadie nini ili waondokana na upumbavu walionao
Mpaka Leo, mitandao imejaa maandiko yao kumdhihaki mtu aliyewaambia ukweli kuwa, wao waliingia kazini Kwa ujanjaunja, Kwa kuiba na kutumia majina ya wengine!
Kuendelea kuonyesha hasira kumhusu mtu asiyekuwepo, ni mtu kuonyesha jinsi alivyomweupe kichwani na mpumbavu tu!
Nyie vilaza, vyeti feki na wanufaika wa wafanyakazi hewa, yawezekana mlirudishwa serikalini, basi ondoeni ujinga kichwani mwenu, leteni mabadiriko kwa wananchi, JPM hayupo, ni wakati wenu kubadirisha hali za watu!
Maandiko yenu hayabadilishi chochote kuhusu mazuri ya mwendazake! Na ni wale wale mnaobakia kumsakama hayati JPM, hamjaweza hata kubadiri mapenzi ya wengi kwake!
Eternal kwa Lucifer anajutia makosa yake.Legacy haipumziki best, ataishi eternal life.
Manenop ya kujifariji jamani mtakufa na ujinga yeye mwenyewe kafa na PHD feki na ukweli ambao hakutaka Saanane anamwaibisha huko ahera.Najiuliza ukiendelea kumchukia Magu ndio vyeti feki vyako ndio vinakuwa halali? Kama alikutumbua ndio nafasi yako inarudi? Tuna watu wapuuzi wapuuzi kea style hii ninaanzs kuamini hawa watu wanalipwa Huu ujira maana si kawaida
Kibaya zaidi yeye mwenyewe alikuwa hapendi kuambiwa ukweli!Huyu tulie nae kawaongezea buku 2 kwenye mshahara, na halafu buku 2 yenyewe kaitengenezea njia ya KUIPORA kaja na kitu kinaitwa TOZO.
JPM alikuwa real kama nyeusi anakuambia hii nyeusi sio akuambie nyeupe.
Pumbavu, unayemtaja anamambo kibao ya kijinga tu! Aliangushwa na ulevi wa konyagi kaumia mguu akasema lilikuwa ni jaribio la kutaka kutekwa!Endelea na uongo wenu maana ndio mlichobakiza. Kama chadema ingehusika kila mtu angejua na ndio ungekuwa mwisho wa CHADEMA. Mtu kuajili walinzi ikawa kesi mpaka ugaidi.
Yani Mbowe huyu aliyekuwa na mfululizo wa kesi za michongo ndio afanye hayo si angewekwa wazi, Kama kesi ya ugaidi alivyotangazwa na Rais wenu kuwa ni gaidi.
Sawa kabisa mkuuUkitaka mtu mweusi akupende wewe kuwa mmbea, muongo na mnafiki. Ukiwa mkweli kubali kibaki mwenyewe.
Wamefungua kina Nani, nitajie hata mmojaLeo watu wamefungua biashara zao kama kawaida,wana raha hata kama kuna dosari ndogo ndogo baada ya dikteta kufa.
Kilaza na mfoji vyeti amwambie nini?Kibaya zaidi yeye mwenyewe alikuwa hapendi kuambiwa ukweli!
Kufoji vyeti siyo shida,shida ni kufeli maisha mbona mababu zetu waliishi bila vyeti na maisha yalikuwa mazuri.Kilaza na mfoji vyeti amwambie nini?
una ushahidi na hilo?wakati mwingine tuwe wakweli tuache ushabiki na chuki za kijinga.tuwe focused.kama kupotea kwa watu,awamu karibu zote watu walipotezwa.mnyonge mnyongeni haki yake mpeni.Mbona naye alifoji PhD? Unajua Saanane yuko wapi?
Kwani ni uongo???Wewe una ushahidi gani kuwa ana PHD halali??una ushahidi na hilo?wakati mwingine tuwe wakweli tuache ushabiki na chuki za kijinga.tuwe focused.kama kupotea kwa watu,awamu karibu zote watu walipotezwa.mnyonge mnyongeni haki yake mpeni.
Kwa hiyo wewe ni cheti fekiMbona naye alifoji PhD? Unajua Saanane yuko wapi?
Na wewe ni wale wajinga cheti fake. Eti Phd ya magu ilikua feki? Naona macheti feki wenzako wamekupa' like' nyingi tu😂Mbona naye alifoji PhD? Unajua Saanane yuko wapi?
