Ukitazama CV ya Elimu ya Waziri Mkuu Majaliwa Kassim utaelewa kwanini ametoa wazo la wenye Degree kwenda VETA

Ukitazama CV ya Elimu ya Waziri Mkuu Majaliwa Kassim utaelewa kwanini ametoa wazo la wenye Degree kwenda VETA

Kwani misingi ya elimu inasemaje? Na mitaala ni nini? Waziri mkuu yuko sahihi na ametoa ushauri huo kwa wakati sahihi kwa mukhtadha wa wahitimu wengi kuzagaazagaa mitaani bila ajira huku wana shahada zao na umri unaenda hawajaajiriwa kutokana na nafasi za ajira kuwa chache. Kuliko mwenye degree akae tu mitaani bila ajira bnra aende VETA akapate ufundi. Soko la ufundi ni kubwa na halina mipaka. Sasa una degree fulani unasubiria nafasi ya ajira itokee na waombaji wako wengi si ujajikuta unazeekea mitaani bila ajira huku una degree fulani? VETA, LABOUR FORCE SKILLED, THE FUTURE OF TANZANIA
Kwa kuwa wewe umeshakula shavu la ajira ndio unakuja na andiko lako la kebehi kama boya benny boy
 
Vijana Wawezeshwe, si kweli vijana waliopita veta wote wana ajira,wapo mtaani wengi sana, ukiwa na ujuzi utahitaji nyenzo ya kufanyia kazi huo ujuzi,
Wapo waliosomea kilimo kwa akili ya kawaida unaweza sema aende akalime sababu mashamba yapo,mtu kama huyu anaujuzi wa kilimo kwahyo awezeshwe kupata mashamba,mbegu,zana za kilimo ili aweze kuufanyia kazi ule ujuzi,
Ukiwa veta ukisomea carpentary utahitaji nyezo za ukapenta, otherwise utabaki jobless vile vile
Kwahyo hata vijana wa vyuo vikuu wapewe mitaji kulingana na fani zao,engineers wapewe mitaji watutengenezee barabara, Waliosemea biashara wapewe mitaji,wanasheria, maafisa ugavi na wengine.
 
Ndo maana nchi imekwama kusonga mbele pamoja na rasilimali lukuki maana maticha ticha wamekuwa wengi kwenye nafasi nyeti za juu.
Hayanaga akili haya majitu , we angalia cv za hawa mataahira kuanzia madiwani ,wabunge mawaziri mpaka huyo boss wao kikongwe mwenye fani ya kuuanga unga mara usekretari , upuuzi mtupu
Taifa linaangamia kwa kuongozwa na mataahira , mazwazwa na vilaza pro max , yaani hamna standard tena ,ni kuokotwa tu matakataka na kuyapa madaraka ya kuongoza ,ni Wonder ni majitu yasiyo na fikra za kina wala maono ,kazi kuropoka tu kama kasuku ,mfano ni huyo fala majaliwa
 
Kwani misingi ya elimu inasemaje? Na mitaala ni nini? Waziri mkuu yuko sahihi na ametoa ushauri huo kwa wakati sahihi kwa mukhtadha wa wahitimu wengi kuzagaazagaa mitaani bila ajira huku wana shahada zao na umri unaenda hawajaajiriwa kutokana na nafasi za ajira kuwa chache. Kuliko mwenye degree akae tu mitaani bila ajira bnra aende VETA akapate ufundi. Soko la ufundi ni kubwa na halina mipaka. Sasa una degree fulani unasubiria nafasi ya ajira itokee na waombaji wako wengi si ujajikuta unazeekea mitaani bila ajira huku una degree fulani? VETA, LABOUR FORCE SKILLED, THE FUTURE OF TANZANIA
Wewe ni graduate wa degree gani?

Sio kwa ubaya, maana zama hizi hata mtu wa bachelor ya masomo ya arts anaweza kufikiri anaweza kukejeli mtu wa Phd ya Botany na kinyume chake.

Si vizuri kudakia na kuunga mkono mambo ambayo mtu hauyajui vizuri. Ukiangalia vizuri maana yake serikali kupitia kwa waziri mkuu inakiri kushindwa kuleta ufanisi katika suala zima la ajira (kuajiri na kujiajiri).

Hao graduates wanaosimangwa hawapewi ruzuku, wanajitafutia na wengi wamejiajiri lakini ndio mazingira yao ya kujiajiri wanaona hayana tija, ndio maana wanaendelea kutafuta hizo ajira.

