Ukitaka wanawake wengi wakuchukie, waambie ukweli

Ukitaka wanawake wengi wakuchukie, waambie ukweli

Mtu anawezaje kujidanganya Mkuu?
Kimantiki MTU hawezi kujidanganya, hata Kiroho na kiimani.

Kwa uelewa wako MTU akiambiwa Aishi na Mwanamke Kwa Akili unafikiri nini kinazungumziwa
Hiyo ni slogan tu boss and mind yu mwanaume ndio anatumia nguvu kubwa kum-keep mwanamke bt wao they don't give a damn abt us.. do yu know why?
 
😂😂
Wameumbwa kujiumiza wenyewe.

Mwanamke unaweza ukawa mwaminifu kwake alafu akawa na wasiwasi kuwa unamcheat na kamwe hataamini yupo pekeake.
Ukiwa nadhifu una maneno mazuri kwake huwa hawakuamini kabisa.

Tofauti na mwanaume, jamaa anaweza kua na pisi kali na asiwe na hofu nayo kivile kama wao sijui kwanini aisee!!.
 
Mimi kwangu ni ngumu kumwambia mtu uongo,,hata kama nikitaka kuoa ntamwambia uhalisia wa maisha yangu,, kama akilidhia kuwa na mimi sawa!!
Maana nikisema ukweli huwa nakuwa huru saaana ,,sipendi kuishi maisha ya kufeki

Uongo ni mzuri, Ila Uongo ule usioumiza
 
Kuna ukweli hapa....
Niliwahi kumuambia mwanamke mnene kwamba yeye ni mnene....nilijuta sana[emoji28]
Asa kwanini ulinwambia kwani yeye mwenyewe si anajijua....wewe mwanamke akikwambia una[emoji2420] na kweli unacho utajisikiaje.Ukweli siku zote unauma sio kwa mwanamke wala mwanaume (nakaweka haka [emoji28] ulisema kanapunguza ukali wa maneno.
 
sasa hadi alinitusi kabisa 😂
 
Back
Top Bottom