Ukitaka wanawake wengi wakuchukie, waambie ukweli

Ukitaka wanawake wengi wakuchukie, waambie ukweli

Mimi nimegombana Sana na Mama mzazi kwenye maamuzi yeye anaamua Kwa kutumia hisia kweli hata ukimueleza madhara na hatima ya kitu anachokifanya ataniambia "Wewe ni mbishi ukiambiwa husikii ukiharabikiwa ndyo unakuja kuamini".Haya maneno yamekuwa silaha yake kwangu hata kama najua maamuzi aliyochukua siyo.

😂😂😂
Wanawake hawapendi kubishiwa kile wanachokisema, wanaona kama unawadharau na kuwaona Hawana uwezo wa kufikiri. Ukitaka Mkeo akushinde au ugombane na Mama yako mbishie anachokueleza hata Kwa facts. Mtakuwa na mahusiano yasiyo ridhisha.

Mwanamke akisema Jambo mkubalie, kisha ongezea ushauri wako Kwa juu kama nyongeza, na sio umwambie hapana sio hivyo,😂😂 mwambie ananawazo mazuri Sana, alafu sema Kwa kuongezea blah blah blah! Alafu mkumbatie umwambie yeye kweli ni jike
 
Halafu wanapenda kuwatania wanaume ila ukitaka akuchukie daima, basi wewe mtanie kuhusi maumbile yake hasa unene na wembamba, Mungu wangu vita ni kubwa mno itakuwa.

Sent from my SM-G800F using JamiiForums mobile app

Uliona wapi mtu anayeendeshwa na hisia akawa na matani?

Wanawake na matani ni kama mafuta na maji. Yeye akutanie vibaya wewe mtanie vizuri. Ukisema kuhusu umbo lake basi iwe positive.😀

Ndio maana wakaambiwa ni viumbe dhaifu
 
Uliona wapi mtu anayeendeshwa na hisia akawa na matani?
Wanawake na matani ni kama mafuta na maji. Yeye akutanie vibaya wewe mtanie vizuri. Ukisema kuhusu umbo lake basi iwe positive.[emoji3].
Ndio maana wakaambiwa ni viumbe dhaifu
Sasa vipi ukimtania tu ana kichwa kipana au sura pana huku unacheka, tena mbele ya wenzake? Aidha vyuoni au kazini?[emoji23]

Sent from my SM-G800F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom