Ukitaka wanawake wengi wakuchukie, waambie ukweli

Kwao haidhuru kuliko kusubiria ushindi wasiojua utakuja lini.
Yaani umuahidi Mwanamke Maisha mazuri ilhali anakuona apeche alolo alafu kuna mwamba amekuja na Dungujeshi, alafu akusikilize wewe thubutu
Uongo hufariji kwa muda mfupi sana lkn ukija kujua ukweli utaumia mara mbili yake.
 
Sasa vipi ukimtania tu ana kichwa kipana au sura pana huku unacheka, tena mbele ya wenzake? Aidha vyuoni au kazini?[emoji23]

Sent from my SM-G800F using JamiiForums mobile app

Usithubutu hata Kwa kufikiri kumwambia hivyo. Atakuchukia tuu. Kwanza Wanawake hawanaga mazoea kabisa na wanaume wanaosema ukweli na wenye hasira kwani wanaogopa kuumbuliwa
 
Jana tulikuwa tunatafuta chumba Huku Chunya kufikia saa Moja usiku Mama kanipigia nikamwelekeza hali halisia Bado tunatafuta chumba na nikamhakikishia tutapata Kuna mtu tunamsikilizia.Akakubali.

Dakika kama 50 zimepita anapiga simu Tena vipi mmepata chumba nikamwambia Bado akaanza kunishauri tafuteni gesti mlale waambie na wenzako umeniskia akawa anaongea kama mzazi sasa sikutaka kubishana naye Kwa logic maana angekasirika.

Na majamaa niliokuwa nao age imeenda huwezi ukasema ukawashauri labda wao ndyo wakupe ushauri.Chumba uzuri tulipata Cha kukaa.Ningeonekana boya la mwisho kama ningeanza kuwapa ushauri niliopewa na matheri.
 
Kuna demu alishaniuliza yeye na demu mwingine nani mzuri ,nikamwambia yeye alifurahi balaa,kwa kifupi mademu wanapenda kusifiwa sana,ujipendekeze sana kwao,na uwe wafuasi wao sana,na ujipendekeze sana ndo watakufurahia kitu ambacho nimeshindwa tangu nije duniani😀😀Hadi salami demu akikukuta anataka uanze wewe kumsalimia dah si utumwa huo
 
Kuna demu alishaniuliza yeye na demu mwingine nani mzuri ,nikamwambia yeye alifurahi balaa,kwa kifupi mademu wanapenda kusifiwa sana,ujipendekeze sana kwao,na uwe wafuasi wao sana,na ujipendekeze sana ndo watakufurahia kitu ambacho nimeshindwa tangu nije duniani[emoji3][emoji3]Hadi salami demu akikukuta anataka uanze wewe kumsalimia dah si utumwa huo
Sasa unapataje mbususu ilhali hutaki kujipendekeza?

Sent from my SM-G800F using JamiiForums mobile app
 
Tatizo linazid pale ambapo wanaume tumekaa kikao kuwajadili wanawake wakat wao hawana huo muda.Yan kikao ni cha wanaume ila agenda ni wanawake [emoji23][emoji23][emoji23]
Hujui wewe. Hivi kuna watu wanaowajadili wenzao kwenye vikundi vyao, kama wanawake wanavyowajadili wanaume? Fanya tena research yako.

Sent from my SM-G800F using JamiiForums mobile app
 
Wanaume wote mliocoment humu pamoja na mtibeli wenu acheni uongo na kujifariji,hakuna binadamu anayependa kuambiwa Ukweli si mwanaume Wala si mwanamke,How?

1.Wanaume wengi mmekuwa mnakasirika pindi anapoambiwa Ukweli na Wanawake kwamba "Fulani huna uwezo wa kunimiliki kwa kuwa huna kipato Cha kukutosha wewe na kunihudumia Mimi"hili neno huwa ni chanzo cha Vita ya tatu ya Dunia...huwa hampendi kabisa kusikia huu Ukweli mnapenda kuambiwa hivi"Fulani wewe ni mpambanaji hakuna kitu unashindwa"wakati kiukweli humuwezi kweli kumgharamikia huyo mtu

2.Unakuta mwanaume mchafu,ananuka kwapa,kinywa kichafu,viatu navyo uvundo Sasa jaribu kumwambia Ukweli,hiyo utakuwa umepress kinu Cha nuclear...WW3

Kuna scenario nyingi,nachoka kuandika,Ila kung'ang'ania mwanamke ndio hapendi kusikia Ukweli Nina mashaka,mi nadhani ungesema Kuna baadhi ya binadamu either ni wa kike au wa kiume hawapendi kusikia ukweli
 
Kwa experience yangu ndogo Kati ya wanawake 10 ambao nimewahi kuwatongoza 9 niliwadanganya na nikala mzigo

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Vice versa is true....hata nyie mnadanganywa Sana na Wanawake na mnajaa,ukionyeshwa true colors hamtaki.... brother hii kitu ipo pande zote mbili believe me,
 
Wanaume wote mliocoment humu pamoja na mtibeli wenu acheni uongo na kujifariji,hakuna binadamu anayependa kuambiwa Ukweli si mwanaume Wala si mwanamke,How?

1.Wanaume wengi mmekuwa mnakasirika pindi anapoambiwa Ukweli na Wanawake kwamba "Fulani huna uwezo wa kunimiliki kwa kuwa huna kipato Cha kukutosha wewe na kunihudumia Mimi"hili neno huwa ni chanzo cha Vita ya tatu ya Dunia...huwa hampendi kabisa kusikia huu Ukweli mnapenda kuambiwa hivi"Fulani wewe ni mpambanaji hakuna kitu unashindwa"wakati kiukweli humuwezi kweli kumgharamikia huyo mtu

2.Unakuta mwanaume mchafu,ananuka kwapa,kinywa kichafu,viatu navyo uvundo Sasa jaribu kumwambia Ukweli,hiyo utakuwa umepress kinu Cha nuclear...WW3

Kuna scenario nyingi,nachoka kuandika,Ila kung'ang'ania mwanamke ndio hapendi kusikia Ukweli Nina mashaka,mi nadhani ungesema Kuna baadhi ya binadamu either ni wa kike au wa kiume hawapendi kusikia ukweli
Hii haitabadilisha ukweli kuwa wanawake wanapenda kuambiwa uongo
 
Tatizo linazid pale ambapo wanaume tumekaa kikao kuwajadili wanawake wakat wao hawana huo muda.Yan kikao ni cha wanaume ila agenda ni wanawake 😂😂😂
Halafu Kuna mdau hapo juu kasema Wanawake tunaongoza kujadili watu,wakati mfano hai ni hapa JF hamna saa itapita bila mwanaume mmoja kuita kikao wanaume wenzake kujadili Wanawake.....Haki wanaume ni wambea
 
Back
Top Bottom