Ukitaka wanawake wengi wakuchukie, waambie ukweli

Ukitaka wanawake wengi wakuchukie, waambie ukweli

Anajijua sio mzuri ila ukimsifia tu anavimba bichwa

Au umwambie mi mganga njaa ila nakupenda utasikia asante au we mi sio typ yako tena unikome.

Ila azima gari afu umuibukie au umwambie mi ni mkubwa flani kitengo flani huyo keshajaa.

Ukiwa mkweli kwa hawa viumbe humpati hata 1.

KIASILI MWANAMKE AMEUMBWA KWA AJILI YA KUTWENDWA mengine yote tunalazimisha afit kwenye hamna
Kuna mmoja alikuwa ananikuta kazini Kwangu na akawa ananiuliza nafanya kazi gani nikamwambia usalama wa taifa ndo kujaa na kunizalia mtoto
 
These insects try so hard to be who they not and not who they are.
Tazama kope feki, nywele feki, kucha feki, rangi ya ngozi feki, shepu feki, mpaka tako feki kudadadeki.

Sasa jifanye we mkweli, we mpe porojo, uwongo na mazaga kama hayo piga spana tembea.
# Ni mtazamo tu.
 
Wengi wana uwezo wa kuujua ukweli lakini sio wote wanaopenda kuufata.

Kwa mfano

Kwenye circle ya kimahusiano, mwanamke anaweza kutongozwa na wanaume tofauti tofauti.

Katika hao anaweza akamuona mwanaume ambaye anajua kabisa mwanaume huyu ni husband material.

Mwanaume ambaye ana ambitions za kimaisha (husler) anayeweza kujenga naye maisha.

Lakini mwanamke akaamua kuachana naye kwasababu ya vitu vidogo tu kama muonekano (marafiki zake watamuonaje) au ni mtu fulani hivi ambaye hajichanganyi kwenye viwanja vya starehe ambapo huko anaweza kuvimbiana na marafiki zake (showoffs)

Halafu akaenda kujenga mahusiano na mwanaume mwingine ambaye anafahamu kabisa kuwa huyu si muoaji, ila kwakua ni cheki bob anapiga pamba kali na kuvaa ma chain ya silver anaona sasa huyu ndio atanifaa.
Especially Tanzanian girls.
 
Joanah bhana!
Mwanaume kupenda kusifiwa ni Kutokana na kutokujiamini na kujiona Duni.
MTU yeyote anayetemea Maoni ya Watu kumuongoza ni MTU dhaifu
Kwenye vitabu vyenu vya dini kuna mda yesu alitaka kujua watu wanasema nini kumuhusu yeye , hii imekaaje mkuu ?
 
Halafu wanapenda kuwatania wanaume ila ukitaka akuchukie daima, basi wewe mtanie kuhusu maumbile yake hasa unene na wembamba, Mungu wangu vita ni kubwa mno itakuwa.

Sent from my SM-G800F using JamiiForums mobile app
niliwahi mwita mmoja masudi (kwa maana ya masudi sura mbaya mwaka 2005) tukiwa shule

2018 tuna onana na kuwa karibu, alinambia amekuwa akinichukia miaka yote kwa sababu niliwahi mwita masudi

mimi wala hata sikumbuki ila yeye analo hadi leo.
 
niliwahi mwita mmoja masudi (kwa maana ya masudi sura mbaya mwaka 2005) tukiwa shule

2018 tuna onana na kuwa karibu, alinambia amekuwa akinichukia miaka yote kwa sababu niliwahi mwita masudi

mimi wala hata sikumbuki ila yeye analo hadi leo.

😀😀
 
Mimi nimegombana Sana na Mama mzazi kwenye maamuzi yeye anaamua Kwa kutumia hisia kweli hata ukimueleza madhara na hatima ya kitu anachokifanya ataniambia "Wewe ni mbishi ukiambiwa husikii ukiharabikiwa ndyo unakuja kuamini".Haya maneno yamekuwa silaha yake kwangu hata kama najua maamuzi aliyochukua siyo.
Kuna siku moja mama alipendezaaaaa sana asa ile ametoka akaniuliza mwanangu naonekanajeeee nikamjibu khaaaa yan ata sitaki kukuona yaaani hujapendeza kabisa aiseeee alinimind sana kipindi kile kudadekiii kumbe mm nilisema utan tu
 
Back
Top Bottom