Tanzania haijawahi na sidhani kama itakuja kuwa na Rais mwongo, katili na mwenye hadaa kama marehemu:Nasema hivyo Kwa sababu, Vilaza na wafoji vyeti, mpaka Leo bado wanamachungu na hayati JPM
Mpaka sasa bado wanalisakama jina lake, licha kwamba aliwasaidia ili warudi shule kuongeza marifa
Bado wangali wanahasira naye, na hatuelewi tuwasadie nini ili waondokana na upumbavu walionao
Mpaka Leo, mitandao imejaa maandiko yao kumdhihaki mtu aliyewaambia ukweli kuwa, wao waliingia kazini Kwa ujanjaunja, Kwa kuiba na kutumia majina ya wengine!
Kuendelea kuonyesha hasira kumhusu mtu asiyekuwepo, ni mtu kuonyesha jinsi alivyomweupe kichwani na mpumbavu tu!
Nyie vilaza, vyeti feki na wanufaika wa wafanyakazi hewa, yawezekana mlirudishwa serikalini, basi ondoeni ujinga kichwani mwenu, leteni mabadiriko kwa wananchi, JPM hayupo, ni wakati wenu kubadirisha hali za watu!
Maandiko yenu hayabadilishi chochote kuhusu mazuri ya mwendazake! Na ni wale wale mnaobakia kumsakama hayati JPM, hamjaweza hata kubadiri mapenzi ya wengi kwake!
Mara nyingi watu waovu hufikiria kila mtu ni mwovu. Si uliona kiongozi mwovu tuliyekuwa naye wakati wa awamu ya 5, aliamini kila mwenye mafanikio kimaisha ni mwizi.Wewe ndio hayawani mjaa laana. Unajua maana ya vyeti feki?. Au unaongea. Mtu humjui unadakia vyeti feki. Kama una vyeti feki Ni wewe shetani mkubwa usie na haya.
Umejiandikia tu ki form four felia!Tanzania haijawahi na sidhani kama itakuja kuwa na Rais mwongo, katili na mwenye hadaa kama marehemu:
Tunawadai Acacia trillion 360 - UWONGO (Kabudi shahidi)
Miradi yote tunaijenga kwa mapato yetu ya ndani - UWONGO (Records za madeni/pesa aliyokopa ipo BoT)
Gas imeuzwa China - UWONGO (hakuna hata kitalu kimoja cha gas kinachomilikiwa na China)
Nchi hii ilikuwa inaliwa vibaya sana. Kuna watu walikuwa wanalipana mishahara mpaka sh 40m kwa mwezi - UWONGO (Afisa wa Serikali anashughulikia na u8dhin8shaji wa mishata ya serikali na taasisi zake alikanusha kupitia Clouds kuwa tangu nchi ipate uhuru, hakuna mwananchi ambaye amewahi kupata mshahara hata wa sh 20m kwa mwezi. Kesho yake akamtumbua)
Nimeyatoa maisha yangu kwaajili ya watanzania - UWONGO (Taarifa ya CAG ambaye aliteuliwa na yeye mwenyewe, inasema mabilioni yote ya pesa yaliyokusanywa kutoka kwa aliowabambikizia kesi za uhujumu uchumi, hazikupelekwa kwenye chombo chochote cha Serikali. Ina maana aliziiba. Tangu lini aliyejitoa maisha yake kwaajili ya anaowaongoza, tena akawaibia?)
Utalii unakua kwa kasi - UWONGO (Takwimu za ukuaji wa sekta ya utalii kwa kadiri ya kumbukumbu za BoT, mwaka 2015 ulikuwa unakua kwa 15, na mpaka 2018 alikuwa ameuporomosha mpaka 3.6%)
Tunajenga Tanzania ya viwanda, uwekezqji unakuwa kwa kasi - UWONGO (Takwimu zinaonesha, mwaka 2015 uwekezaji ulikuwa unakua kwa 24%, mpaka 2018 akawa ameuporomosha mpaka 4%).
Mwishowe ili kuulinda uwongo na hadaa zake akaamua kuwa katili dhidi ya yeyote anayetaka kuhoji ukweli wa maneno yake.
Kama wewe ulivyo muovu!Mara nyingi watu waovu hufikiria kila mtu ni mwovu. Si uliona kiongozi mwovu tuliyekuwa naye wakati wa awamu ya 5, aliamini kila mwenye mafanikio kimaisha ni mwizi.