Kuna graduates wengi wanalima, wanaendesha boda,na bajaji n.k mpaka hata kazi za ukuli. Kuna vijana wamemaliza VETA kazi hawana na hawajaweza kujiajiri. Kingine hata hao wa VETA wamekuwa wakisimangwa kuwa sio wakali kama ambao wamekomaa tu kitaa.

Certficates ni za nini? Graduate wa IT aende VETA kujifunza mapishi, ili afungue banda la chakula sehemu gani? hizi wanazokula supu ya mapupu,ngozi,utumbo wa kuku, sababu hata hela za kufungua mgahawa atakuwa hana. Akijitutumua akutane na furushi la tozo na kodi kabla hajajipanga.

Usafi, ulinzi, service fee, leseni ya biashara kwa mafungu(aina) ya biashara, kiofisi kidogo cha chakula leseni yake, akiweka huduma za kifedha leseni yake, akiweka bango na maelezo ya ku interact myapime na kutoza pia. Hapo hapo TRA watake yao, uwe na EFD machine 😀

WATENGENEZE MAZINGIRA MAZURI YA WATU KUWEZA KUJIAJIRI NA KUFANYA BIASHARA WAACHE POROJO
 
Kuna documentary moja ya science nilikuwa naangalia kulikuwa na mchangiaji mtaalamu anaitwa ‘Seth Lloyd’ ni msomi wa Physics.

Watu wa physics wengi wao wanaosoma masters ndoto yao ni kuwa theorists au experimental physicist, tatizo ni kwamba ajira ni chache less than 5% ndio wanapata hizo kazi.

Akawa anasema baada ya ku-graduate katafuta kazi wee, kama kwa miaka miwili bila ya mafanikio akawa keshakata tamaa; yupo tayari kwenda kuendesha taxi. Wakati yupo kwenye harakati za kutafuta taxi, akaitwa interview na kupata kazi ya experimental physicist. Somo ni nini hapa kuwa realistic kwenye maisha

Miaka kadhaa imepita leo jamaa CV yake ni mwalimu Cambridge, Harvard na MIT top university duniani na ana vitabu kadhaa na kashika nafasi zingine za kitaalamu.

Point ni nini watanzania sio realistic, serikali na ajira za private Tanzania; hawana nafasi ya kuajiri watu wote. Kwa sasa kuna bottle neck kutoka ngumu huo ndio ukweli wenyewe.

Waziri mkuu kawapa ukweli mchungu, jiongeze kutengeneza mazingira ya kuendesha maisha. Kulaumu siku akutaleta ajira kwa hao wahitimu.
 
Pamoja na cv yako nzuri waziri mkuu yuko sahihi kwa asilimia zote, kwenye ufundi hakujabanwa mawazo ya ubunifu ukilinganisha na ajira unazozisema, pia kwenda veta haimaanishi hutaweza pata ajira kwa degree yako, lengo ni kupunguza idadi ya wakopa mafundi meza hela za vocha na nauli za hapa na pale wakiwa na degree zao
 
Kwa nini wasitengeneze nafasi za kuajiriwa by kuweka kikomo cha ubunge miaka mitano? Hapo sii tayari tunakuwa tumesaidi vijana kupata ajira kwa kupokezana kuingia hapo mjengoni kila mtu apate kiinua mgongo cha mil200.
Ubunge sio udiwani kama hauna Hela hauwezi kugombea ubunge form yenyewe million 1
 
In fact kama msomi mwenyewe ni wewe vyuo basi kumbe ni upuuzi mtupu. Nenda veta uongeze ujuzi huenda ukakupa kitengo huko uendako.
Mimi nina usomi gani ndugu yangu, utofauti uliokuwepo labda Man filandu na mke wa baba yako ambae yupo nyumbani kamenua tu anasubiri Mzee jioni arudi na tango aingize ndani.
😄😄😄
 
Hata CV ya boss wake yule mkubwa wa juu kabisa nayo ni ya kuunga unga sana. Tunaingozaa na watu wenye low IQ
😄😁😄😁😄🔈🔈🔈😁😄😁😄😁😁Naku Zoom Nasema Hii
 
Yuko sahihi,na kwa mda sahihi.
Ambapo,pia ni mda sahihi wa kuipumzisha ccm.
Sasa wewe piga kekele na huku unahudhuria vijao vya Uvccm.

Unakumbuka clip ya wasomi wen zako.Hivi walioitoa kuhusu Maria Salungi kutokuhudhuria msiba wa Malehemu baba yake.

Ile ndo cable ya wasomi nyie
 
Back
Top Bottom