Ukitaka wanawake wengi wakuchukie, waambie ukweli

Mtu anawezaje kujidanganya Mkuu?
Kimantiki MTU hawezi kujidanganya, hata Kiroho na kiimani.

Kwa uelewa wako MTU akiambiwa Aishi na Mwanamke Kwa Akili unafikiri nini kinazungumziwa
Hiyo ni slogan tu boss and mind yu mwanaume ndio anatumia nguvu kubwa kum-keep mwanamke bt wao they don't give a damn abt us.. do yu know why?
 
😂😂
Wameumbwa kujiumiza wenyewe.

Mwanamke unaweza ukawa mwaminifu kwake alafu akawa na wasiwasi kuwa unamcheat na kamwe hataamini yupo pekeake.
Ukiwa nadhifu una maneno mazuri kwake huwa hawakuamini kabisa.

Tofauti na mwanaume, jamaa anaweza kua na pisi kali na asiwe na hofu nayo kivile kama wao sijui kwanini aisee!!.
 
Mimi kwangu ni ngumu kumwambia mtu uongo,,hata kama nikitaka kuoa ntamwambia uhalisia wa maisha yangu,, kama akilidhia kuwa na mimi sawa!!
Maana nikisema ukweli huwa nakuwa huru saaana ,,sipendi kuishi maisha ya kufeki

Uongo ni mzuri, Ila Uongo ule usioumiza
 
Kuna ukweli hapa....
Niliwahi kumuambia mwanamke mnene kwamba yeye ni mnene....nilijuta sana[emoji28]
Asa kwanini ulinwambia kwani yeye mwenyewe si anajijua....wewe mwanamke akikwambia una[emoji2420] na kweli unacho utajisikiaje.Ukweli siku zote unauma sio kwa mwanamke wala mwanaume (nakaweka haka [emoji28] ulisema kanapunguza ukali wa maneno.
 
Halafu wanapenda kuwatania wanaume ila ukitaka akuchukie daima, basi wewe mtanie kuhusu maumbile yake hasa unene na wembamba, Mungu wangu vita ni kubwa mno itakuwa.

Sent from my SM-G800F using JamiiForums mobile app
Jamani kwani sisi tunajiumba mbona mnatusakama hivyo [emoji28]
 
Asa kwanini ulinwambia kwani yeye mwenyewe si anajijua....wewe mwanamke akikwambia una[emoji2420] na kweli unacho utajisikiaje.Ukweli siku zote unauma sio kwa mwanamke wala mwanaume (nakaweka haka [emoji28] ulisema kanapunguza ukali wa maneno.
sasa hadi alinitusi kabisa 😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…